(Majibu Ya Al'Imam Kwa Mwanachama "Qul Allaha")
( ردود الإمام على العضو "قل الله" )

- 1 -
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
06 - 01 - 1431 هـ
22 - 12 - 2009 مـ
12:55 صــباحاً

[ili kufwatilia cha bayana asili]
https://mahdialumma.com/showthread.php?p=3718
ـــــــــــــــــــــــــ

لن أقبل بين أنصاري مشركاً بالله بعدما تبيّن لي شركه بربّه..
Sitokubali Katika Ma Anssari Wangu Awe Ni Mushrikina Kwa Allah Baada Kubainika Ushirikina Wake Kwa Mola Wake Mlezi..


Nini maoni ya Al'imam katika yalio tajwa kwenye kipindi katika kipindi wametoa maoni ambao yapitisha kua hakuna sayari nibro ama yaweza kua iko lakini haileti athari kwa ardhi na wanasayansi wanaona kwamba kutatokea kimbunga cha jua baada ya mwaka moja italeta athari kwa sekta ya mawasiliano .
Nini Bayana Yako Ewe Al'Imam ni muhimu kwetu maoni yako?


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabilalamin..
Ndugu Mkarimu, Akubariki Allah basi mimi sikua nimfwatilia idha ya Abudhabi ili nisikize yale wanayo yasema kuhusu sayari ya nibro kwajili wao ikiwa watatambua watu wote Fawallahi Ambae hapana Mola ispokua yeye haingezidi yakini yangu kuhusu jambo lake kitu, Na hivo hivo lau watakanusha kuweko na kutokezea kwake binadamu na ma jini basi Fawallahi ambae hapana Mola ispokua yeye haitopunguza kwa yakini yangu kuja kwake kitu, Na je wajua kwanini? Kwajili mimi sikupokea fatwa ya kutokezea kwake kutoka kwa Binadamu wala jini; Bali Amenijulisha kuwepo kwake Arahman kwenye ndoto ikafwata ndoto ingune ikafwata ndoyo ingine ikafwata ndoto ingine ikafwata ndoto ingine ikafwata ndoto ingine, Na kwavile ndoto haijengwi nayo fatwa ki sharia ju ya umma kwajili ya hivo Amenionesha Mola wangu Mlezi sayari ya adhabu kwenye ilio wazi maana yake kitabu chake kama ilivo tangilia ufafanuzi wake katika kitabu ukumbusho kwa wenye akili.


Na natoa kiapo qasam kwa Yule alio teremsha kitabu na akawashinda ma hizbu Allah Al3aziz Al'Wahab kwamba Sayari ya adhabu ni hakika, Na kwamba wataiyona watu wote kwa kuona kwa macho, Nayo itafanya jua litokeze kutoka magharibi yake, Basi wapi mutaenda enye ma3ashara ya watu wanao kanusha kuhusu Bayana ya haki ya ukumbusho na kutokana na mlinganizi Al'Mahdi Al'Muntadhar kwa kuhukumu kwa kitabu cha Allah, Basi musi chelewesheni imani yenu kwa haki kutoka kwa Mola Mlezi wenu mpaka muone adhabu kali; Bali mutake kulekea kwa Mola wenu Mlezi na mjisalimishe kwake kabla haijawajieni adhabu kisha musiokolewe, Na mufwate yalio bora ilio teremshwa kutoka kwa Mola Mlezi wenu kabla haijawajini adhabu ghafla na nyinyi hamuna habari, Na mcheni Allah bora kwenu na hukumuni akili zenu enyi ma3ashara ya binadamu kabla haijatangulia usiku mchana basi siku hio ni siku nzito nyoyo zinafika koni kutokana na utisho wake, Basi kiasi gani twajaribu kuokoa binadamu wote kwa kuwalingania waingie kwenye dini ya Allah wote ndio wawe waislamu kwa Allah Mola Mlezi wa ulimwengu wameshikilia kitabu cha Allah na sunna za Mtume wake za haki ndio wamwabudu Allah peke hana mshirika, Lakini kwa maskitiko alio zuwia ulinganizi hu ni waislamu basi nani atawaokoa wale wanao zuwia haki kutoka kwa Mola wao Mlezi adhabu ya siku hio, Hivi hamuwi wachaji? Hivi hawatafakari katika ulinganizi wa Nasser Muhammad Al'Yamani je anatamka kwa haki? Eee Wallahi lau watalinganisha ulinganizi wa Nasser Muhammad Al'Yamani na ulinganizi wa ma Nabi na Mitume wote wangekuta ulinganizi wa Al'imam Nasser Muhammad Al'Yamani nayo ni hio hio ulinganizi wa Mitume wote kutoka kwa Mola Mlezi wa ulimwengu lakini wao kwa maskitiko wataka mahdi anae ngojewa aje mfwasi wa matamanio yao la sivo basi atapata ghadhabu zao na hasira zao na lana zao.


Kisha Anarudisha jibu kwao Al'Mahdi Al'Muntadhar na nasema: Na hata kama lau ataipa mngongo Al'Mahdi Almuntadhar kitabu cha Allah na akafwata matamanio yenu basi hakika singepata radhi zenu kitu na hata lau wangeridhika ju yetu poti moja basi hakika wataghadhibika ju yetu zaidi ya ma poti Sabini, Na najilinda kwa Allah kwamba niwe na muhimu ju ya radhi zenu kitu kwajili mimi si abudu radhi za mashia wala za ma sunna na jamaa wala wingineo wowote wale walio tenganisha dini yao kwa ujama na kila hizbu kwa


walio nayo wanafurahia, Na hivo ni kwajili mimi ni Al'Mahdi Al'Muntadhar natangaza kukufuru kabisa kwa wingi wa mahizbu katika dini basi silingani kwa madhehebu ya ma shia wla kwa madhehebu ya sunna na jamma wala silingani katika mapoti yoyote yale yanao khitilifiana katila dini baada ilipo wajia uwazi katika Al'Quran Al3adhim na najilinda kwa Allah niwe miongoni mwao katika wale walio tenganisha dini yao kwa ujama ili nisiwe katika wanao adhibiwa. Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{Wala msiwe kama wale walio farikiana na kukhitalifiana baada ya kuwafikia hoja zilizo wazi. Na hao ndio watakao kuwa na adhabu kubwa} Sadaqa Allah Al3adhim [Alimran:105].
{وَلَا تَكُونُوا كَالَّذِينَ تَفَرَّقُوا وَاخْتَلَفُوا مِنْ بَعْدِ مَا جَاءَهُمُ الْبَيِّنَاتُ وَأُولَئِكَ لَهُمْ عَذَابٌ عَظِيمٌ} صدق الله العظيم [آل عمران:105].


Kwajili ya hivo sitokua katika wanao khitilifiana kwenye dini; Bali hanifan musliman wala mimi sio katika washirikina nalingania watu kwa neno moja la sawa baina ya Mitume wote kwamba tusiabudu ispokua Allah pekeyake basi tusitukuze ma Nabi wetu na Mitume wetu na walio kirimiwa kati yetu bila ya haki; Bali wao ni waja wa Allah kama sisi wanao kwa Allah haki kama vile tunayo haki, Kwajili ya hivo nawalingania waja wote kwa kushindana kwa mwenye kubudiwa Mola Moja na sisi kwake ni waislamu na kwa upendo wake na ukuruba wake tunashindania na kwa Neema Ya Radhi Zake Twaabudu.


Na wakati nikiwalingania kushindana na Muhammad Mtume wa Allah enyi ma3ashara ya waislamu basi sio maana yake kwamba munaweza kumpita, Lakini Allah Atawafufua katika kundi lake inye walio shindana nae katika kumpenda Allah na kutaka ukruba wake Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam, Lakini nawapa fatwa kwa haki kwa wale wanao kataa kushindana na Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam kwa kumpenda Allah na kutaka ukuruba wake ndio waseme: "Vipi yatakiwa kwetu tushindane na Muhammad Mtume wa Allah katika kumpenda Allah na kutaka ukuruba wake?". Basi hawo hakika wamemshirikisha Allah na wala hawatopata kwao pasi na Allah mwenye kuwanusuru wala rafiki na atajitoa kwao Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam na atawambia wao kama alivo sema Mtume wa Allah Almasih Isa mwana wa Maryam:
{ Sikuwaambia lolote ila uliyo niamrisha, nayo ni: Muabuduni Mwenyezi Mungu, Mola wangu Mlezi na Mola wenu Mlezi. Na mimi nilikuwa shahidi juu yao nilipo kuwa nao. Na ulipo nifisha ukawa Wewe ndiye Muangalizi juu yao. Na Wewe ni shahidi juu ya kila kitu (117) Ukiwaadhibu basi hao ni waja wako. Na ukiwasamehe basi Wewe ndiye Mwenye nguvu na Mwenye hikima (118) Mwenyezi Mungu atasema: Hii ndiyo Siku ambayo wasemao kweli utawafaa ukweli wao. Wao watapata Bustani zipitazo mito kati yake. Humo watadumu milele. Mwenyezi Mungu amewawia radhi, nao wawe radhi naye. Huku ndiko kufuzu kukubwa (119) Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye ufalme wa mbingu na ardhi na vilivyomo. Naye ni Muweza wa kila kitu.(120)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almaida].
{مَا قُلْتُ لَهُمْ إِلَّا مَا أَمَرْتَنِي بِهِ أَنِ اعْبُدُوا اللَّهَ رَبِّي وَرَبَّكُمْ وَكُنْتُ عَلَيْهِمْ شَهِيدًا مَا دُمْتُ فِيهِمْ فَلَمَّا تَوَفَّيْتَنِي كُنْتَ أَنْتَ الرَّقِيبَ عَلَيْهِمْ وَأَنْتَ عَلَى كُلِّ شَيْءٍ شَهِيدٌ (117) إِنْ تُعَذِّبْهُمْ فَإِنَّهُمْ عِبَادُكَ وَإِنْ تَغْفِرْ لَهُمْ فَإِنَّكَ أَنْتَ الْعَزِيزُ الْحَكِيمُ (118) قَالَ اللَّهُ هَذَا يَوْمُ يَنْفَعُ الصَّادِقِينَ صِدْقُهُمْ لَهُمْ جَنَّاتٌ تَجْرِي مِنْ تَحْتِهَا الْأَنْهَارُ خَالِدِينَ فِيهَا أَبَدًا رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُمْ وَرَضُوا عَنْهُ ذَلِكَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ (119) لِلَّهِ مُلْكُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَمَا فِيهِنَّ وَهُوَ عَلَى كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ} صدق الله العظيم [المائدة].


Na wala hakuwambia nyinyi Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam; "Hakika Allah ni wangu mimi pekeyangu pasi na nyinyi na musishindane na mimi katika kumpenda Allah na kutaka ukuruba nae".


Na hakika nyinyi mwajua enyi wanao pitisha katika kumtukuza Mtume wa Allah kwamba yeye hajasema hayo lakini nyinyi mumemshirikisha Allah ilhali hamujuwi, Na wala hatomfwata Al'Mahdi Al'Muntadhar yule ambae anamwabudu Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam, Na wals hatomfwata Almahdi Almuntadhar yule ambae amwabudu Masih Isa mwana wa Maryam Sala Allahu Aleyhi wa Ala Ummihi wa Al imran wa Salam; Bali anamfwata Muhammad Mtume wa Allah na ma Nabi wote na Mitume katika ulinganizi wao katika kumwabudu Allah peke hana mshirika nae basi wa amini kwamba ispokua wao ila tu ni Mitume wa Allah ni waja miongoni mwa waislamu basi ndio washindane na wao katika kumpenda Allah na kua karibu nae, Na hata kama lau hawatoweza kuwapita lakini hivo ndio yatakiwa iwe ibada yao kwa Mola wao Mlezi, Na hana mtu ispokua yale alio yatenda, Na kwa hayo atashinda ushindi mkubwa, Ispokua shirki nayo ni akida ndani ya Moyo kwamba yeye haijuzu kwake kushindana na Muhammad Mtume wa Allah katika kumpenda Allah na kua karibu nae, Na atakae kuitakidi hivo basi amemshirikisha Mola wake Mlezi na Allah Atazibwaga amali yake kisha hatokubali Allah kitu kwake.


Na enyi ma3ashara ya waislamu, Hakika mimi namshuhudisha Allah na tosha kwa Allah kua shahidi hakika mimi ni Al'Mahdi Al'Muntadhar lakini sisemi kwenu enye waislamu kwavile mimi ni Al'Mahdi Al'Muntadhar Khalifa wa Allah ju yenu kwajili ya hivo haitakiwi kwenu mushindane na Khalifa wa Allah katika kumpenda Allah na kutaka kua karibu nae, Basi lau nitawambia hayo basi hamutonisaida mbele ya Allah kitu na najilinda kwa Allah kwamba niwamuru kwa kunitukuza pasi na Allah kisha niwe miongoni mwa wanao adhibiwa, Bali nawambia nyinyi yale walio yasema Mitume wote kutoka kwa Mola wao Mlezi kwamba Mumwabudu Allah Mola wangu Mlezi na Mola wenu Mlezi ispokua Ameamuru Allah Mitume wote na Al'Mahdi Al'Muntadhar muwe katika waislamu wanao shindana kumpenda Allah na kua karibu nae ndio tuwe miongoni mwa waja wa Allah lakini nyinyi mumewatukuza Mitume wa Allah pasi na Allah.


Na labda anataka kunikatiza kijana ambae amekeuka nyuma ya mngongo wake yule ambae amelifanya jina lake (Qul Allah) Aseme: "Na vipi kutukuza ma Nabi pasi na Allah?". Kisha twarudisha jibu kwake kwa haki na namwambia yeye: Ni kumfanya Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam mstari mwekundu baina yenu na baina ya Allah basi uone kwamba haitakiwi kwako umpite basi ukitakidi hivo utakua umemtukuza pasi na Allah ndio umemshrikisha Allah na hutopata kwako pasi na Allah wali wala meenye kukunusuri, Lakini ikiwa lau kurudi nyuma kwako katika mashindano kupunguza kutoka kwako katika ibada na ukajitosheleza kwa yale alio kufaradhishia Allah ju yako ukasema yanitosha hayo basi Angekubali Allah ibada yako Akakujalia miongoni mwa watu wa kulia "As'hab Alyamin" lakini wewe hutopata mapenzi ya Allah na ukuruba wake; Bali ni katika as'hab alyamin na amani kwako kwa as'hab alyamin, Lakini ikiwa lau utawacha mashindano ya kumpenda Allah na kutaka ukuruba wake kwasababu wewe waitakidi kwamba haijuzu kwako kushindana na waja wa Allah walio kirimiwa katika ma Nabi na Mitume katika kumpenda Allah na kua karibu nae basi hapo ume aanguka kwenye shirki kwa Allah na ukatukuza waja wake pasi na Yeye kisha atakufanya ni miongoni mwa walio adhibiwa kisha hawatokusaidi kitu, Na ama ikiwa utajiunga katika mashindano na waja wa Allah walio kirimiwa basi imani ndogo kabisa utavuka kutoka daraja ya watu wa kulia kwenda kwa daraja ya walio karibu mnu, Eee hakika ya walio karibu na ma draja tafauti daraja ju ya taraja baadhi ju ya baadhi, Na yule ambae atashindana katika kumpenda Allah na kutaka kua karibu kwake na ikhlasi kwa Mola wake Mlezi hawezi kua katika watu wa kulia; Bali ni miongoni mwa waja wa Allah walio karibu mno. Na mujuwe hakika ya tafauti ni kubwa mno baina ya waja wa Allah walio karibu basi hawako sawa daraja moja; Bali ma daraja tafauti, Hana mtu ispokua yale alio yaendea mbio.


Lakini huwenda moja katika waislamu anatamani kua miongoni mwa walio karibu mno kulingana na uwingi wa upendo wake kwa ma Nabi kisha Amwandike Allah ni miongoni mwa mushrikina! Ama ikiwa ametamani awe miongoni mwa walio kurubishwa kwa wingi wa mapenzi yake ju ya Allah Mola Mlezi wa ulimwengu na ataka kwa Mola wake Mlezi amfufuwe pamoja na kundi ambalo Allah Alipenda kwasababu yeye yuwapenda anae pendwa na Allah na anamchukia anae chukiwa na Allah basi hawo ndio watu wa Mungu a'Rabaniyun wapendwa wa Mola Mlezi wa ulimwengu Ameangalia Allah ndani ya Nyoyo zao Akaona ndani ya Nyoyo zao mpenzi makuu ni ya Allah ndio wakapenda Mitume wake kwajili ya Mola wao Mlezi, Basi wao wanapenda kwajili ya Allah na wanachukia kwajili ya Allah.

Na enyi waislamu, Ikiwa Allah ndio munae mpenda zaidi kwenye nafsi zeni basi musitukuze kitu pasi na yeye ndio mufanye baina yenu na baina yake ni mja, Ni mstari mwekundu; Mpaka mwaona kua haijuzu kwenu mumpite na atakae kuitakidi hivo basi amemshirikisha Allah.


Na ewe ambae anae ji ita (Qul Allah), Ama utubu kwa Allah kutubia ama nitakufuta kwenye horodha ya ma ansar, Na sitokubali katika ma ansari wangu mushrik kwa Allah baada ilipo bainika kwangu shirki yake kwa Mola Mlezi wake, Na kuhusu bayana yako mimi ndio nimeifuta mwenyewe na natangaza hayo mbele ya watu na hivo ni sababu wewe umemfanya Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam mstari mwekundu baina ya waja na mwenye kuabudiwa na waona kwamba haijuzu kwa waislamu kumpita; Bali chini yake kisha wasimame, Kwahivo basi wewe ndio ume wamuru kumshirikisha Allah.


Na ewe mwanamume usiwe miongoni mwa ma jahili! Na je wakati ukisoma kua Nasser Muhammad Al'Yamani anakulingania kushindana na Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam waona kua mimi nimekupitisha ju ya Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam? Eeeee Wallahi ambae hapana Mola ispokua yeye hakika Babu yangu Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam hakika yeye ni mpendwa zaidi katika nafsi yangu kuliko waislamu wote na lau ingekua nina uwezo kwa kitu singeridhika mtu ampite katika waislamu, Na hivo ni kwajili yeye ndio mpendwa zaidi kwa nafsi yangu kuliko wao wote na kwajili ya hivo namtaka yeye awe ndio mpendwa zaidi kuliko wao na karibu, Ispokua nataka niwatowe kwenye mduwara wa kumshirikisha Allah basi haitakiwi kwenu mumfanye mja katika waja wa Allah wote ni mstari mwekundu muitakidi kua haijuzu kwenu kumpita, Basi mukifanya hivo mutakua mumemshirikisha, Basi muna nini hamufahamu Kauli?


Ne enyi waja wa Allah, Na iwemapenzi yenu maku ni ya Allah, Kisha muwapende Ma Nabi wake kwajili Yake, Na walio wema katika waja wake kwa ajili Yake, Na mushindane kwa kumpenda Yeye na kutaka kua karibu nae ikiwa mwamabudu Yeye.


Wala hajasema Al'Imahdi Al'Muntadhar kua yeye ni mstari mwekundu baina yangu na baina ya Allah basi haitakiwi kwenu munipite; Bali nasema: Mimi nawapa changamoto kua munipite ikiwa mutaweza, Basi sisi sote waja hakika tuko kwenye kushindana kwa mwenye kuabudiwa yupi kati yetu ni mpendwa zaidi na alio karibu zaidi, Lakini kutukuza kwenu kwa Mitume wa Allah inewazuwia baina yenu na baina ya hayo kwajili ya hivo mumemshirikisha Allah, Na ikiwa Mitume kutoka kwa Mola Mlezi wa ulimwengu ndio walio amuru kwa hayo basi sema leteni ushuhuda wenu ikiwa nyinyi ni wakweli, Ama ju ya Allah mwazua? Hivi hamuangali makemeo na kutishia kutoka kwa Allah kwa Mitume wake na kwa alio kitimisha kwao na mwenye makamu zaidi yao Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam Mutakuta kutishia na makemeo kwenye ilio wazi kitabu kwao kutoka Mola wao Mlezi ana watahadharisha kumshirikisha Allah ndio angushe amali zao ndio hakubali kitu kutoka kwao. Akasema Allah Ta3ala:
{Na kwa yakini yamefunuliwa kwako na kwa walio kuwa kabla yako: Bila ya shaka ukimshirikisha Mwenyezi Mungu a'mali zako zitaanguka, na lazima utakuwa miongoni mwa wenye kukhasiri} Sadaqa Allah Al3adhim [Azumur:65].


{وَلَقَدْ أُوحِيَ إِلَيْكَ وَإِلَى الَّذِينَ مِن قَبْلِكَ لَئِنْ أَشْرَكْتَ لَيَحْبَطَنَّ عَمَلُكَ وَلَتَكُونَنَّ مِنَ الخَاسِرِينَ} صدق الله العظيم [الزمر:65].


kisha Mutapata kwenye ilio wazi maana yake kitabu cha Allah kua Anawakataza kutukuza nafsi zao ju ya waja wake wanao fwata. Akasema Allah Ta3ala:
{Sema: Mimi ni mwanaadamu kama nyinyi. Ninaletewa Wahyi kwamba Mungu wenu ni Mungu Mmoja. Mwenye kutaraji kukutana na Mola wake Mlezi basi naatende vitendo vyema, wala asimshirikishe yeyote katika ibada ya Mola wake Mlezi } Sadaqa Allah Al3adhim [Alkahf:110].
{قُلْ إِنَّمَا أَنَا بَشَرٌ مِّثْلُكُمْ يُوحَى إِلَيَّ أَنَّمَا إِلَهُكُمْ إِلَهٌ وَاحِدٌ فَمَن كَانَ يَرْجُو لِقَاء رَبِّهِ فَلْيَعْمَلْ عَمَلاً صَالِحاً وَلَا يُشْرِكْ بِعِبَادَةِ رَبِّهِ أَحَداً} صدق الله العظيم [الكهف:110].


Akasema Allah Ta3ala:
{Sema: Hakika mimi ni mwonyaji tu; na hapana mungu ila Mwenyezi Mungu Mmoja, Mtenda nguvu,(65) Mola Mlezi wa mbingu na ardhi na viliomo baina yake, Mwenye nguvu, Mwenye kusamehe (66) Sema: Hii ni khabari kubwa kabisa (67) Ambayo nyinyi mnaipuuza (68)} Sadaqa Allah Al3adhim [Swaad].
{قُلْ إِنَّمَا أَنَا مُنذِرٌوَمَا مِنْ إِلَهٍ إِلَّا اللَّهُ الْوَاحِدُ الْقَهَّارُ (65) ربّ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَمَا بَيْنَهُمَا الْعَزِيزُ الْغَفَّارُ (66) قُلْ هُوَ نَبَأٌ عَظِيمٌ (67) أَنتُمْ عَنْهُ مُعْرِضُونَ(68)} صدق الله العظيم [ص].


Na wala hakuwapa fatwa Allah kua wao ndio wnao pendwa zaidi kuliko waja wake wote na walio karibu nae; Bali Amesema Allah Ta3ala:
{Sema: Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume. Wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi. Mimi nafuata niliyo funuliwa tu kwa Wahyi, wala mimi si chochote ila ni mwonyaji mwenye kudhihirisha wazi} Sadaqa Allah Al3adhim [Alahqaf:9].
{قُلْ مَا كُنتُ بِدْعاً مِّنْ الرُّسُلِ وَمَا أَدْرِي مَا يُفْعَلُ بِي وَلَا بِكُمْ إِنْ أَتَّبِعُ إِلَّا مَا يُوحَى إِلَيَّ وَمَا أَنَا إِلَّا نَذِيرٌ مُّبِينٌ}صدق الله العظيم [الأحقاف:9].


Na Hivo Hivo Al'Mahdi Al'Muntadhar hasemi kwenu enyi waislamu hakika mimi ndio mja adhimu kabisa kuliko waja wa Allah na mstari mwekundu haitakiwi kwenu kupita, Na najilinda kwa Allah na ghadhabu za Allah, Ispokua mimi mja wa Allah katika binadamu kama nyinyi na munayo kwa Mola wenu Mlezi yale alio nayo mja wake Nasser Muhammad Al'Yamani, Na atakae kunifanya mimi mstari mwekundu katika ma ansari wangu aona kua yeye haitakiwi kwake kunipita kwa kumpenda Allah na kua karibu nae basi amemshirikisha Allah, Allahuma Nimebalighisha Allahuma Fash'Had.


Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabilalamin..
Ndugu Wa Wenye Ikhlasi; Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
أخو المُخلصين؛ الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ـــــــــــــــــــ

======== اقتباس =========

اقتباس المشاركة: 3718 من الموضوع: ردود الإمام على العضو (قل الله): لن أقبل بين أنصاري مشركاً بالله بعدما تبيّن لي شركه بربه..( ردود الإمام على العضو "قل الله" )


- 1 -

الإمام ناصر محمد اليماني
06 - 01 - 1431 هـ
22 - 12 - 2009 مـ
12:55 صــباحاً
ـــــــــــــــــــــــــلن أقبل بين أنصاري مشركاً بالله بعدما تبيّن لي شركه بربّه..

مارأي الامام في ماذكر في البرنامج
في البرنامج طرحوا الآراء التي ترجح بأنه لا يوجد كوكب نيبرو أو أنه موجود ولكن لن يؤثر على الأرض والعلماء يرجحوا حدوث عاصفة شمسية بعد سنة تقريبا سوف يكون لها الأثر على وسائل الاتصالات .
ما بيانك ياأيها الامام يهمنا رأيك؟

بسم الله الرحمن الرحيم، وسلامٌ على المُرسلين، والحمدُ لله ربّ العالمين..
أخي الكريم، بارك الله فيك فإني لم أترقّب قناة أبو ظبي لأستمع ما يقولون عن كوكب نيبيرو لأنّهم إن اعترف به الناس جميعاً فوالله الذي لا إله غيره لا يزداد يقيني في أمره شيئاً، وكذلك لو ينكر وجوده ومجيئه الإنسُ والجنُّ فوالله الذي لا إله غيره لا ينقص من يقيني بمجيئه شيئاً، وهل تدري لماذا؟ وذلك لأني لم أتلقّى الفتوى بمجيئه من إنسانٍ ولا جانٍّ؛ بل علّمني بوجوده الرحمن في الرؤيا تلو الرؤيا تلو الرؤيا تلو الرؤيا تلو الرؤيا تلو الرؤيا تلو الرؤيا، وبما أنّ الرؤيا لا تُبنى عليها فتوى شرعيّة للأمّة ولذلك أراني ربي كوكب العذاب في محكم الكتاب كما سبق تفصيله من الكتاب ذكرى لأولي الألباب.

وأقسمُ بمن أنزل الكتاب وهزم الأحزاب الله العزيز الوهاب أنّ كوكب العذاب حقيقةٌ، وأنه سوف يرونه الناس جميعاً رأي العين، وأنه سوف يجعل الشمس تظهر من مغربها. فأين تذهبون يا معشر البشر المُعرضين عن البيان الحقّ للذِّكر وعن داعي المهديّ المنتظَر إلى الاحتكام إلى كتاب الله، فلا تُنظِروا إيمانكم بالحقّ من ربكم حتى تروا العذاب الأليم؛ بل أنيبوا إلى ربكم وأسلموا له من قبل أن يأتيكم العذاب ثم لا تنصرون، واتّبعوا أحسن ما أُنزل إليكم من ربكم من قبل أن يأتيكم العذاب بغتةً وأنتم لا تشعرون، واتقوا الله خيراً لكم وحكّموا عقولكم يا معشر البشر قبل أن يسبق الليل النهار فذلك يومٌ عسيرٌ تبلغ من هوله القلوب الحناجر، فكم نحاول إنقاذ البشر جميعاً بدعوتهم إلى الدخول في دين الله جميعاً فيكونون مُسلمين لله ربّ العالمين مُستمسكين بكتاب الله وسنّة رسوله الحقّ فيعبدون الله وحده لا شريك له، ولكن للأسف إن أوّل من تصدى لهذه الدعوة هم المُسلمون فمن يجير الذين يصدّون عن الحقّ من ربهم عذاب يومئذ، أفلا يتقون؟ أفلا يتفكرون في دعوة ناصر محمد اليماني هل ينطق بالحقّ؟ ألا والله لو يقارنون دعوة ناصر محمد اليماني ودعوة كافة الأنبياء والمُرسلين لوجدوا أنّ دعوة الإمام ناصر محمد اليماني هي ذاتها دعوة جميع المُرسلين من ربّ العالمين ولكنهم للأسف يريدون مهدياً منتظراً يأتي مُتّبعاً لأهوائهم وإلا فسوف ينال غضبهم ومقتهم ولعنتهم.

ثم يردّ عليهم المهديّ المنتظَر وأقول: وحتى ولو أعرض المهديّ المنتظَر عن كتاب الله واتّبع أهواءكم لما نلتُ برضوانكم شيئاً وحتى ولو رضيت علينا طائفةٌ سوف يغضب علينا أكثر من سبعين طائفةٍ، وأعوذُ بالله أن أهتم برضوانكم شيئاً لأني لا أعبدُ رضوان الشيعة ولا السُّنة والجماعة ولا غيرهم من الذين فرقوا دينهم شيعاً وكُلّ حزبٍ بما لديهم فرحون، وذلك لأني المهديّ المنتظَر أعلن الكُفر المُطلق بالتعدديّة الحزبيّة في الدين فلا أدعو إلى مذاهب الشيعة ولا إلى مذهب السّنة والجماعة ولا أدعو إلى أي فرقةٍ من فرق المُختلفين في الدين بعدما جاءتهم البينات في القرآن العظيم وأعوذ بالله أن أكون منهم من الذين فرقوا دينهم شيعاً حتى لا أكون من المُعذبين. تصديقاً لقول الله تعالى:
{وَلَا تَكُونُوا كَالَّذِينَ تَفَرَّقُوا وَاخْتَلَفُوا مِنْ بَعْدِ مَا جَاءَهُمُ الْبَيِّنَاتُ وَأُولَئِكَ لَهُمْ عَذَابٌ عَظِيمٌ} صدق الله العظيم [آل عمران:105].

ولذلك لن أكون من المُختلفين في الدين؛ بل حنيفاً مُسلماً وما أنا من المُشركين أدعو الناس إلى كلمةٍ واحدةٍ سواء بين جميع المُرسلين أن لا نعبد إلا الله فلا نعظّم أنبياءنا ورسلنا والمكرمين منا بغير الحقّ؛ بل هم عباد لله أمثالنا لهم في الله من الحقّ ما لنا، ولذلك أدعو كافة العبيد إلى التنافس إلى المعبود الإله الواحد ونحن له مسلمون وفي حبّه وقربه متنافسون ولنعيم رضوانه عابدون.

وحين أدعوكم إلى منافسة محمدٍ رسول الله يا معشر المُسلمين فليس معنى ذلك أنكم تستطيعون أن تتجاوزوه، ولكن الله سوف يحشركم في زمرته يا من تنافسونه في حُبّ الله وقربه صلى الله عليه وآله وسلم، ولكني أفتيكم بالحقّ في الذين يرفضون أن ينافسوا محمداً رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم في حُبّ الله وقربه فيقولون: "وكيف ينبغي لنا أن ننافس محمداً رسول الله في حبّ الله وقربه؟". أولئك قد أشركوا بالله ولن يجدوا لهم من دون الله ولياً ولا نصيراً وسوف يتبرأ منهم محمدٌ رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم ويقول لهم ما قاله رسول الله المسيح عيسى ابن مريم:
{مَا قُلْتُ لَهُمْ إِلَّا مَا أَمَرْتَنِي بِهِ أَنِ اعْبُدُوا اللَّهَ رَبِّي وَرَبَّكُمْ وَكُنْتُ عَلَيْهِمْ شَهِيدًا مَا دُمْتُ فِيهِمْ فَلَمَّا تَوَفَّيْتَنِي كُنْتَ أَنْتَ الرَّقِيبَ عَلَيْهِمْ وَأَنْتَ عَلَى كُلِّ شَيْءٍ شَهِيدٌ (117) إِنْ تُعَذِّبْهُمْ فَإِنَّهُمْ عِبَادُكَ وَإِنْ تَغْفِرْ لَهُمْ فَإِنَّكَ أَنْتَ الْعَزِيزُ الْحَكِيمُ (118) قَالَ اللَّهُ هَذَا يَوْمُ يَنْفَعُ الصَّادِقِينَ صِدْقُهُمْ لَهُمْ جَنَّاتٌ تَجْرِي مِنْ تَحْتِهَا الْأَنْهَارُ خَالِدِينَ فِيهَا أَبَدًا رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُمْ وَرَضُوا عَنْهُ ذَلِكَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ (119) لِلَّهِ مُلْكُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَمَا فِيهِنَّ وَهُوَ عَلَى كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ} صدق الله العظيم [المائدة].

ولم يقل لكم محمدٌ رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم: "إنّ الله لي وحدي من دونكم فلا تنافسوني في حُب الله وقربه". وإنكم لتعلمون يا معشر المُبالغين في تعظيم رسول الله أنه لم يقل ذلك ولكنكم أشركتم بالله وأنتم لا تعلمون. ولن يتّبع المهديّ المنتظَر من كان يعبد محمداً رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم، ولن يتّبع المهديّ المنتظَر من كان يعبد المسيح عيسى ابن مريم صلى الله عليه وعلى أمّه وآل عمران وسلّم؛ بل يتبع محمداً رسول الله وجميع الأنبياء والمُرسلين في دعوتهم إلى عبادة الله وحده لا شريك له فيؤمن إنما هم رُسل الله عبيد من المُسلمين فينافسونهم في حُبّ الله وقربه، ولو لم يستطيعوا أن يتجاوزوهم ولكن هكذا ينبغي أن تكون عبادتهم لربّهم، وليس للإنسان إلا ما سعى، وبذلك يفوزون فوزاً عظيماً،
وإنّما الشرك هو العقيدة في القلب بأنّه لا يجوز منافسة محمدٍ رسول الله في حُبِّ الله وقربِه، ومن اعتقد بذلك فقد أشرك بربه وأحبط الله عمله ثم لا يتقبل الله منه شيئاً.

ويا معشر المُسلمين، إنّي أشهدُ الله وكفى بالله شهيداً أنّي المهديّ المنتظَر ولكن لو أقول لكم يا معشر المُسلمين بما أنّي المهديّ المنتظَر خليفة الله عليكم ولذلك لا ينبغي لكم أن تنافسوا خليفة الله في حبّ الله وقربه، فلو أقول لكم ذلك فلن تُغنوا عني من الله شيئاً وأعوذُ بالله أن آمركم بتعظيمي من دون الله فأكون من المُعذّبين، بل أقول لكم ما قاله جميع المُرسلين من ربِّهم أن اعبدوا الله ربي وربكم وإنما أمر الله كافة المرسلين والمهديّ المنتظَر أن نكون من المُسلمين المُتنافسين في حُبّ الله وقربه فنكون ضمن عبيد الله ولكنكم عظَّمتم رُسل الله من دون الله.

ولربما يودّ أن يقاطعني الصبي الذي انقلب على عاقبيه من جعل مُعرِّفَه (قل الله) فيقول: "وكيف تعظيم الأنبياء من دون الله؟". ثمّ نردّ عليه بالحقّ ونقول له: هو أن تجعل محمداً رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم خطاً أحمراً بينكم وبين الله فترى أنه لا يحقّ لك أن تتجاوزه فإن اعتقدت ذلك فقد عظّمته من دون الله فأشركت بالله ولن تجد لك من دون الله ولياً ولا نصيراً، ولكن لو كان تراجعك من المنافسة اقتصاداً منك في العبادة فاكتفيت بما فرض الله عليك وقلت حسبي ذلك لتقبل الله عبادتك وجعلك في أصحاب اليمين ولكنك لن تنال حبّ الله وقربه؛ بل من أصحاب اليمين وسلامٌ لك من أصحاب اليمين، وأما لو تترك المنافسة في حبّ الله وقربه لأنك تعتقد أنه لا يجوز منافسة عباد الله المُكرمين من الأنبياء والمرسلين في حبِّ الله وقربه فهنا وقعتَ في الشرك بالله وعظّمت عبيده من دونه ثم يجعلك من المعذبين ثم لا يُغنوا عنك من الله شيئاً، وأمّا حين تشمّر لمنافسة عباد الله المُكرمين فأضعف الإيمان سوف تتجاوز من درجات أهل اليمين إلى درجات المقربين، ألا وإنّ المقربين درجاتٌ ودرجاتٌ بعضها فوق بعضٍ، ومن كان ينافس في حبّ الله وقربه مُخلصاً لربه لا يمكن أن يكون من أصحاب اليمين؛ بل من عباد الله المُقربين.
واعلموا إنَّ الفرق لعظيم بين عباد الله المقربين فليسوا هم درجةً واحدةً؛ بل درجات، وليس للإنسان إلا ما سعى.

ولكن لربّما أحد المُسلمين يتمنى أن يكون من المقربين
من شدة حُبِّه للأنبياء ثم يكتبه الله من المُشركين! أمّا إذا ما تمنى أن يكون من المُقربين من شدة حُبه لله ربّ العالمين ويريد من ربه أن يحشره في زمرة من يحبه الله لأنه يحبّ من أحبه الله ويبغض من بغضه الله فأولئك هم الربانيون أحباب ربّ العالمين نظر الله إلى قلوبهم فإذا في قلوبهم أشدُ الحبّ هو لله فأحبّوا رسله من أجل ربّهم، فهم يحبون من أجل الله ويبغضون من أجل الله.

ويا معشر المُسلمين، إن كان الله هو أحبّ شيءٍ إلى أنفسكم فلا تعظِّموا شيئاً دونه فتجعلون بينكم وبينه عبداً، هو خطٌ أحمر؛ حدٌ ترون أنه لا ينبغي لكم أن تتجاوزوه ومن اعتقد بذلك فقد أشرك بالله.

ويا من يُسمى نفسه (قل الله)، إما أن تتوب إلى الله متاباً أو سوف أقوم بحذفك من قائمة الأنصار،
ولن أقبل بين أنصاري مشركاً بالله بعدما تبيّن لي شركه بربه، وبالنسبة لبيانك فأنا من حذفته بنفسي وأعلن بذلك على الملأ وذلك لأنك جعلت محمداً رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم خطاً أحمر بين العباد والمعبود وترى أنّه لا يجوز للمُسلمين أن يتجاوزوه؛ بل إلى دونه ثم يتوقفون، إذاً فقد أمرتهم أنت بالشرك بالله.

ويا رجل لا تكن من الجاهلين! فهل حين تقرأ أنّ ناصر محمد اليماني يدعوك لمنافسة محمدٍ رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم ترى أنّي قد تجاوزت بك محمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم؟ ألا والله الذي لا إله غيره أن جدّي محمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم لهو أحبّ إلى نفسي من جميع المسلمين ولو كان لي من الأمر شيئاً لما رضيت أن يتجاوزه أحدٌ من المُسلمين، وذلك لأنه أحبّ إلى نفسي منهم جميعاً ولذلك أريده هو أن يكون أحبّ إلى الله منهم وأقربُ، وإنّما نريد أن نخرجكم من دائرة الإشراك بالله فلا ينبغي لكم أن تجعلوا عبداً من عباد الله جميعاً خطاً أحمر فتعتقدون أنه لا ينبغي لكم تجاوزه، فإن فعلتم فقد أشركتم، فما خطبكم لا تفقهون قولاً؟

ويا عباد الله، فليكن حبّكم الأكبر هو لله، ثم أحبّوا أنبياءه من أجله، والصالحين من عباده من أجله، وتنافسوا على حبّه وقربه إن كنتم إياه تعبدون.


ولم يقل لكم المهديّ المنتظَر أنا خطٌ أحمر بينكم وبين الله فلا ينبغي لكم أن تتجاوزوني؛ بل أقول: إني أتحدّاكم أن تتجاوزوني إن استطعتم، فنحن جميع العبيد لفي سباقٍ إلى المعبود أيُّنا أحبّ وأقرب، ولكن تعظيمَكم لرسل الله قد حال بينكم وبين ذلك ولذلك أشركتم بالله، وإن كان الرسل من ربّ العالمين أمروكم بذلك فقل هاتوا برهانكم إن كنتم صادقين، أم على الله تفترون؟ أفلا تنظرون إلى التهديد والوعيد من الله لرُسله وإلى خاتمهم وأرفعهم مقاماً محمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم تجدون في محكم الكتاب التهديد والوعيد لهم من ربهم يحذرهم من الإشراك بالله فيحبط عملهم فلا يقبل منه شيئاً. وقال الله تعالى:
{وَلَقَدْ أُوحِيَ إِلَيْكَ وَإِلَى الَّذِينَ مِن قَبْلِكَ لَئِنْ أَشْرَكْتَ لَيَحْبَطَنَّ عَمَلُكَ وَلَتَكُونَنَّ مِنَ الخَاسِرِينَ} صدق الله العظيم [الزمر:65].

ثم تجدون في محكم كتاب الله أنه ينهاهم عن تعظيم أنفسهم على عبيده التابعين. وقال الله تعالى:
{قُلْ إِنَّمَا أَنَا بَشَرٌ مِّثْلُكُمْ يُوحَى إِلَيَّ أَنَّمَا إِلَهُكُمْ إِلَهٌ وَاحِدٌ فَمَن كَانَ يَرْجُو لِقَاء رَبِّهِ فَلْيَعْمَلْ عَمَلاً صَالِحاً وَلَا يُشْرِكْ بِعِبَادَةِ رَبِّهِ أَحَداً} صدق الله العظيم [الكهف:110].

وقال الله تعالى:
{قُلْ إِنَّمَا أَنَا مُنذِرٌ وَمَا مِنْ إِلَهٍ إِلَّا اللَّهُ الْوَاحِدُ الْقَهَّارُ (65) ربّ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَمَا بَيْنَهُمَا الْعَزِيزُ الْغَفَّارُ (66) قُلْ هُوَ نَبَأٌ عَظِيمٌ (67) أَنتُمْ عَنْهُ مُعْرِضُونَ(68)} صدق الله العظيم [ص].

ولم يفتِهم الله أنّهم أحبّ من عباده أجمعين وأقرب؛ بل قال الله تعالى:
{قُلْ مَا كُنتُ بِدْعاً مِّنْ الرُّسُلِ وَمَا أَدْرِي مَا يُفْعَلُ بِي وَلَا بِكُمْ إِنْ أَتَّبِعُ إِلَّا مَا يُوحَى إِلَيَّ وَمَا أَنَا إِلَّا نَذِيرٌ مُّبِينٌ} صدق الله العظيم [الأحقاف:9].

وكذلك المهديّ المنتظَر لا يقول لكم يا معشر المُسلمين إنّي أعظمُ عبدٍ من عبيد الله وخطٌ أحمر لا ينبغي لكم أن تتجاوزه، وأعوذُ بالله من غضب الله، إنما أنا عبدٌ لله من البشر مثلكم ولكم في ربّكم ما لعبده ناصر محمد اليماني، ومن جعلني خطأً أحمر من أنصاري يرى أنه لا ينبغي له أن يتجاوزني في حُبّ الله وقربه فقد أشرك بالله، اللهم قد بلغت اللهم فاشهد.

وسلامٌ على المُرسلين، والحمدُ لله ربّ العالمين..
أخو المُخلصين؛ الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ـــــــــــــــــــ