Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
11 - 02 - 1433 هـ
05 - 01 - 2012 مـ
08:00 صباحاً
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=30974
ــــــــــــــــــــ

رد الإمام المهديّ على مسلم أمازيغي والفتوى الحقّ في إسلام سحرة فرعون من قبل إلقاء عصا موسى ..
Amejibu Al'Imam Al'Mahdi Ju Ya Muslim Amazighi Na Fatwa Ya Haki Katika Kuslimu Wachawi Wa Firaon Kabla Hajatupa Fimbo Musa ..

Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Babu Yangu Muhammad Mtume Wa Allah Na Ahli Yake WalioTwahirika, Na Wote Ma Ansar Wa Allah Al'Wahid Al'Qahar Wale Walio Sadiki Ahdi Yao Kwa Allah Miongoni Mwao Washaenda Mbele Ya Haki Na Wengine Ambao Wanangoja Na Hawakubadili Kamwe, Ama Baada Ya Hapo ..

Na enye ma ansar wa Almahdi Almuntadhar katika zama za mazungumzo kabla ya kudhihiri ikiwa mwataka haki basi haki ni haki kufwata, Na ikiwa atasmamisha ( Muslim Amazighi ) Ushuhuda baini kutoka kwa ilio wazi maana yake kitabu kwamba Nasser Muhammad Al'Yamani yuko katika upotevu basi haijuzu kwenu baada ya hapo muwe mashabiki na Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani ushabiki wa upofu, Eee Wallahi yule ambae ataogopa kusmamishwe hoja ju ya Nasser Muhammad Al'Yamani kisha afanye kuharibu mazungumzo ama kuificha kwa macho ya watafiti wa haki basi hakika yeye ametenda kosa kubwa inamlazimu kutubu na kurejea kwa Mola Mlezi wake ili Amghufurie dhambi yake.
Na huwenda kutaka moja katika wasmamizi wa meza ya mazungumzo ya ulimwengu kusema: "Hasha kwa Allah ewe imamu wangu sikupeleka mazungumzo katika sehemu hususi ya ma ansar kuogopa asmamishe hoja muslim amazighi ju yako bali kuogopa fujo na kufrahia ma shetani watu kuvuw beyaa yake amazighi, Kwajili ya hivo nimeihamisha katika sehemu hususi ya ma ansar". Kisha anamjibu Al'Mahdi Al'Muntadhar na nasema: Bali Wallahi hakika wewe umesababisha madhara kwa ulinganizi wa Alimam Nasser Muhammad Alyamani kwa tendo lako hili, Hivi hujuwi kua wametangulia kuona maudhui hi katika watafiti wa haki ambao wamejisajili katika tuvoti? Lakini wao wakija kufwatilia habari kuhusu sababu ya kuvua beyaa yake amazighi kisha wakute imtimu kufichwa mazungumzo kwa maoni ya watafiti wa haki, Basi fikirieni nini watafkiria, Hatimai watasema: "Kwahivo imesmamishwa hoja ju ya Nasser Muhammad Al'Yamani Kwajili ya hivo ndio imefichwa maudhui ya mazungumzo baina yake na baina ya muslim amazighi". Kisha wasema: "Yaonesha hapanabudi kua amazighi ametambua kua Nasser Muhammad Al'Yamani yuko katika upotevu na akashindwa kusmamisha hoja ju yake ndio kisha akaifuta mazungumzo yote yake na amazighi". Kisha waondoke watafiti wa haki katika tuvoti wawache tuvoti ya Nasser Muhammad Al'Yamani bila kurudi tena, Hivi hamuoni kua hayo yatakua kwasababu kuhamisha maudhui kuweka kwenye sehemu hususi ya ma ansar? Na hi ni kosa kubwa mumefanya hoja ju ya Nasser Muhammad Al'Yamani na wala hakusmamish ju yangu hasimu wangu katika mazungumzo; Bali nyinyi ndio mumesmamisha hoja kwasababu ya tendo lenu hili enye wasmamizi wa meza ya mazungumzo ya Al'Mahdi Al'Muntadhar, Basi mcheni Allah Al'Wahid Al'Qahar bali wengine watadhani kua Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani Yeye ndio aliwamuru kwa hayo lakini yule ambae amehamisha mazungumzo kati yenu Anash'hudia kwa Allah haikua kwa amri ya Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani, Na tosha kwa Allah Kua Shahidi.

Na enyi wapendwa wangu ma ansar ma3ashara ya wasmamizi wa Al'Mahdi Al'Muntadhar, Natoa Qasam Kwa Allah Al3adhim sijuwi yupi kati yenu ambae amehamisha mazungumzo kwa sehemu hususi ya ma ansar, Na wala sitaki kujua nani yeye ili nisimhisishe aone vibaya kwa ile alivo tenda, Na nasema Amghufurie Allah ju yake basi asifanye tena kama hivo na munitii huwenda mukafaulu.
Na enye ma3ashara ya ma ansar katika zama za mazungumzo kabla kudhihiri, musithubutu kisha musithubutu kushabiki upofu kwa Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani, Eee Wallahi yule ambae ataogopa kusmamishwe hoja ju Nasser Muhammad Al'Yamani kisha akajaribu kumbabaisha yule ambae anajadiliana na Nasser Muhammad Al'Yamani ili asismamishe ju ya Nasser Muhammad Al'Yamani hoja, Alafu namwambia Yeye: Ewe Ansari hakika dhambi ju ya moyo wako mpaka utubu kwa Mola Mlezi wako ili Akughufurie, Kwakua Allah Amefaradhisha ju yenu kwamba muwe wangalifu kufwata haki na wala hamutaki ila haki, Na mwawambia wanazuoni wa waislamu atakae kuona kua Nasser Muhammad Al'Yamani yuko katika upotevu kwa masaala fulani basi aje asmamishe hoja katika tuvoti yake katikati ya nyumba yake (meza ya mazungumzo ya ulimwengu) kwajili Nasser Muhammad Al'Yamani tayari amehukumu ju ya nafsi yake kutangulia kua lau atasmamishwa ju yake hoja moja katika wanazuoni katika kitabu kwenye masaala moja peke basi amekua sio yeye Al'Mahdi Al'Muntadhar, Na ju ya ma ansar wote ju yao kurudi kutomfwata Nasser Muhammad Al'Yamani, Na hivo hivo ju ya Nasser Muhammad Al'Yamani kuregea kwa akida kua yeye ni Al'Mahdi Al'Muntadhar, Basi musisahau enye ma3ashara ya ma ansar fatwa ya babu yangu Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam:
[ Na Hakika Wewe Ndio Al'Mahdi Al'Muntadhar Na Hatokujadili Mwanachuoni Katika Al'Quran ispokua Utamshinda].
[وانك أنت المهديّ المنتظر وما جادلك عالِم من القرآن إلا غلبته].
Kwahivo enye wapendwa wangu kwa Allah haitakiwi kwa mwana chama muslim amazighi ambae ni mmoroko ama mwafrika mweusi wala mweupe awe atasmamisha hoja ju ya Nasser Muhamma Al'Yamani kutoka kwa Al'Quran Al3adhim ikiwa kweli ni Al'Imam Al'Mahdi Al'Muntadhar hakuna shaka wala utetanishi. Na hakika mimi naona muslim amazighi anasema: "Ewe Nasser Muhammad Al'Yamani mwenye kujighuri, Usihukumu kua muslim amazighi hatoweza kusmamisha hoja ju yako kutoka Al'Quran basi usihukumu kabla ya mazungumzo! Si wewe watusia kuchelewesha kuhukumu mpaka tupeleze na kutafakari kwa utaratibu na ukimya? Basi ungesubiri kuhukumu kwakauli yako kua amazighi hatoweza kusmamisha hoja ju ya Nasser Muhammad Al'Yamani na kitu gani kitakujulisha ewe Nasser Muhammad Al'Yamani huwenda nimejua yale hawajayajuwa nayo wote ma ansar kwa point moja kua wewe uko katika upotevu kwenye Bayana zako kuibain kwa Al'Quran". Kisha Anakujibu Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani na nasema: Ewe muslim amazighi, Ikiwa utmpata Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani anahukumu kua yeye ndio mshindi kabla ya mazungumzo na hivo ni kwakua mimi najua sijamzulia ju Alllah urongo na kua mimi ni Al'Mahdi Al'Muntadhar hapana shaka wala utetanishi, Kwajili ya hivo waniona nahukumu matokeo ya mazungumzo baina yangu na baina wahasimu wangu katika mazungumzo kabla hatujazungumza kua wote ma ansar na watafiti wa haki watakuta kua mshindi katika mazungumzo kweli ni Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani na hakika sisi ni wakweli, La sivo; Basi mimi sio Al'Imam Al'Mahdi basi kuweni kwa hayo ni katika mashahidi.

Na enye ma3ashar ya ma ansar walio tangulia walio bora na ma3ashara ya watafiti wa haki wote katika meza ya mazungumzo njoni niwambainishie sababu ya kujifitini muslim amazighi, Basi ameandika katika hususi barua ya kufafanua kwa moja katika ma ansar wahishimiwa wale wanao chunga kuongoka walimwengu akaifanya kwa inwani:

اقتباس المشاركة :
(( Kufafanua kwa Alhabib Ibrahim Mwenye Akili )) Nayo Kama ifwatavyo;

[[[[[Bismillah Arrahman Arrahim, Asalam Alekom Nduguyangu Mtukufu, Ama baada hao
Nataka usome yanao fwata nayo ni vidokezi katika Bayana ya Nasser Muhammad Al'Yamani (Unaweza kupata ukurasa ya Bayana kuingiza mwanzo wake katika tuvoti ya googole sach) Na nitakutaka usome surat taha baada kuisoma Bayana na hi ni link ili isahiliahe kwako jambo:
انتهى الاقتباس
اقتباس المشاركة :
http://www.holyquran.net/cgi-bin/prepare.pl?ch=20
انتهى الاقتباس
اقتباس المشاركة :
انتهى الاقتباس
اقتباس المشاركة :
Kisha nataka nkulize suali moja pekeyake na nataka niwakumbushe mzaha kwa haki kutoka kwa Allah Amesema kwa Nabi Wake" Musa ju yake sala na salam wakati wakujadiliana na wachawi na Nabi wa Allah Musa wakati akiwawaidhia akawambia Nabi wa Allah Musa ju Yake Sala na Salam:


{ Akasem Musa olewenu musimzulie Allah urongo basi Atawangamiza kwa adhabu na amepotea mwenye kuzuo (61)}


{ قَالَ لَهُم مُّوسَى وَيْلَكُمْ لَا تَفْتَرُوا عَلَى اللَّهِ كَذِباً فَيُسْحِتَكُمْ بِعَذَابٍ وَقَدْ خَابَ مَنِ افْتَرَى (61) }
Kisha Allah Amemfunulia Nabi wake Musa Akamwambia Ewe Musa Kua mpole ju ya ma wali wangu, Kisha ikamjia mshangao Nabi wa Allah Musa vipi awe mpole kwa wachawi wazushi basi vipi watakua ni ma wali wa Allah?
Akataka kwa Allah zaidi katika fatwa kuhusu jambo lau na vipi kua ni ma wali wa Allah lakini yeye hakusikia kutoka kwa Mola Mlezi wake kitu vipi kua ni ma wali wa Allah. Basi Allah Hakumjibu kwa fatwa kuhusu jambo lao mpaka ibainike kwake haki kwenye waki ya uhakika.
Na ikabainika kwa Nabi wa Allah Musa vipi wamekua katika ma wali wa Allah wakasema mbele ya firaun mwenye kiburi jabari ambae mwangamizaji Wakasema mbele yake:
{ Wakasema: Tumemuamini Mola Mlezi wa viumbe vyote(121) Mola Mlezi wa Musa na Haarun (122) Akasema Firauni: Mmemuamini kabla sijakupeni idhini? Hizi ni njama mlizo panga mjini mpate kuwatoa wenyewe. Lakini karibu mtajua (123) Lazima nitaikata mikono yenu na miguu yenu mbali mbali. Kisha nitakutundikeni misalabani (124) Wakasema: Sisi ni wenye kurejea kwa Mola wetu Mlezi (125) Nawe hukuudhika nasi ila kwa kuwa tumeziamini Ishara za Mola Mlezi wetu zilipo tujia. Ewe Mola Mlezi wetu! Tumiminie uvumilivu na utufishe hali ni Waislamu (126)} Sadaqa Allah Al3adhim"
{ قَالُوا آمَنَّا بِرَبِّ الْعَالَمِينَ (121) رَبِّ مُوسَى وَهَارُونَ (122) قَالَ فِرْعَوْنُ آمَنتُمْ بِهِ قَبْلَ أَنْ آذَنَ لَكُمْ إِنَّ هَذَا لَمَكْرٌ مَكَرْتُمُوهُ فِي الْمَدِينَةِ لِتُخْرِجُوا مِنْهَا أَهْلَهَا فَسَوْفَ تَعْلَمُونَ (123) لَأُقَطِّعَنَّ أَيْدِيَكُمْ وَأَرْجُلَكُمْ مِنْ خِلَافٍ ثُمَّ لَأُصَلِّبَنَّكُمْ أَجْمَعِينَ (124) قَالُوا إِنَّا إِلَى رَبِّنَا مُنقَلِبُونَ (125) وَمَا تَنقِمُ مِنَّا إِلاَّ أَنْ آمَنَّا بِآيَاتِ رَبِّنَا لَمَّا جَاءَ تْنَا رَبَّنَا أَفْرِغْ عَلَيْنَا صَبْرًا وَتَوَفَّنَا مُسْلِمِينَ (126) } صدق الله العظيم "


Na Sasa Baada ulipo soma vidokezi Ya Bayana Yake na ukasoma surat Twaha nakupa suali langu: Billah kwako hebu nambie wapi unakuta kua Allah Alikua Akifanya mzaha na Musa? Kisha wapi wakuta kua Allah Amemfunulia Musa kua afanye upole kwa wachawi na Akawita ma wali wake? Kisha wapi utapata kua Musa alitaka fatwa kutoka kwa Mola Mlezi wake ili amfafanulie kuhusu maana yake kwakua wachawi ma wali wa Allah na Allah Hakumjibu?


Ndugu Yangu hu ni mfano moja kutokana na ma sehemu nyingi ambazo hajahukumu ndani yake Nasser Muhammad kwa dhana bali amevuka hayo mpaka kumzulia Allah na kusema ju Yake yale Hajayasema katika Al'Quran Wala Hamsisumulia nayo, Ndugu zangu kwa Allah ( ikiwa huyu mtu samahani amapatikana na maradhi baranoya na Allah Aalam) Basi hatuna udhuri sisi atupe fatwa na tumkubalie katika udangayifu wake na tufwate upotevu wake kisha tupofuke pamoja na yeye ndio tuanguke. Tafadhalini ndugu zangu kwa Allah mutanabahi na mushtuke basi asiwatumie moja kwa nia mzuri zenu na kumhushimu kwenu na kuvunjika moyo kwenu kutokana na hali tulio nayo na kutamani kwenu kutokezea Al'Mahdi awavute kuipa mkono batili, Basi rudieni kusoma Bayana zake mutakuta ajabu ya ma ajabu, Ama mimi nimekuta mengi katika udanganyifu wake na nitawaletea mbele yenu na sitaki kwenu mumkadhibu wala mumsadiki bali sadikisheni nafsi zenu kauli na muhukumu kwa usawa na muwe mashahidi wa Allah kwa haki wala isiwachukuwe utukufu kwa dhambi Basi Wallahi hamuna Wali pasi na Yeye Allah wala mwenye kunusuru wala hatopata yoyote kwenu kesho mbele ya Allah kuwanufaisha wala Atachukua Mola Mlezi wenu uwadilifu wala hamuna pasi na yeye wali wala mombelezi. Walahaula wala quwata il billah Al3aliyu Al3adhim. Basi Tumesubiri kwajili ya upole wetu na tumenyanaza kwa hikma na sasa imetoka haki na tutaanza kuanzi miropoko yake mikibwa; Msingi wa ulinganizi wake:"Kuabudu Radhi Ya Allah Katika Nafsi Yake"!
Na Salam Alekom kawa uwezo wa Allah kwenye barua ingine ikiwa hawajaondosha ju yangu sifa ya mnusura nikose uwezo wakuwasiliana na nyinyi ikiwa nitaikosa basi nitandika hadharani, Na wakifunga uwanachama wangu nitajaribu kujisajili tena upya wakinizuwia basi nitajisajili inje ya nyumba na nitaendelea kuwasiliana na nyinyi kwajili mimi nawapenda na vile sitaki mupate ispokua kheri wala sitaki mupate hasara na upotevu na nyinyi waumini mwatafuta uwongofu.

Basi Angalieni enye ma3ashara ya ma anssar nukulu katika Bayana ya muslim amazighi Tutaifanya kwa ukubwa ionekane kama ifawatavo:


Na Sasa Baada ulipo soma vidokezi Ya Bayana Yake na ukasoma surat Twaha nakupa suali langu: Billah kwako hebu nambie wapi unakuta kua Allah Alikua Akifanya mzaha na Musa? Kisha wapi wakuta kua Allah Amemunulia Musa kua afanye upole kwa wachawi na Akawita ma wali wake? Kisha wapi utapata kua Musa alitaka fatwa kutoka kwa Mola Mlezi wake ili amfafanulie kuhusu maana yake kwakua wachawi ma wali wa Allah na Allah Hakumjibu?


Ndugu Yangu hu ni mfano moja kutokana na ma sehemu nyungi ambazo hajahukumu ndani yake Nasser Muhammad kwa dhana bali amevuka hayo mpaka kumzulia Allah na kusema ju Yake yale Hajayasema katika Al'Quran Wala Hamsisumulia nayo, Ndugu zangu kwa Allah ( ikiwa huyu mtu samahani amapatikana na maradhi baranoya na Allah Aalam) Basi hatuna udhuri sisi atupe fatwa na tumkubalie katika udangayifu wake na tufwate upotevu wake kisha tupofuke pamoja na yeye ndio tuanguke. Tafadhalini ndugu zangu kwa Allah mutanabahi na mushtuke basi asiwatumie moja kwa nia mzuri zenu na kumhushimu kwenu na kuvunjika moyo kwenu kutokana na hali tulio nayo na kutamani kwenu kutokezea Al'Mahdi awavute kuipa mkono batili, Basi rudieni kusoma Bayana zake mutakuta ajabu ya ma ajabu, Ama mimi nimekuta mengi katika udanganyifu wake na nitawaletea mbele yenuna sitaki kwenu mumkadhibu wala mumsadiki bali sadikisheni nafsi zenu kauli na muhukumu kwa usawa na muwe mashahidi wa Allah kwa haki wala isiwachukuwe utukufu kwa dhambi Basi Wallahi hamuna Wali pasi na Yeye Allah wala mwenye kunusuru wala hatopata yoyote kwenu kesho mbele ya Allah kuwanufaisha wala Atachukua Mola Mlezi wenu uwadilifu wala hamuna pasi na yeye wali wala mombelezi. Walahaula wala quwata il billah Al3aliyu Al3adhim. Basi Tumesubiri kwajili ya upole wetu na tumenyanaza kwa hikma na sasa imetoka haki na tutaanza kuanzi miropoko yake mikibwa; Msingi wa ulinganizi wake:"Kuabudu Radhi Ya Allah Katika Nafsi Yake"!
imeishaa...
انتهى الاقتباس


Kisha Anarudisha Jibu Kwako Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Na Nasema: Ala Wallah ewe amazighi hakika mimi najua kabla kua wewe sio katika wale wanaofwata Radhi ya Allah waifanye lengo lau baada walipo jua kua ndani yake siri ya Ana3im Ala3dham Neem Kuu kuliko pepo yake basi wao kwa hayo ni katika mashahidi na wewe kwa hayo ni katika wanao chukia, Na ushuhuda ulio baini fatwa yako kua katika miropoko mikubwa ya Nasser Muhammad Al'Yamani ni ulinganizi wake wakuabudu Radhi Ya Allah Katika Nafsi Yake! Kisha Anakujibu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Na Nasema: Ewe amazighi, Wallahi Yule Ambae Hakuna Mola Ispokua Yeye hakika wako katika ma ansar ambao wameyakinisha kua Nasser Muhammad Al'Yamani yeye ndio Al'Mahdi Al'Muntadhar kama vile wana yakini kua Mola Mlezi wao ni Allah, Na suali Ambalo lajiweka lenyewe ni: Na ni sababu gani ambao imewafanya wao ma ansar wa Al'Mahdi Al'Muntadhar wenye yakini; Wana yakini kiwango hiki kikubwa kua Nasser Muhammad Al'Yamani Yeye ndio Al'Mahdi Al'Muntadhar hakuna shaka wala utetanishi pamoja kwamba wao hawajamona bado Nasser Muhammad Al'yamani ama kukutana nae, Ni Kama kwamba Allah Amemp Mkono kwa aya kubwa imewashangaza nyoyo zao wakawa na yakini? Kisha anakupa fatwa Nasser Muhammad Al'Yamani kwa haki na nasema: Ewe amazighi, Natoa Qasam kwa Allah Mola Mlezi wa ulimwengu Mola Mlezi wa mbingu na ardhi na viliomo kati yake na Mola Mlezi wa Arshi Kuu hakika hawawezi kuwafitini wao binadamu na majini wote wamwanzo miongoni mwao na wamwisho, Na kua Allah lau Atawapa kila moja wao ufalme wake wote basi hakika yeye hatoridhika yoyote katika wao mpaka Aridhike Allah ndani ya Nafsi Yake n hakua tena Ana Huzuni Na Maskitiko, Basi chochote chini ya hapo vipinguzi katika nyoyo zao vile iko na itakavo kua, Na kwajili ya hivo Amewaumba ili wafanye Radhi ya Allah ni lengo wala sio wasila njia ili kutimu ipatikane pepo, Na wao kwa hayo ni katika mashahidi, Na mimi sijuwi wengi miongoni mwao lakini wao wanajua uhakika hu mkuu katika kitabu nayo kweli imekua ndani ya moyo wao na wanaiyona hakuna aya kubwa na adhimu zaidi kama hio katika kitabu kabisa, Kwakua ni kubwa kuliko ufalme wa mbingu na ardhi na kubwa kuliko pepo ambao upana wake upana wa mbingu na ardhi uhakika wa Radhi Ya Allah Kwenye Nafsi Yake Ni Kubwa Kuliko Neema Ya Pepo Yake, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{Mwenyezi Mungu amewaahidi Waumini wanaume na Waumini wanawake Bustani zipitazo mito kati yake, wadumu humo. Na makaazi mema katika Bustani za kudumu, na Radhi za Mwenyezi Mungu ndio kubwa kuliko yote. Huko ndiko kufuzu kukubwa(72)} Sadaqa Allah Al3adhim [Atawuba].
{وَعَدَ اللَّـهُ الْمُؤْمِنِينَ وَالْمُؤْمِنَاتِ جَنَّاتٍ تَجْرِي مِن تَحْتِهَا الْأَنْهَارُ خَالِدِينَ فِيهَا وَمَسَاكِنَ طَيِّبَةً فِي جَنَّاتِ عَدْنٍ ۚ وَرِضْوَانٌ مِّنَ اللَّـهِ أَكْبَرُ ۚ ذَٰلِكَ هُوَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ ﴿٧٢﴾}صدق الله العظيم [التوبة].

Na ewe amazighi, Hakika ya watu wale ambao Anawapenda Allah na wanampenda wale Ame Ahidi nao Allah kwenye ilio wazi maana yake kitabu chaki hawatoridhika na ile ambao Yuwamiliki Allah mpaka Awe Mpenzi wao Ameridhika ndani ya Nafsi Yake Hana maskitiko wala huzuni, Na hivo ni kwa jili ya uwingi wa mapenzi yao sana kwa Mola Mlezi wao wamekataa neema ya pepo mpaka Awatimizie Mola Mlezi wao Ana3im Ala3dham Neema Kuu kuliko hio (Aridhike). Ala Wallah ewe amazighi lau Ataongeza kwa moja wao ufalme wote sio mara mbili peke; Bali hata kama Ataongeza kwa idadi ya uzito wa dharat "
Atomi" ulimwengo wa Allah Al3adhim hakika hatoridhika yoyote kati yao kwa yote hayo mpaka itimu kupatikane Radhi ya Mola Mlezi wake Mpendwa wake Mkuu basi wao kwa hayo ni katika mashahidi, Na laana ya Allah ju ya anae mzulia Allah urongo, Na wadhani nini jibu kutoka kwa Allah ju yao malipo ya kusisitiza kwao sana bila mwisho kwa kutimu kupatikane Radhi ya Allah katika Nafsi Yake? Na Tallahi Hakika Atawatimizia Allah kwao hayo mpaka waridhike kwa nafsi zao kwa kupatikana kutimu Ana3im Ala3dham Neema Kuu, Na kisha Awafanye Watukufu zaidi katika viumbe va Allah kabisa wanatamani ma Nabi na mashahidi kwa ukuruba wao kwa Mola Mlezi wao, Na ile ambao imewainua pahala hapo ambao mpaka wanatamani ma Nabi na ma shahidi ni lengo lau na mwisho wa matarajio yao na ghaya yao, Basi ni kubwa kiasi gani kusisitiza kwao ju ya hilo, Kwajili ya hivo hatowafitini Allah kwa yale yalio chini ya hayo kutokana na Ufalme Wake Wote, Na wao kwa hayo ni katika mashahidi kwa yale yaliokl ndani ya moyo wao sasahivi. Na Tallahi hakika mimi kama kwamba naona macho yao yanatowa machozi kwa yale walio yajua kutokana na haki pamoja ya kua wao ni katika wlio fanya madhambi walio tubu walio twahirika Wapenzi wa Allah Mola Mlezi wa ulimwengu, Basi vipi ataridhika mpenzi na yeye yuwamona mpenzi wake ana majuto na mskitiko na huzuni ju ya watu hajawadhuulumu Allah kitu lakini wao wamedhulumu nafsi zao wakajuta kwa yale walio poteza kwa upande wa Mola Mlezi wao? Na hapa inkuja mskitiko ju yao katika Nafsi ya Mola Mlezi wao baada ilipo kuja ndani ya Moyo wao maskitiko na majuto kwa yale walio poteza kwa upande wa Mola Mlezi wao, Na majuto yankuja katika moyo wao moja kwa moja baada walipo angamia kwao kwa adhabu ya Mola Mlezi wao, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

{ Na fuateni yaliyo bora kabisa katika yale yaliyo teremshwa kwenu kutoka kwa Mola wenu Mlezi, kabla haijakujieni adhabu kwa ghafla, na hali hamtambui (55) Isije ikasema nafsi: Ee majuto yangu kwa yale niliyo poteza upande wa Mwenyezi Mungu, na hakika nilikuwa miongoni mwa wanao fanya maskhara (56)}
Sadaqa Allah Al3adhim [Azumur].

{وَاتَّبِعُوا أَحْسَنَ مَا أُنزِلَ إِلَيْكُم مِّن رَّ‌بِّكُم مِّن قَبْلِ أَن يَأْتِيَكُمُ الْعَذَابُ بَغْتَةً وَأَنتُمْ لَا تَشْعُرُ‌ونَ ﴿٥٥﴾ أَن تَقُولَ نَفْسٌ يَا حَسْرَ‌تَىٰ عَلَىٰ مَا فَرَّ‌طتُ فِي جَنبِ اللَّـهِ وَإِن كُنتُ لَمِنَ السَّاخِرِ‌ينَ ﴿٥٦﴾}
صدق الله العظيم [الزمر].j

Na baada ya ukelele wa adhabu na kuja majuto katika nafsi zao kwa yale walio poteza kwa upande wa Mola Mlezi wao kisha inakuja maskitiko kwa Nafsi Ya Allah ju yao baada kupatikana ukelele wa adhabu Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ Hakukuwa ila ukelele mmoja tu; na mara walizimwa (29) Nawasikitikia waja wangu. Hawajii Mtume ila wao humkejeli (30) Je! Hawaoni umma ngapi tulizo ziangamiza kabla yao? Hakika hao hawarejei tena kwao (31) Na hapana mmoja ila wote watakusanywa waletwe mbele yetu (32)} Sadaqa Allah Al3adhim [Yasin].
: {إِن كَانَتْ إِلَّا صَيْحَةً وَاحِدَةً فَإِذَا هُمْ خَامِدُونَ ﴿٢٩﴾ يَا حَسْرَ‌ةً عَلَى الْعِبَادِ مَا يَأْتِيهِم مِّن رَّ‌سُولٍ إِلَّا كَانُوا بِهِ يَسْتَهْزِئُونَ ﴿٣٠﴾ أَلَمْ يَرَ‌وْا كَمْ أَهْلَكْنَا قَبْلَهُم مِّنَ الْقُرُ‌ونِ أَنَّهُمْ إِلَيْهِمْ لَا يَرْ‌جِعُونَ ﴿٣١﴾ وَإِن كُلٌّ لَّمَّا جَمِيعٌ لَّدَيْنَا مُحْضَرُ‌ونَ ﴿٣٢﴾} صدق الله العظيم [يس].

Bali na alipiza kutoka kwao na ilhali yeye ana Maskitiko na huzuni. Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{ Waliopo Tusikitisha
tuliwapatiliza tukawazamisha wote }
Sadaqa Allah Al3adhim [Azukhruf:55].

بل وينتقم منهم وهو أسِفٌ عليهم وحزينٌ. تصديقاً لقول الله تعالى:{فَلَمَّا آسَفُونَا انتَقَمْنَا مِنْهُمْ}صدق الله العظيم [الزخرف:55].

Lakini ma Nabi ju yao Sala na Salam hawahuzuniki ju ya watu wao kitu baada walipo momba Allah kua Afunguwe baina yao na baina watu wao kwa haki, Kisha Allah Anawalipiza watu wa Nabi kisha Nabi wao anawawachia mbali , Na Yuwasema Kama mfano ya kauliya moja wao:
{ Basi akawaachilia mbali na akasema: Enyi kaumu yangu! Nimekufikishieni Ujumbe wa Mola Mlezi wangu, na nimekunasihini; basi vipi niwahuzunikie watu makafiri (93)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf].
{فَتَوَلَّىٰ عَنْهُمْ وَقَالَ يَا قَوْمِ لَقَدْ أَبْلَغْتُكُمْ رِسَالَاتِ رَبِّي وَنَصَحْتُ لَكُمْ ۖ فَكَيْفَ آسَىٰ عَلَىٰ قَوْمٍ كَافِرِينَ ﴿٩٣﴾} صدق الله العظيم [الأعراف].

Yani hakuna kuskitika na huzuni wala majuto ju ya kaumu makafiri, Lakini hali ya Allah Mwenye huruma kuliko Ma Nabi wake na Mitume wake sio kama hali yao basi yeye ni Arrhama Arrahimin, Kwajili ya hivo hakusema kama kauli ya moja katika ma Nabi:

{basi vipi niwahuzunikie watu makafiri},
{فَكَيْفَ آسَى عَلَى قَوْمٍ كَافِرِينَ}
Bali Asema Ndani Ya Nafsi Yake:
{Nawasikitikia waja wangu. Hawajii Mtume ila wao humkejeli (30) Je! Hawaoni umma ngapi tulizo ziangamiza kabla yao? Hakika hao hawarejei tena kwao (31) Na hapana mmoja ila wote watakusanywa waletwe mbele yetu (32)} Sadaqa Allah Al3adhim [Yasin].
{يَا حَسْرَ‌ةً عَلَى الْعِبَادِ مَا يَأْتِيهِم مِّن رَّ‌سُولٍ إِلَّا كَانُوا بِهِ يَسْتَهْزِئُونَ ﴿٣٠﴾ أَلَمْ يَرَ‌وْا كَمْ أَهْلَكْنَا قَبْلَهُم مِّنَ الْقُرُ‌ونِ أَنَّهُمْ إِلَيْهِمْ لَا يَرْ‌جِعُونَ ﴿٣١﴾ وَإِن كُلٌّ لَّمَّا جَمِيعٌ لَّدَيْنَا مُحْضَرُ‌ونَ ﴿٣٢﴾}صدق الله العظيم [يس].

Na je mwajua kwanini Anasems hivo? Ispokua yafanyika hayo ndani ya Nafsi Ya Allah kwasababu ya sifa ya Rahma katika Nafsi ya Allah basi yeye ni Arrhama Arrahimin, Na Wanatambua Hayo kaumu Allah Anawapenda na Wanampenda.

Na ewe amazighi, Ama kuhusu wachawi ambao unanihoji kwa kusilimu kwao kabla hajatupa Musa ju yake Sala na Salam fimbo yake, Basi wamesilimu kabla ya hayo na wakzungumza siri baina yao na mpaka ingie imani kwa moyo wao baada kubainika kwao uhakika wa fimbo ya Musa, Lakini wao wamesilimu kwa Allah kabla ya hayo na wakaogopa adhabu Yake ambao amewahidi nayo Nabi wa Allah Musa:

{Musa akamwambia: Ole wenu! Msimzulie Mwenyezi Mungu uwongo, asije akakufutilieni mbali kwa adhabu. Na mwenye kuzua lazima ashindwe (61) Basi wakazozana kwa shauri yao wenyewe kwa wenyewe, na wakanong'ona kwa siri (62)} Sadaqa Allah Al3adhim [Taahaa].

{قَالَ لَهُم مُّوسَىٰ وَيْلَكُمْ لَا تَفْتَرُ‌وا عَلَى اللَّـهِ كَذِبًا فَيُسْحِتَكُم بِعَذَابٍ وَقَدْ خَابَ مَنِ افْتَرَ‌ىٰ ﴿٦١﴾ فَتَنَازَعُوا أَمْرَ‌هُم بَيْنَهُمْ وَأَسَرُّ‌وا النَّجْوَىٰ ﴿٦٢﴾} صدق الله العظيم [طه].

Na je wajua kwanini wamezozana wachawi jambo lao wenye kwa wenyewe wakanong'ona kwa siri wakasema baadhi yao kwa baadhi hakika sisi twamona ni Mtume kutoka kwa Mola Mlezi Wa ulimwengu Wakazozana wenue kwa wenyewe? Kwakua walitaka kurudi nyuma wasifanye uchawi kumnusuru firaun ili wasisaidie batili ju ya haki, Lakini wao wamezozana wenye kwa wenyewe wakasema baadhi yao kwa baadhi; "Lakini Firaun Atatu'uwa ikiwa hatukufanya", Na imani bado haijaingia kwa moyo wao, Ispokua twasema wamesilimu na haijaingia imani katika moyo wao baada ikibainka kwao uhakika wa fimbo ya Musa ju yake Sala na Salam ndio itapata tumaini moyo wao kua yeye sio mchawi kama wao, Lakini wachawi wame'elewana wote wakati walipo nong'ona kwa siri waka'afikiana kua ikibainika kwao Nabi wa Allah Musa sio mchawi kama wao kua wamini kwa Allah ndio wamsujudie Nabi wa Allah Musa kwa kuti amri ya Allah Ambae Amemteua, Mpaka pindi haki imetokezea wakatangaza imani yao kwa ulimi moja, Wakasema:
{Musa tena akatupa fimbo yake, nayo mara ikavimeza walivyo vizua (45) Hapo wachawi walipinduka wakasujudu (46) Wakasema: Tunamuamini Mola Mlezi wa walimwengu wote (47) Mola Mlezi wa Musa na Harun (48!} Sadaqa Allah Al3adhim [Ashuaraa].

{فَأَلْقَىٰ مُوسَىٰ عَصَاهُ فَإِذَا هِيَ تَلْقَفُ مَا يَأْفِكُونَ ﴿٤٥﴾ فَأُلْقِيَ السَّحَرَ‌ةُ سَاجِدِينَ ﴿٤٦﴾ قَالُوا آمَنَّا بِربّ العالمين ﴿٤٧﴾ رَ‌بِّ مُوسَىٰ وَهَارُ‌ونَ ﴿٤٨﴾} صدق الله العظيم [الشعراء].

Na huwenda akataka kunikatiza muslim amazighi aseme: "Ewe Nasser Muhammad Al'Yamani ikiwa wamesilimu kwa Mola Mlezi wa Musa na Harun kabla kubwaga fimbo yake Musa basi hapana budi kua wao wachawi hawakuja na uchawi kumnusuru firaun ispokua wao wamechukia, Basi tupe ushuhuda kutok ilio wazi maana yake Al'Quran kua ispokua ame'walazimisha waje na uchawi kuogopa kumalizwa na firaun wala haikua kwao hio ni kupiga vita haki". Kisha namjibu amazighi kwa haki na twasema: Amesema Allah Ta3ala:
{ Wakasema: Hatutokukhiari wewe kuliko ishara waziwazi zilizo tujia, na kuliko yule aliye tuumba. Basi hukumu utavyo hukumu; kwani wewe unahukumu haya ya maisha ya duniani tu (72) Hakika sisi tumemuamini Mola wetu Mlezi ili atusamehe makosa yetu na uchawi ulio tulazimisha kuufanya. Na Mwenyezi Mungu ndiye Mbora na Mwenye kudumu zaidi (73)} Sadaqa Allah Al3adhim [Taahaa].
{قَالُوا لَن نُّؤْثِرَ‌كَ عَلَىٰ مَا جَاءَنَا مِنَ الْبَيِّنَاتِ وَالَّذِي فَطَرَ‌نَا فَاقْضِ مَا أَنتَ قَاضٍ إِنَّمَا تَقْضِي هَـٰذِهِ الْحَيَاةَ الدُّنْيَا ﴿٧٢﴾ إِنَّا آمَنَّا بِرَ‌بِّنَا لِيَغْفِرَ‌ لَنَا خَطَايَانَا وَمَا أَكْرَ‌هْتَنَا عَلَيْهِ مِنَ السِّحْرِ‌ وَاللَّـهُ خَيْرٌ‌ وَأَبْقَىٰ ﴿٧٣﴾} صدق الله العظيم [طه].

Na imebainika kwenu kua wao hawakuja na uchawi wao kumpiga vita Allah na Mtume wake bali kuogopa ukandamizaji wa firaun, Kwajili ya hio wamesema:

{Hakika sisi tumemuamini Mola wetu Mlezi ili atusamehe makosa yetu na uchawi ulio tulazimisha kuufanya. Na Mwenyezi Mungu ndiye Mbora na Mwenye kudumu zaidi (73)} Sadaqa Allah Al3adhim,
{إِنَّا آمَنَّا بِرَ‌بِّنَا لِيَغْفِرَ‌ لَنَا خَطَايَانَا وَمَا أَكْرَ‌هْتَنَا عَلَيْهِ مِنَ السِّحْرِ‌ وَاللَّـهُ خَيْرٌ‌ وَأَبْقَىٰ ﴿٧٣﴾}صدق الله العظيم،
Basi sikutoa fatwa kwa dhana kama mfano wa wale wanao sema ju ya Allah wasokijua, Na najilinda kwa Allah kua niwe katika majahili, Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..

Na Kuhusu As'hab Alkahf watu wa pango na araqim nambari na sayari ya adhabu, Basi hizo aya utazikuta kwa haki kwenye waki ya uhakika, Na bado inazali tunayo zaidi katika ilimu na ufafanuzi kwa kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim.

Ndugu Wa Ma Ansar Walio Tangulia Walio Bora Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani.

أخو الأنصار السابقين الأخيار الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني .
______________