Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
26 - رمضان - 1441 هـ
19 - 05 - 2020 مـ
06:37 مساءً
(حسب التقويم الرسمي لأمّ القُرى)

[ili kufwatilia cha bayana asili]
https://mahdialumma.com/showthread.php?p=329951
_________

فايروس كورونا والبيان الفصل وماهو بالهزل ..
Virusi Va Corona Na Bayana Ya Uwamuzi Wala Sio Mchezo ..

Bismillah Alwahid Alghafar Alaziz Alqahar Na Sala Na Salam Ju Ya Anabi Almukhtar Muhammad Mtume Wa Allah kwa ukumbusho Kwa Watu Wote ..

Na Enyi Watuoaji Uwamuzi Viongozi Wa Binadamu Na Mataifa Yao Wote Katika Pembe Tafauti Duniani, Kwani Sikuwaidhieni kwa Moja Kua Musmame Kwa Allah Mara mbili mbili na mara moja Kisha Mutafakari na je amemsadiki Allah kwa changamoto kwa haki kwenye waki ya uhakika kwa jambo muaoita virusi va corona? je changa moto ya matabibu wote wa binadamu ama changa moto ya Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani?..

Na hivo ili mojuwe kwa yakini kua nyinyi hapana wala hamutoweza wala kujua chochote katika vilio katika ujuzi wake Allah ispokua ila kwa atakalo mwenyewe AMetukuka kwa yale munao mshirikisha na munapita mipaka kwa sababu kujighuri kwa yale mlionayo katika ilimu ya kisasa na Akawawezesh kwa yale ambao alikua hawana wale wa mwanzo, kisha ikawaghuri kwa yale mulio nayo kulingana na ilimu ya ki tecnece mbinu za habari na ilimu katika sekta tafauti, kwajili ya hivo Amewapa Changa moto kwa ile hamuna ujuzi nao ki ilimu na kutokana na askari mdogo kabisa katika jeshi la Allah mpaka Amfanya information zenu sufuri upande wa kushoto enye wale walio furahia kwa ilimu walio nayo wakadhani kua wao wanaweza kwa kila kitu Akakheze Allah kudra zenu Akadhalilisha kiburi chenu Akondosha kujighuri kwenu kwa mwanajeshi mdogo kabisa katika jeshi lake katika umbile lake haionekani kwa jicho lakawaida kwa udogo wa saizi yake na hivo ili mujuwe kiwango chenu, Na hivo hivo ili mujuwe kwa yakini kua dawa ya adhabu ya Allah inaokaba ambao munaoita virusi ya corona Hatoiondosha kwenu ispokua Allah Pekeyake, Basi watubie kutokana na madhambi makubwa na machafu na kudhulumu watu na dhulma ya shirki na waseme: "Ewe Mola Mlezi wetu tumeijidhulumu nafsi zetu ikiwa Hutotughufuria na kutuhurumia hakika tutakua wenye kuhasirika", Na baada ya kutubu waseme: "Allahuma mimi mtumwa wako nakuomba kwa haki ya La ilaha ila Anta na kwa haki ya Rahma Yako ambao umeiandika ju ya Nafsi Yako na kwa haki ya Uwadhimu wa Neema Ya Radhi Ya Nafsi Yako Ambao ni Kubwa kuliko neema ya pepo yako nipoze na adhabu ya corona awu uiepushe nami hakika sisi tumwemwamini mlinganizi wa haki kutoka kwako, Allahuma tuondoshe ju yetu adhabu yako katika kila mlango ili tufwate njia ya haki kutoka kwako na utukitishe kutimiza yale tulio kuahidi nayo, Ewe Ambae Unageuza baina mtu na moyo wake, Basi hatuna sisi kitu ispokua Rahma Yako Ambao Umeiandika Ju Ya Nafsi Yako, ikiwa hutotusamehe na kutuhurumia hakika tutakuwa wenye kuhasirika, Allahuma Wewe Umesema Katika ilio wazi maana yake kitabu chako:
{ Akasema Mola Mlezi wenu niombeni nitawaitikia dua zenu } [Ghafir:60],
: { وَقَالَ رَبُّكُمُ ادْعُونِي أَسْتَجِبْ لَكُمْ } [غافر: الآية ٦٠]،
basi kwangu dua na kutaka na kwako Kutujibu hakika Wewe Hukhalifu Waadi Wako, Mola Mlezi Wetu Umetukuka Basi Waadi Wako ni haki na Wewe Ni Arrhama Arrahimin, Allahuma tukitishe kwa Ahdi yetu tulio kutole kua tutafwata mlinganizi wa Allah wa kiulimwengu Khalifa Wa Allah katika Ardhi Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani, Allahuma ijalie kutumilizwa kwake neema ju yetu sio neqma ju yetu kwa sababu ya kukanusha kwetu kwa ulinganizi wake wa haki wa Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani".

na atakae kukata duaa hi bila shaka hatimai itawasibu adhabu ambao wanao ita virusi ya corona, Na je si Ameifanya Allah Aya Ya virusi corona ispokua ni aya ya kusadikisha bayana ya changamoto ya Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani kwenye Bayana yake kwa tarehe kumi rajabu kwa inwani "Virusi Ya Corona Ni Kutokana Na Adhabu Ya Chini Pasi Na Adhabu Kuu Huwenda Mukarudi"? Na tukafanya dawa na suluhisho ni katika inwani ya Bayana nayo ni hikma kutokana na adhabu ya virusi ya corona ambao ni ya chini na hikma na kupoa kwa yule alio adhibiwa yeye huwenda wakarudi kwa Allah ndio watubu kwa Allah kutubia kisha wafwate mlinganizi wa kitabu cha Allah mtumwa wake na Khalifa wake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani, Na pindi wakipuza wakanushaji kutokana na hi dua basi juweni inye ma3ashara ya ma ansar kua Allah hapana wala Hatowajibu dua zenu ili kuiondosha adhabu ya Allah inao kaba kwa wahalifu katika ulimwengu, Na hivo kulingana na kujua kwangu katika kitabu kua lau Allah Ataondosha ju ya ulimwengu kwa Rahma Yake pasi na kujua kua ni alama ishara aya ya kumsadikisha yule Alio Mteua Allah kwa watu imamu Khalifa Wa Allah na Mtumwa Wake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad; Na nakariri na nakumbusha kua lau Ataiondosha bila kujua kwamba hio ni katika ma ishara aya alama ya kumsadikisha Khalifa Wake Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Kua wao watarudi katika upotevu wao vile vile wakitanga tanga, Ndio waendele kukanusha kufwata mlinganizi wa Allah na Khalifa wake Nasser Muhammad, Kusadikisha Kauli Ya Allah:
{Na lau tungeli warehemu na tukawaondolea shida waliyo nayo bila ya shaka wangeli endelea katika upotofu wao vile vile, wakitangatanga} [Surat Almuminun:75].
{ ۞ وَلَوۡ رَحِمۡنَـٰهُمۡ وَكَشَفۡنَا مَا بِهِم مِّن ضُرٍّ لَّلَجُّوا۟ فِی طُغۡیَـٰنِهِمۡ یَعۡمَهُونَ }
[سورة المؤمنون 75].

Na ile imekuja katika Bayana hi ni sharti katika ulinganizi wa mlinganizi, Na yule atakae kujisikia na kufanya kiburi katika watowaji uwamuzi kua iwe hi adhabu ambao wanaoita virusi ya corona ni ishara alama aya ya kusadikisha Bayana ya ulimwengu ambao ilitoka kwa tarehe kumi Rajabu 1441, Basi wawache waidhibiti ile wanaoita virusi ya corona ikiwa wao ni wakweli! Na ikiwa virusi ya corona ni kweli imefika Yemen baada Alipo izuwia Allah ju yao miyezi huwenda wakashkuru, Basi Wallahi thuma Wallahi hapana na wala hawatoweza kuidhibiti ju ya ile wanaoita virusi ya corona ulimwengu mzima na wao wanafanya kiburi kwa mlinganizi wa Allah na Khalifa wake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani, Hapana budi wajuwe wote kwamba adhabu munaoita virusi ya corona ni katika adhabu ndogo ya chini pasi na adhabu kuu huwenda wakanyenyekea kwa Mola Mlezi wao ili Awaondoshe kwa adhabu Yake kwa Rahma Yake ili wafwate mlinganizi wa haki kutoka kwa Mola Mlezi wao wasalimu kujisalimu baada kujua kwao kwamba Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani yeye ndio Khalifa Wa Allah ju ya ulimwengu kwakua hakuna faida kuondosha adhabu ya Allah kisha waendele katika upotevu wao vile vile wanatanga tanga kisha Awangamize Allah kwa adhabu kubwa zaidi kuliko ile ilio wapata, Basi Sikizeni Na Mutie Akili Mufahamu Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ Na lau tungeli warehemu na tukawaondolea shida waliyo nayo bila ya shaka wangeli endelea katika upotofu wao vile vile, wakitangatanga (75) Na hakika tuliwatia adhabu kali; lakini hawakuelekea kwa Mola wao Mlezi wala hawakunyenyekea (76) Mpaka tulipo wafungulia mlango wa adhabu kali, hapo ndipo wakawa wenye kukata tamaa (77)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almuminun].
{ وَلَوْ رَحِمْنَاهُمْ وَكَشَفْنَا مَا بِهِم مِّن ضُرٍّ لَّلَجُّوا فِي طُغْيَانِهِمْ يَعْمَهُونَ ﴿٧٥﴾ وَلَقَدْ أَخَذْنَاهُم بِالْعَذَابِ فَمَا اسْتَكَانُوا لِرَبِّهِمْ وَمَا يَتَضَرَّعُونَ ﴿٧٦﴾ حَتَّىٰ إِذَا فَتَحْنَا عَلَيْهِم بَابًا ذَا عَذَابٍ شَدِيدٍ إِذَا هُمْ فِيهِ مُبْلِسُونَ ﴿٧٧﴾ } صدق الله العظيم [ المؤمنون ].

Hapana budi kua waione watowaji uwamuzi katika mataifa tafauti ya binadamu kwa Bayana Tarifa ya changamoto ya ulimwengu ambao tumeiandika katika tarehe kumi Rajabu 1441 kwa inwani " Virusi Ya Corona Ni Katika Adhabu Ya Chini Pasi Na Adhabu Kuu Huwenda Wakarudi " Kisha Wangalie katika zile Point nukta za changamoto tunaitoa mukhtasari yake kama ifwatavo:

1- Hakika hio ni adhabu ya ki ulimwengu wala sio ni janga tu la ulimwengu.
2- Hakika Kua wao hapana wala hawatoweza matabibu wote wa binadamu kujua inakua vipi virusi ya corona.
3- Hakika kua matabibu wote wa bindamu hawatoweza kuidhibiti ju yake, Basi vipi watadhibiti ju ya adhabu ya Allah Subhanahu Ametukuka?
4- Hakika Kua Matabibu wote wa binadamu mwislamu wao na kafiri wao hapana wala hawatoweza kuipa tiba ama Chanjo, Hata kama badhi ya ju ya baadhi wanasaidiana na kunusuriana.
5- Hakika wao watakuta kutokana na mbinu ya wanaoita virusi ya corona yale ambao hawakua wakihisabu.

Na hi Bayana Tarifa Ambao Tumeitaja ndani yake hizo nukta point za changamoto imetoka kwa tarehe kumi Rajabu ambao wanaoita virusi ya corona ilikua bado iko china na iran haijaenea kutoka, Na ama mataifa ya ulimwengu yote basi imewatingisha mtingisho mkubwa kabla haijawafikia iwavamie iwavuke, Na suali ambalo lajiweka lenyewe: Na je kweli Amemsadikisha Allah Mtumwa Wake Na Khalifa Wake Kwa kutoa changamoto kwa haki ju ya waki ya uhakika? Na hivo ili wajuwe wote watowaji uwamuzi katika mataifa yote na raia wao hakika sisi ni wakweli na kwamba Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani kweli anajua kutoka kwa Allah yale ambao hawayajuwi binadamu wote kwakua Allah Amempa ilimu ya kitabu Al'Quran Al3adhim. Na wala mimi sio mwandazimu enyi ma3ashara ya waislamu kua nitangaze point za changamoto kabla kushindwa kwenu hivi ni kujiropokea tu kutoka kwangu, Haihat Haihat .. Basi Naapa Kwa Mola Mlezi Wa Ardhi Na Mbinu Zote Hakika Mimi Najua Hayo Katika Kitabu Cha Allah Al'Qauran Al3adhim, Ispokua naita kwa ile munaoita virusi ya corona kwajili neno la kutafuta katika entarnet ya ulimwengu.

Na nawabashiria ulimwengu wote kwa ma aya alama ishara za adhabu zinaokuja kwa ju na bara na baharini kuongeza iwaongeze kwa adhabu ju kutokana na virusi ya corona mpaka wanyenyeke kwa Khalifa Wa Allah Alio Chaguliwa Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani wasalimu kujisalimu, Na je kwani tumetoa masharti kwa wanazuoni katika ulimwengu na wote wanao khitilifiana katika dini katika watu wote kwa yale wanao khitilifiana ndani yake katika dini yao? Na kua hakuna kwa Khalifa Wa Allah Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani ispokua awachunguzie wao hukmu ya Allah kwenye masaala kutoka ilio wazi maana yake kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim wakamfanyia kiburi Khalifa Wa Allah na kitabu chake Al'Quran Al3adhim ambao wameikanusha kuifwata na kuwacha yale yanao ikhalifu, Na hakika mimi nawalingania na ulimwengu kutoka miyaka kumi na tano wakakanusha wakamfanyia kiburi Khalifa Wa Allah mpaka Akaghadhibika Allah Kwajili Ya Kitabu Chake, Na Wala Hawatopata kwao kutokana na adhabu ya Allah mwenye kuiondosha ispokua kutubia kwa Allah na kutaka ili Awaongoze nyoyo zao wafwate mlinganizi wa haki kutoka kwa Mola Mlezi wao Khalifa Wa Allah Katika Ardhi Na Mtumwa Wake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Wasalimu Kujisalimu, Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabil3alamin.

Khalifa Wa Allah Na Mtumwa Wake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani
خليفةُ الله وعبدُه الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ
______________
Kwa Ukumbusho
للتذكير:

Virusi Ya Corona Ni Katika Adhabu Ya Chini Pasi Na Adhabu Kuu Huwenda Wakarudi..
فايروس كورونا من العذاب الأدنى دون العذاب الأكبر لعلهم يرجعون..

10 رجب 1441 هـ الموافق لــ 05 - 03 - 2020 مـ
12:51 مساءًا ( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
https://mahdialumma.com/showthread.php?t=39341
______

اقتباس المشاركة: 329951 من الموضوع: سلسلةُ بيانات البعوضة الخفيّة وسرّ فايروس كورونا ..

- 3 -
الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني
26 - رمضان - 1441 هـ
19 - 05 - 2020 مـ
06:37 مساءً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )

[ لمتابعة رابط المشاركة الأصلية للبيان ]
https://mahdialumma.com/showthread.php?p=329915
___________


فايروس كورونا والبيان الفصل وماهو بالهزل ..

بسم الله الواحد الغفّار العزيز القهّار والصلاة والسلام على النبيّ المُختار محمدٍ رسول الله بالذّكر للناس كافة..
ويا معشر صنّاع القرار قادات البشر وشعوبهم أجمعين في مختلف الأقطار، إنّما أعظكم بواحدة أن تقوموا لله مثانيَ وفُرادى ثم تتفكّروا مَن أصدقه الله التحدّي بالحقّ على الواقع الحقيقي في شأن ما يسمّونه فايروس كورونا؟ فهل تحدّي كافة أطباء البشر أم تحدّي المهديّ المنتظر عبد الله وخليفته الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ؟..

وذلك لكي تعلموا علم اليقين أنّكم لا ولن تحيطوا بشيءٍ من علم الله إلا بما شاء سبحانه عمّا تشركون وتلحدون بسبب ما غرّكم بما عندكم من العلم الحديث وأحاطكم بما لم يكن لدى الأوّلين، ثمّ غرّكم بما لديكم من علم تقنيّة المعلومات والعلم في مختلف المجالات، ولذلك تحدّاكم بما لا تحيطون به علماً ومِن أصغر جنود الله حتى جعل معلوماتكم صفراً على الشمال يا معشر الذين فرحوا بما عندهم من العلم وظنّوا أنّهم لقادرون على كل شيءٍ فأهان الله قدرتكم وأذلّ كبرياءكم وأذهب غروركم بأصغر جنديٍّ مِن خلقه لا يُرى بالعين المُجرّدة لصغر حجمه وذلك لكي تعلموا قَدر أنفسكم، وكذلك لكي تعلموا علم اليقين أنّ داء عذاب الله الخانق ما تسمّونه فايروس كورونا لن يكشفه عنكم غير الله وحده، فليتوبوا من كبائر الإثم والفواحش وظلم الناس وظلم الشرك ويقولوا:
"ربّنا ظلمنا أنفسنا فإن لم تغفر لنا وترحمنا لنكوننّ من الخاسرين"، ومن بعد التوبة فليقولوا: " اللهم إنّي عبدك أسألك بحق لا إله إلا أنت وبحق رحمتك التي كتبت على نفسك وبحق عظيم نعيم رضوان نفسك الأكبر من نعيم جنّتك أن تشفيني من عذاب كورونا أو تصرفه عنّي فإنّا مؤمنون بداعي الحقّ من عندك، اللهم اكشف عنّا عذابك من كل باب لنتّبع سبيل الحق من عندك وأن تُثبّتنا على الوفاء بما وعدناك به يا من تحول بين المرء وقلبه، فليس لنا إلا رحمتك التي كتبت على نفسك، فإن لم تغفر لنا وترحمنا لنكوننّ من الخاسرين، اللهم إنّك قلت في محكم كتابك: { وَقَالَ رَبُّكُمُ ادْعُونِي أَسْتَجِبْ لَكُمْ } [غافر: من الآية ٦٠]، فمِنّي الدعاء والإنابة ومنك الاستجابة إنّك لا تُخلف وعدك، ربّنا سبحانك فوعدك الحق وأنت أرحم الراحمين، اللهم ثبّتنا على الوفاء بما وعدناك به أن نتّبع داعيَ الله العالميّ خليفة الله في الأرض الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني، اللهم اجعل بَعثهُ نِعمةً علينا لا نقمة علينا بسبب إعراضنا عن دعوة الحق للإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ".

ومن رفض هذا الدعاء فحتماً سوف يُصيبهم عذاب ما يسمّونه فايروس كورونا، وهل جعل الله آية فايروس كورونا إلا آية تصديق بيان تحدّي الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ في بيانه بتأريخ عشرة رجب بعنوان: "
فايروس كورونا من العذاب الأدنى دون العذاب الأكبر لعلهم يرجعون
(https://mahdialumma.com/showthread.php?p=324226)

وجعلنا الدواء والحل هو في عنوان البيان وهي الحكمة من عذاب فايروس كورونا الأدنى والحكمة للشفاء من عذابه هو لعلهم يرجعون إلى الله فيتوبون إلى الله متاباً فيتّبعون داعيَ كتاب الله عبده وخليفته الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ، فإن أعرضَ المستكبرون عن هذا الدعاء فاعلموا يا معشر الأنصار أنّ الله لا ولن يُجيب دعاءكم برفع عذاب الله الخانق عن المُجرمين في العالمين، وذلك حسب علمي في الكتاب أن لو يرفعه الله عن العالم برحمته دونما يعلمون أنّه آية تصديقٍ لِمن اصطفاه الله للناس إماماً خليفة الله وعبده الإمام المهديّ ناصر محمد؛ وأُكرّر وأُذكّر أن لو يكشفه دونما يعلمون أنّه من آيات التصديق لخليفته المهديّ ناصر محمد اليمانيّ بأنّهم سوف يلِجّوا في طغيانهم يعمهون، فيستمرّوا في الإعراض عن اتّباع داعيَ الله وخليفته ناصر محمد، تصديقًا لقول الله تعالى:
{ ۞ وَلَوۡ رَحِمۡنَـٰهُمۡ وَكَشَفۡنَا مَا بِهِم مِّن ضُرٍّ لَّلَجُّوا۟ فِی طُغۡیَـٰنِهِمۡ یَعۡمَهُونَ }[سورة المؤمنون 75].

وما جاء في بياني هذا شرطٌ في دعوة الدّاعي، ومن استنكف واستكبر من صُنّاع القرار أن يكون عذاب ما يسمّونه فايروس كورونا هو آية تصديق البيان العالميّ الذي صدر في تأريخ عشره رجب 1441، فذَروهم يسيطرون على ما يسمّونه فايروس كورونا إن كانوا صادقين! وإن كان فايروس كورونا حقاً وصل إلى اليمن بعد أن حجزه الله عنهم شهوراً لعلّهم يشكرون، فوالله ثم والله لا ولن يستطيعون السيطرة على ما يسمّونه فايروس كورونا العالم بأسره وهم مستكبرون عن داعيَ الله وخليفته الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ، فلا بدّ أن يعلم الجميع أنّ عذاب ما يسمّونه فايروس كورونا هو من العذاب الأدنى دون العذاب الأكبر لعلّهم يتضرّعون إلى ربّهم ليكشفَ عنهم عذابه برحمته ليتّبعوا داعي الحق من ربّهم ويسلّموا تسليماً بعد أن علِموا أنّ الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ هو حقاً خليفة الله على العالمين كونه لا فائدة من رفع عذاب الله ثم يستمرون في طغيانهم يعمهون ثم يهلكهم الله بعذابٍ أكبر ممّا أصابهم، فاسمعوا وعُوا قول الله تعالى:
{ وَلَوْ رَحِمْنَاهُمْ وَكَشَفْنَا مَا بِهِم مِّن ضُرٍّ لَّلَجُّوا فِي طُغْيَانِهِمْ يَعْمَهُونَ ﴿٧٥﴾ وَلَقَدْ أَخَذْنَاهُم بِالْعَذَابِ فَمَا اسْتَكَانُوا لِرَبِّهِمْ وَمَا يَتَضَرَّعُونَ ﴿٧٦﴾ حَتَّىٰ إِذَا فَتَحْنَا عَلَيْهِم بَابًا ذَا عَذَابٍ شَدِيدٍ إِذَا هُمْ فِيهِ مُبْلِسُونَ ﴿٧٧﴾ } صدق الله العظيم [ المؤمنون ].

فلا بدَّ أن يطّلع صُنّاع القرار في مختلف دول البشر على بيان التحدّي العالميّ والذي كتبناه في تأريخ عشرة رجب 1441 بعنوان: "
فايروس كورونا من العذاب الأدنى دون العذاب الأكبر لعلّهم يرجعون "
(https://mahdialumma.com/showthread.php?p=324226)

فمِن ثمّ ينظروا إلى نقاط التحدّي بالحقّ في ذلك البيان القديم في تأريخ عشرة رجب 1441، ووضعنا في ذلك البيان القديم نقاط التحدّي نُلخّصها كما يلي:

1- إنّه عذابٌ عالميٌّ من الله وليس مجرّد وباءٍ عالميٍّ.
2- إنّهم لا ولن يستطيعوا كافّة أطباء البشر أن يعلموا كيف تَكَوَّن فايروس كورونا.
3- إنّ كافّة أطباء البشر لا ولن يستطيعوا أن يسيطروا عليه، فكيف يسيطرون على عذاب الله سبحانه؟
4- إنّ كافة أطباء البشر مسلمهم والكافر لا ولن يستطيعوا أن يجدوا له علاجاً أو لقاحاً ولو كان بعضهم لبعض ظهيراً ونصيراً.
5- إنّهم سوف يجدون من مكر ما يسمّونه فايروس كورونا ما لم يكونوا يحتسبون.

وهذا البيان الذي ذكرنا فيه نقاط التحدّي صدرَ بتأريخ عشرة رجب، وما يسمّونه فايروس كورونا كان لم يَجتَحْ بعدُ إلا الصين وإيران، وأمّا دول العالم بأسرهِ فزلزلهم زلزالاً عظيماً من قبل أن يأتيهم فيجتاحهم، والسؤال الذي يطرح نفسه: فهل حقاً أصدق الله عبده وخليفته بالتحدّي بالحقّ على الواقع الحقيقيّ؟ وذلك لكي يعلموا كافّة صُنّاع القرار في كافة دول البشر وشعوبهم إنّا لصادقون وأنّ الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ حقاً يعلم من الله ما لا يعلمه كافة البشر كون الله آتاه عِلم الكتاب القرآن العظيم، ولستُ بمجنون يا معشر العالمين أن أُعلِن نقاط التحدّي من قبل عجزكم هذا جُزافاً من عند نفسي، هيهات هيهات.. فَوَربِّ الأرض والسماوات إنّي أعلم ذلك في كتاب الله القرآن العظيم، وإنّما أسمّيه بما تسمّونه فايروس كورونا من أجل كلمة البحث في الإنترنت العالمية.

وأبشّر العالم بأسره بآيات عذابٍ مقْبِلات جوّاً وبرّاً وبحراً إضافة إلى ما يُملي لهم من عذاب فايروس كورونا حتى يخضعوا لخليفة الله المُصطَفى الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ ويسلّموا تسليماً، فهل اشترطنا على علماء المسلمين في العالمين وجميع المختلفين في الدين من الناس أجمعين إلا أن يقبلوا الله حكَماً بينهم في جميع ما كانوا فيه يختلفون في دينهم؟ وأن ليس على خليفة الله الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ إلا أن يستنبط لهم حُكم الله في المسألة من محكم كتاب الله القرآن العظيم؟ فاستكبروا على خليفة الله وكتابه القرآن العظيم الذي أعرضوا عن اتّباعه وترك ما يخالفه، وأنا أدعوهم والعالمين منذ خمسة عشر عاماً فأعرضوا واستكبروا على خليفة الله حتى غضب الله لكتابه، ولن يجدوا لهم من عذاب الله مصرفاً إلا التوبة إلى الله والإنابة ليهديَ قلوبهم ليتّبعوا داعيَ الحقّ من ربّهم خليفة الله في الأرض وعبده الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ ويسلّموا تسليماً، وسلامٌ على المُرسَلين والحمدُ للهِ ربِّ العالمين.

خليفةُ الله وعبدُه الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ

______________

للتذكير:

فايروس كورونا من العذاب الأدنى دون العذاب الأكبر لعلهم يرجعون..

10 رجب 1441 هـ الموافق لــ 05 - 03 - 2020 مـ
12:51 مساءً ( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )

(https://mahdialumma.com/showthread.php?p=324226)