Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
29 - رجب - 1440 هـ
05 - 04 - 2019 مـ
04:39 مساءً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
( Kulingana Na Kalenda Rasmi Ya Mama Wa Miji )

[ili kufwatilia cha bayana asili]
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=37253

ــــــــــــــــــــــــ


بيانٌ هامٌ للغاية من المهديّ المنتظَر إلى كافة المفتين في كلّ الدول الإسلاميّة سواء العربيّة والأعجميّة ..
Bayana Ina Umuhimu Sana Kutoka Kwa Al'Mahdi Al'Muntadhat Kwa Watowaji Fatwa Katika Kila Taifa La Kislamu Liwe Sawa Ni La Kiarabu Ama La Kiajemi ..


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim Ambae Ameiteremsha Al'Quran Al3adhim Usiku Wa Juma'pili Yawafikiana Kukurubia Na Miyezi Mi Inne Katika Miyezi Ya Sayari Saqar Kabla Kufikilia Jua Mwezi, Lakini Kwa Sababu Ya Kufikilia Basi Siwadhani Kua Mutaona Mwandamo Wa Mwezi Wa Ramadhani Ya Mwaka Wenu Hu 1440 ila Baada Kuzama Jua La Juma Pili Usiku Wa Juma Tatu Tarehe Mbili Katika Ramadhani Ya Mwaka Wenu Hu 1440 Alqamariya Usiku Wa Juma Tatu, Ndio Mutafunga Juma Tatu Tarehe Mbili Ramadhsni ndio itakua siku ya kwanza Ya Saumu Kwa Mama Wa Miji Na Miji ilio Karibu Nae Katika Miji Ya Ulimwengu Nayo Ni Juma Tatu Ambao imepita Siku Mbili Katika Mwezi Wa Ramadhani Na Zilio Karibu Nae Huwenda Wakawa Wachaji.


Hakika imeingia umri wa ulinganizi wa ki mahdi katika miyezi ya kwanza kwenye miyaka ya alqamaria kwenye mwaka wenu hu 1440 Na Nyinyi kutokana na haki munakanusha; Munakanusha Kuhusu ulinganizi wa kuhukumiwa kwenye Kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim, Na Hakika mimi ni Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Nawalika Watowaji Fatwa Wote Katika mataifa yote Ya kislamu katika kila inchi ya kislamu iwe sawa ni ya kiarabu ama ya kiajemi, Basi ju yenu kufika katika mji mkuu wa Khilafa ya kislamu ya ulimwengu ni katika Miji ya kale zaidi katika ulimwengu wa binadamu ambao walishi humo jiji la Nabi Wa Allah Nuh na kizazi chake na katika kizazi chake ni Sam mwana wa Nuh Ju Yao Sala Na Sala, Na Akasema Allah Ta3ala Hio Kwenu ndio Materemko ilio barikiwa kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{فَإِذَا اسْتَوَيْتَ أَنتَ وَمَن مَّعَكَ عَلَى الْفُلْكِ فَقُلِ الْحَمْدُ لِلَّـهِ الَّذِي نَجَّانَا مِنَ الْقَوْمِ الظَّالِمِينَ ﴿٢٨﴾ وَقُل رَّبِّ أَنزِلْنِي مُنزَلًا مُّبَارَكًا وَأَنتَ خَيْرُ الْمُنزِلِينَ ﴿٢٩﴾ إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَآيَاتٍ وَإِن كُنَّا لَمُبْتَلِينَ ﴿٣٠﴾} صدق الله العظيم
[المؤمنون]،
Allah Ta3ala Asema: { Basi utakapo tulia wewe na walio pamoja nawe humo marikebuni, sema: Alhamdulillahi Sifa zote njema ni za Mwenyezi Mungu, aliye tuokoa na watu madhaalimu (28) Na sema: Mola wangu Mlezi! Niteremshe mteremsho wenye baraka, na Wewe ni Mbora wa wateremshaji (29) Hakika katika hayo yapo mazingatio. Na kwa yakini Sisi ni wenye kuwafanyia mtihani (30)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almuminun],
Basi hio ndio mji mku mji mzuri katika ulimwengu, Hio kwenu ni katika Yemen ya furaha (Alyaman Asaid).


Na hakika Amefanya Allah baada ya kaumu Nuh katika Yemen kaumu Aad Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَالْبَلَدُ الطَّيِّبُ يَخْرُجُ نَبَاتُهُ بِإِذْنِ رَبِّهِ ۖ وَالَّذِي خَبُثَ لَا يَخْرُجُ إِلَّا نَكِدًا ۚ كَذَٰلِكَ نُصَرِّفُ الْآيَاتِ لِقَوْمٍ يَشْكُرُونَ ﴿٥٨﴾ لَقَدْ أَرْسَلْنَا نُوحًا إِلَىٰ قَوْمِهِ فَقَالَ يَا قَوْمِ اعْبُدُوا اللَّـهَ مَا لَكُم مِّنْ إِلَـٰهٍ غَيْرُهُ إِنِّي أَخَافُ عَلَيْكُمْ عَذَابَ يَوْمٍ عَظِيمٍ ﴿٥٩﴾ قَالَ الْمَلَأُ مِن قَوْمِهِ إِنَّا لَنَرَاكَ فِي ضَلَالٍ مُّبِينٍ ﴿٦٠﴾ قَالَ يَا قَوْمِ لَيْسَ بِي ضَلَالَةٌ وَلَـٰكِنِّي رَسُولٌ مِّن رَّبِّ الْعَالَمِينَ ﴿٦١﴾ أُبَلِّغُكُمْ رِسَالَاتِ رَبِّي وَأَنصَحُ لَكُمْ وَأَعْلَمُ مِنَ اللَّـهِ مَا لَا تَعْلَمُونَ ﴿٦٢﴾ أَوَعَجِبْتُمْ أَن جَاءَكُمْ ذِكْرٌ مِّن رَّبِّكُمْ عَلَىٰ رَجُلٍ مِّنكُمْ لِيُنذِرَكُمْ وَلِتَتَّقُوا وَلَعَلَّكُمْ تُرْحَمُونَ ﴿٦٣﴾ فَكَذَّبُوهُ فَأَنجَيْنَاهُ وَالَّذِينَ مَعَهُ فِي الْفُلْكِ وَأَغْرَقْنَا الَّذِينَ كَذَّبُوا بِآيَاتِنَا ۚ إِنَّهُمْ كَانُوا قَوْمًا عَمِينَ ﴿٦٤﴾ وَإِلَىٰ عَادٍ أَخَاهُمْ هُودًا ۗ قَالَ يَا قَوْمِ اعْبُدُوا اللَّـهَ مَا لَكُم مِّنْ إِلَـٰهٍ غَيْرُهُ ۚ أَفَلَا تَتَّقُونَ ﴿٦٥﴾ قَالَ الْمَلَأُ الَّذِينَ كَفَرُوا مِن قَوْمِهِ إِنَّا لَنَرَاكَ فِي سَفَاهَةٍ وَإِنَّا لَنَظُنُّكَ مِنَ الْكَاذِبِينَ ﴿٦٦﴾ قَالَ يَا قَوْمِ لَيْسَ بِي سَفَاهَةٌ وَلَـٰكِنِّي رَسُولٌ مِّن رَّبِّ الْعَالَمِينَ ﴿٦٧﴾}
صدق الله العظيم
[الأعراف].
Allah Ta3ala Asema: { Na ardhi njema, yenye udongo wa rutba, hutoa mimea yenye kukua vizuri yenye uhai, kwa idhini ya Mola Mlezi wake. Na ardhi mbaya haitoi ila mimea michache, isiyo na faida, tena kwa shida. Na hivyo ndivyo tunavyo zipambanua Ishara (Aya) kwa watu wanao shukuru (58) Tulimpeleka Nuhu kwa kaumu yake, naye akasema: Enyi kaumu yangu! Muabuduni Mwenyezi Mungu. Nyinyi hamna Mungu ila Yeye. Hakika mimi ninakukhofieni adhabu ya Siku iliyo kuu (59) Wale watukufu katika kaumu yake wakasema: Hakika sisi tunakuona wewe umo katika upotofu ulio dhaahiri (60) Akasema: Enyi watu wangu! Mimi simo katika upotofu, lakini mimi ni Mtume nitokaye kwa Mola Mlezi wa viumbe vyote (61) Nakufikishieni Ujumbe wa Mola Mlezi wangu, na ninakunasihini; na ninayajua kwa Mwenyezi Mungu msiyo yajua nyinyi (62) Je, mnastaajabu kukujieni mawaidha yanayotoka kwa Mola Mlezi wenu kwa njia ya mtu aliye ni mmoja katika nyinyi, ili akuonyeni na ili mumchemngu, na ili mpate kurehemewa (63) Basi walimkanusha. Nasi tukamwokoa yeye na walio kuwa pamoja naye katika jahazi. Na tukawazamisha wale walio kanusha Ishara zetu. Hakika hao walikuwa watu vipofu (64) Na kwa A'adi tulimpeleka ndugu yao, Hud. Akasema: Enyi watu wangu! Muabuduni Mwenyezi Mungu. Nyinyi hamna mungu ila Yeye. Basi je, hamumchi (65) Wakasema watukufu wa wale walio kufuru katika kaumu yake: Sisi tunakuona umo katika upumbavu, na hakika sisi tunakufikiria kuwa wewe ni katika waongo (66) Akasema: Enyi watu wangu! Mimi sina upumbavu. Lakini mimi ni Mtume niliye toka kwa Mola Mlezi wa viumbe vyote (67)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf].


Na tunachunguza kutokana na hayo kua kaumu Aadi wali ishi Sanaa na ikaendelea manyumba zao mpaka nafaka Alkhalid na ilikua yaitwa yemen wakati huwo kwa yemen ya furaha " Al'Yaman Asaid" kulingana ilikua taifa mzuri na Mola Mwenye Msamaha, Na Amesema kweli Allah ni wenye majumba marefu ambao Hajaumba kama hio katika Miji mpaka siku yetu ya leo kwakua makasri yake ni kutokana na dhahabu imehususishwa kwa wafalme wa Aadi na tutaenda kubadilisha ma kasri zake kua ni fedha kintar na dinar, Ama kintar basi ni gramu alfu moja na ama dinar basi ni gramu kumi na inawafikiana mizani yake gramu kumi.


Na zitategemea fedha za ulimwengu na unyenyekevu wake dolari na euro na fedha zote za kiarabu na za kiajemi na za kislamu na tutaziaminisha nazo riali ya kisudi na zote fedha za kiarabu na za kislamu lakini hi baada ya kutawala mwanzo, Na wala hawatopata kujua pahala pake ma hizbu za Yemen kwa irma kwenye manymba marefu ambao Hajaumba kama hio katika miji.


Na nawalika wote watowaji wa fatwa katika miji kwenye pembe tafauti mwaliko wa kufika kwenye meza ya iftari, Na nakariri mwaliko nawalika wote watowaji fatwa katika mataifa ya kislamu sawa iwe ni ya kiarabu ama ya kiejemi kuhudhuria kufuturu kwenye uwanja wa sabini na tutawachinjia wao kwenye meza ya kufuturu ya Al'Imam Al'Mahdi Ngamia Alfu Na Kondo Alfu Na Ngombe alfu wala sio kua mimi ni milyonea lakini wako na mimi ma Anssari waliokirimiwa, Na kama vile yasema mithali ya kiarabu mwenye kua anssari wake ni makarimu basi itatukuka mwaliko wake, Na Ngombe alfu kufanya mandi na wali, Hivo na tunaruhusu kuhudhuria katika chakula ya ftari watangazaji wote wa vituo va kurusha hewani moja kwa moja, Na atakae mfuturisha alie funga basi atapata mfano wa ujira wa saumu yake, Basi magano ni nusu wa mwezi wa Ramadhani, Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabil3alamin.


Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Nduguyenu Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani. .


وسلامٌ على المرسلين والحمد لله ربّ العالمين ..
أخوكم الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
____________