- 1 -

Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
09 - 07 - 1435 هـ
08 - 05 - 2014 مـ
05:46 صباحاً
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=18028

ــــــــــــــــــــ

كذلك يطلق على الذين لا يقرأون الكتاب من اليهود أنّهم أميّون..
Hivo Hivo Wanaitwa Wale Hawsomi Kitabu Katika Ma Yahudi Kwamba Wao Ni Umiyun..


Bismllah Al’Rahman Al’Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Wote Ma Nabi Wa Allah Na Mitume Wake Na Ahli Yao Walio Wazuri Wanao Fwata Haki Mpaka Siku Ya Dini, AMA Baada Ya Hapo..


Hakika imetoka fatwa yetu kabla kwamba Alumii ni yule hjuwi kusoma kitabu, Basi hivo hivo katika ma yahudi hawajuwi kusoma kitabu na wanawapoteza wao wanazuoni wao ambao ni wazushi, Akasema Allah Ta3ala:
{ أَفَتَطْمَعُونَ أَن يُؤْمِنُوا لَكُمْ وَقَدْ كَانَ فَرِيقٌ مِّنْهُمْ يَسْمَعُونَ كَلَامَ اللَّـهِ ثُمَّ يُحَرِّفُونَهُ مِن بَعْدِ مَا عَقَلُوهُ وَهُمْ يَعْلَمُونَ ﴿٧٥﴾وَإِذَا لَقُوا الَّذِينَ آمَنُوا قَالُوا آمَنَّا وَإِذَا خَلَا بَعْضُهُمْ إِلَىٰ بَعْضٍ قَالُوا أَتُحَدِّثُونَهُم بِمَا فَتَحَ اللَّـهُ عَلَيْكُمْ لِيُحَاجُّوكُم بِهِ عِندَ رَبِّكُمْ ۚ أَفَلَا تَعْقِلُونَ﴿٧٦﴾أَوَلَا يَعْلَمُونَ أَنَّ اللَّـهَ يَعْلَمُ مَا يُسِرُّونَ وَمَا يُعْلِنُونَ ﴿٧٧﴾وَمِنْهُمْ أُمِّيُّونَ لَا يَعْلَمُونَ الْكِتَابَ إِلَّا أَمَانِيَّ وَإِنْ هُمْ إِلَّا يَظُنُّونَ ﴿٧٨﴾} صدق الله العظيم [البقرة].

Allah Ta3ala Asema: {Mnatumai watakuaminini na hali baadhi yao walikuwa wakisikia maneno ya Mwenyezi Mungu, kisha wakayabadili baada ya kuwa wameyafahamu, na hali wanajua (75) Na wanapo kutana na wale walio amini husema: Tumeamini. Na wanapo kuwa peke yao, wao kwa wao, husema: Mnawaambia aliyo kufunulieni Mwenyezi Mungu ili wapate kukuhojieni mbele ya Mola wenu Mlezi? Basi hamfahamu nyinyi (76) Hawajui ya kwamba Mwenyezi Mungu anayajua wanayo yaficha na wanayo yatangaza (77) Na wako miongoni mwao wasio jua kusoma; hawakijui Kitabu isipo kuwa uwongo wanao utamani, nao hawana ila ni kudhania tu (78)} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara].

Na Ushuhuda Ambao ni muhakam ilio wazi maana Yake na baini kwamba Al’umii Ni Yule Ambae Hajiwi Kusoma Kitabu naichunguza kutoka kauli ya Allah Ta3ala:
{وَمِنْهُمْ أُمِّيُّونَ لَا يَعْلَمُونَ الْكِتَابَ إِلَّا أَمَانِيَّ وَإِنْ هُمْ إِلَّا يَظُنُّونَ ﴿٧٨﴾}صدق الله العظيم.
Allah Ta3ala Asema:
{ Na wako miongoni mwao wasio jua kusoma; hawakijui Kitabu isipo kuwa uwongo wanao utamani, nao hawana ila ni kudhania tu (78)} Sadaqa Allah Al3adhim (78)} Sadaqa Allah Al3adhim, Na imebainika kwenu kwamba Al’umii ni yule Ambae Hajuwe Kusoma Kitabu.

Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamduliah Rabil3alamin..
Ndugu yenu Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.
أخوكم الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ــــــــــــــــــ