Al’Yamani Al’Muntadhar Anawalika Waumini Watoke Kutoka Kuabudu Waja Kwenda Kuabudu Mola Mlezi Wa Waja..
اليماني المنتظَر يدعو المؤمنين للخروج من عبادة العباد إلى عبادة ربّ العباد..

Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
30 - 05 - 1429 هـ
20 - 06 - 2007 مـ
12:17 صباحـاً
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=50

ــــــــــــــــــــ

Bismillah Al’Rahman Al’Rahim, Amesema Allah Ta3ala:
{وَمَا يُؤْمِنُ أَكْثَرُهُمْ بِاللَّهِ إِلا وَهُمْ مُشْرِكُونَ} صدق الله العظيم [يوسف:106].
Allah Ta3ala Asema:
{ Na wengi katika wao hawamuamini Mwenyezi Mungu pasina kuwa ni washirikina }
Sadaqa Allah Al3adhim
[Yusuf:106].
Kutoka Kwa “ Al’Nasser li Muhamaden “ Munusura Wa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa alihi wa salam Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani kwa wote waislamu Na Watu Wote, Na Salam Juu Ya Yule Amefwata uongofu kwenda kwa njia ilio nyoka..

Enye Ma3ashara Ya Waislamu, Musiombe pamoja na Allah yoyote, Na hakika mimi nawamuru kukufuru kwa kutawasali kwa waja wa Allah waliokurubishwa basi hivo ni shirki kwa Allah, Basi Musiwaombe ili wawaombeleze nyinyi kwa Mola Mlezi wenu basi hivo ni shirki kwa Allah, Basi njoni tuangalie kwenye Al’Quran Al3adhim matokeo ya wale ambao wanaomba mbali na Allah waja wake walio kirimiwa na jee wanaweza kuwafa na kitu ama kwamba wao watajitoa kwa yule alio waomba mbali na Allah, Na kama vile tulivo wabainishia kutoka awali sababu ya kuabudu masanamu ni mubalagha kutukuza waja wa Allah waliokurubishwa na kuzidisha juu yao bila ya haki mpaka pindi akifa moja wao katika wale walio tambulikana kwa ma karama na dua yake mustajaba basi wanazidisha juu yao wale baada yao, Na wanazidisha juu yao bila ya haki basi wanatengeza kwa kila moja wao sanamu mithali ya sura zake alafu wanawaomba pasi na Allah, Na huyu mja mwema alio kirimiwa amekufa na lau angalikua yuko angewakataza kufanya hayo lakini shirki inakua baada kufa kwake, Basi jikusanyeni ili tuangalie kwenye mazungumzo ya washirikina waumini kwa Allah na wanamshirikisha nae waja wake waliokirimiwa, Na hivo hivo mazungumzo ya ma kafiri wale ambao waliabudu masanamu pasi na kujua siri ya kuabudu masanamu ispokua wao wamepata ma baba zao wakubwa kwa wakubwa hivo ndio wanavo fanya basi wao kwa athari zao wanafanya. Na Akasema Allah Ta3ala:
{وَيَوْمَ يُنَادِيهِمْ فَيَقُولُ أَيْنَ شُرَ‌كَائِيَ الَّذِينَ كُنتُمْ تَزْعُمُونَ ﴿٦٢﴾ قَالَ الَّذِينَ حَقَّ عَلَيْهِمُ الْقَوْلُ رَ‌بَّنَا هَـٰؤُلَاءِ الَّذِينَ أَغْوَيْنَا أَغْوَيْنَاهُمْ كَمَا غَوَيْنَا ۖ تَبَرَّ‌أْنَا إِلَيْكَ ۖ مَا كَانُوا إِيَّانَا يَعْبُدُونَ ﴿٦٣﴾} صدق الله العظيم [القصص].

Allah Ta3ala Asema: { Na siku atakapo waita na akasema: Wako wapi mlio kuwa mkidai kuwa ni washirika wangu (62) Watasema wale iliyo thibiti juu yao kauli: Mola wetu Mlezi! Hawa ndio walio tupoteza. Tuliwapoteza kama tulivyo potea sisi. Tunajitenga nao mbele yako. Hawakuwa wakituabudu sisi (63)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alqasas].
Na hio kwako ufafanuzi kwa haki; Hakika sisemi juu ya Allah kwa ufafanuzi mbali na haki wala sio kwa dhana basi dhana haisaidi haki kitu, Na Ufafanuzi wa haki katika kauli yake:
{‏وَيَوْمَ يُنَادِيهِمْ فَيَقُولُ أَيْنَ شُرَكَائِيَ الَّذِينَ كُنْتُمْ تَزْعُمُونَ}،
{ Na siku atakapo waita na akasema: Wako wapi mlio kuwa mkidai kuwa ni washirika wangu },
Na anakusudia Allah Wako wapi waja wangu walio kurubishwa wale ambao munawaomba mbali na Mimi? Wakasema Wale Walio Kua wakiabudu masanamu:
رَ‌بَّنَا هَـٰؤُلَاءِ الَّذِينَ أَغْوَيْنَا
Mola Mlezi Wetu Hawa ndio walio tupoteza.

Na wanakusudia babazao wa mwanzo kwamba wao wamewapata wana abudu masanamu na walikua hawajuwi nini siri ya kuabudu masanamu basi wakafwata athari zao bila kujua siri yake na babazao wanajua siri ya kuabudu masanamu, Alafu tuangalie jibu ya babazao wamwanzo Wakasema:

{أَغْوَيْنَاهُمْ كَمَا غَوَيْنَا}،
{ Tuliwapoteza kama tulivyo potea sisi },

Na wanakusudia kwa hayo kwamba wao wamewapoteza ma umma wale baada yao kwa sababu ya kuabudu kwao kwa waja wa Allah waliokurubishwa ili wawakurubishe kwa Allah karibu na alafu akaondosha Allah baina yao na baina ya waja wake waliokurubishwa wakawaona wakawajua kama walivo kua wanawajua katika maisha ya dunia katika wale ambao wanawatukuza baada ya kufa kwao, Na Akasema Ta3ala:

{وَإِذَا رَ‌أَى الَّذِينَ أَشْرَ‌كُوا شُرَ‌كَاءَهُمْ قَالُوا رَ‌بَّنَا هَـٰؤُلَاءِ شُرَ‌كَاؤُنَا الَّذِينَ كُنَّا نَدْعُو مِن دُونِكَ فَأَلْقَوْا إِلَيْهِمُ الْقَوْلَ إِنَّكُمْ لَكَاذِبُونَ ﴿٨٦﴾} صدق الله العظيم [النحل].
Allah Ta3ala Asema: { Na walio shirikisha watakapo waona hao walio washirikisha na Mwenyezi Mungu, watasema: Mola wetu Mlezi! Hawa ndio washirikishwa wetu ambao tulikuwa tukiwaabudu badala yako. Ndipo wale watakapo watupia kauli:Hakika nyinyi ni waongo (86)}
Sadaqa Allah Al3adhim [Alnahl].
Ispokua Allah ameiondosha pazia ambayo inafinika baina yao na baina ya kuonana badhi yao kwa badhi alafu akawaonesha wao, Kwajili Ya hivo Amesema Ta3ala:


{وَإِذَا رَ‌أَى الَّذِينَ أَشْرَ‌كُوا شُرَ‌كَاءَهُمْ قَالُوا رَ‌بَّنَا هَـٰؤُلَاءِ شُرَ‌كَاؤُنَا الَّذِينَ كُنَّا نَدْعُو مِن دُونِكَ فَأَلْقَوْا إِلَيْهِمُ الْقَوْلَ إِنَّكُمْ لَكَاذِبُونَ}،
Allah Ta3ala Asema: { Na walio shirikisha watakapo waona hao walio washirikisha na Mwenyezi Mungu, watasema: Mola wetu Mlezi! Hawa ndio washirikishwa wetu ambao tulikuwa tukiwaabudu badala yako. Ndipo wale watakapo watupia kauli:Hakika nyinyi ni waongo },

Na hio ndio kuondosha inaokusudiwa katika Aya. Na Akasema Allah Ta3ala:
{وَيَوْمَ نَحْشُرُهُمْ جَمِيعًا ثمّ نَقُولُ لِلَّذِينَ أَشْرَكُوا مَكَانَكُمْ أَنْتُمْ وَشُرَكَاؤُكُمْ فَزَيَّلْنَا بَيْنَهُمْ وَقَالَ شُرَكَاؤُهُمْ مَا كُنْتُمْ إِيَّانَا تَعْبُدُونَ} صدق الله العظيم [يونس:28].
Allah Ta3ala Asema: { Na siku tutakapo wakusanya wote, kisha tutawaambia walio shirikisha:Simameni mahali penu nyinyi na wale mlio wafanya washirika. Kisha tutaondosha baina yao. Na hao walio washirikisha watasema: Nyinyi hamkuwa mkituabudu sisi }
Sadaqa Allah Al3adhim [Yunus:28].
Na Alafu wamesema waja wa Allah Walio karurubishwa:
{تَبَرَّ‌أْنَا إِلَيْكَ مَا كَانُوا إِيَّانَا يَعْبُدُونَ ﴿٦٣﴾} صدق الله العظيم،
{ Tunajitenga nao mbele yako. Hawakuwa wakituabudu sisi (63)}
Sadaqa Allah Al3adhim,
Na hi Tauwil ufafanuzi wa haki kwenye kauli yake Ta3ala:
{وَيَوْمَ يُنَادِيهِمْ فَيَقُولُ أَيْنَ شُرَ‌كَائِيَ الَّذِينَ كُنتُمْ تَزْعُمُونَ ﴿٦٢﴾ قَالَ الَّذِينَ حَقَّ عَلَيْهِمُ الْقَوْلُ رَ‌بَّنَا هَـٰؤُلَاءِ الَّذِينَ أَغْوَيْنَا أَغْوَيْنَاهُمْ كَمَا غَوَيْنَا تَبَرَّ‌أْنَا إِلَيْكَ مَا كَانُوا إِيَّانَا يَعْبُدُونَ ﴿٦٣﴾} صدق الله العظيم [القصص].
Allah Ta3ala Asema: { Na siku atakapo waita na akasema: Wako wapi mlio kuwa mkidai kuwa ni washirika wangu (62) Watasema wale iliyo thibiti juu yao kauli: Mola wetu Mlezi! Hawa ndio walio tupoteza. Tuliwapoteza kama tulivyo potea sisi. Tunajitenga nao mbele yako. Hawakuwa wakituabudu sisi (63)}
Sadaqa Allah Al3adhim [Alqasas].
Kwa Hivo enyi ma3ashara ya waislamu tayari wamekufuru waja wa Allah waliokurubishwa kwa ibada ya wale ambao wanawaomba pasi na Allah kama vile mulivo ona kwenye ma Aya na walikua dhidi yao, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَاتَّخَذُوا مِن دُونِ اللَّـهِ آلِهَةً لِّيَكُونُوا لَهُمْ عِزًّا ﴿٨١﴾ كَلَّا سَيَكْفُرُ‌ونَ بِعِبَادَتِهِمْ وَيَكُونُونَ عَلَيْهِمْ ضِدًّا ﴿٨٢﴾} صدق الله العظيم [مريم].
Allah Ta3ala Asema: { Na wamechukua miungu mingine badala ya Mwenyezi Mungu ili ati iwape nguvu (81) Sivyo kabisa! Wataikataa hiyo ibada yao, na watakuwa ndio dhidi yao (82)}
Sadaqa Allah Al3adhim [Maryam].

Kwa hivo enyi ma3ashara ya ma shia katika wale ambao wanaomba ma imamu wa ahlu albeit kwamba wawaombeleze wao basi wamemshirikisha kwa Allah nyinyi na wote katika madhehebu zote ambao wanaomba waja wa Allah waliokurubishwa ili wawashufaie, Lakini wao ispokua ni waja wa Allah kama nyinyi, Akasema Allah Ta3ala:
{قُلِ ادْعُوا الَّذِينَ زَعَمْتُم مِّن دُونِهِ فَلَا يَمْلِكُونَ كَشْفَ الضُّرِّ‌ عَنكُمْ وَلَا تَحْوِيلًا ﴿٥٦﴾ أُولَـٰئِكَ الَّذِينَ يَدْعُونَ يَبْتَغُونَ إِلَىٰ ربّهم الْوَسِيلَةَ أَيُّهُمْ أَقْرَ‌بُ وَيَرْ‌جُونَ رَ‌حْمَتَهُ وَيَخَافُونَ عَذَابَهُ إِنَّ عَذَابَ رَ‌بِّكَ كَانَ مَحْذُورً‌ا ﴿٥٧﴾} صدق الله العظيم [الإسراء].
Allah Ta3ala Asema: { Sema: Waombeni hao mnao wadaia badala yake Yeye. Hawawezi kukuondoleeni madhara, wala kuyaweka pengine (56) Hao wanao waomba, wao wenyewe wanatafuta njia ya kwendea kwa Mola wao Mlezi - yupi atakua karibu zaidi - na wanataraji rehema zake na wanaikhofu adhabu yake. Hakika adhabu ya Mola wako Mlezi yafaa kutahadhari nayo (57)} Sadaqa Allah Al3adhim [Al’israa].
Na hi ni kuhusu waumini wanao’mshirikisha Allah na waja wake waliokurubishwa, Lakini hakika wanapatikana kaumu wana’abudu ma shetani pasi na Allah; Bali na wanadhihirika kwao mashetani na wan’wambia wao kwamba ni Malaika wa Allah waliokurubishwa basi wana'wangukia kuwasujudia mpaka pindi akiwauliza: Nini mulikua mukiabudu pasi na Allah? Wakasema: Malaika waliokurubishwa. Alafu Akauliza Malaika Wake Waliokurubishwa: Jee hawa wanawabudu nyinyi? Akasema Allah Ta3ala:

{وَيَوْمَ يَحْشُرُ‌هُمْ جَمِيعًا ثمّ يَقُولُ لِلْمَلَائِكَةِ أَهَـٰؤُلَاءِ إِيَّاكُمْ كَانُوا يَعْبُدُونَ ﴿٤٠﴾ قَالُوا سُبْحَانَكَ أَنتَ وَلِيُّنَا مِن دُونِهِم بَلْ كَانُوا يَعْبُدُونَ الجنّ أَكْثَرُ‌هُم بِهِم مُّؤْمِنُونَ ﴿٤١﴾} صدق الله العظيم [سبأ].
Allah Ta3ala Asema: { Na siku atakayo wakusanya wote, kisha atawaambia Malaika: Je! Hawa walikuwa wakikuabuduni (40) Waseme: Subhanak, Umetakasika. Wewe ndiye kipenzi chetu si hao. Bali wao walikuwa wakiwaabudu majini; wengi wao wakiwaamini hao (41)}
Sadaqa Allah Al3adhim [Saba].

Na hawa ni katika wale ambao wanawazuwia ma shetani kutokana na njia na wanaona kwamba wao wameongoka, Na mapoti yote hayo yamepoetea kutoka kwa njia ya haki na wanaona kwamba wameongoka, Na wanaitwa hawo wamepotea kutoka kwa njia ya haki, Na wao hawajuwi kwamba wao wako kwenye upotevu ulio baini Bali imepotea mbio yao katika maisha ya dunia na wao wanaona kwamba wao wanafanya mazuri.

Na ama poti lingine basi sio walio potea kutoka kwa njia na macho yao ndani yake ni chuma, Lakini pindi wakiona njia ya haki hawaichukuwi ni njia kwajili wao wanajua hi ndio njia ya haki, Na wakiona njia ya upotofu wanaifanya ndio njia na wao wanajua kwamba hi njia ni ya batili, Hao ni ma shetani watu hawo sio walio potea bali hawo ni walio ghadhibiwa juu yao wamefikia ghadhabu juu ya ghadhabu, Vipi na wao wajua njia ya haki alafu wasifanyi ni njia na wakiona njia ya upotofu wanaifanya ni njia! Vipi na wao wanajua kwamba Muhammad Mtume Wa Allah Wa Haki kama wanavo wajua watoto wao alafu wanazuwia mwaliko wa haki kuzuwia! Hawo ndio zaidi kwa Al’Rahman 3itia, Hawo ndio awula kwa jahanam kuchomwa, Na wanafanya vita na Allah na ma wali wake na wao wajua kwamba ni haki basi wanawafanyia mbinu kwa ma wali wake mbinu kuu, Na wanamwabudu taghut pasi na Allah na wao wanajua kwamba yeye ni shetani rajim aduwi wa Allah na aduwi wa atakae kua nae kwajili ya hivo wamefanya ma shetani ndio vipenzi vao pasi na Allah na wakabadilisha umbile la Allah, Basi wkazidi kua wengi katika kizazi cha binadamu ulimwengu wa ma jini ma shetani, Na Akasema Allah Ta3ala:

{وَيَوْمَ يَحْشُرُ‌هُمْ جَمِيعًا يَا مَعْشَرَ‌ الجنّ قَدِ اسْتَكْثَرْ‌تُم مِّنَ الْإِنسِ وَقَالَ أَوْلِيَاؤُهُم مِّنَ الْإِنسِ رَ‌بَّنَا اسْتَمْتَعَ بَعْضُنَا بِبَعْضٍ وَبَلَغْنَا أَجَلَنَا الَّذِي أَجَّلْتَ لَنَا قَالَ النّار مَثْوَاكُمْ خَالِدِينَ فِيهَا إِلَّا مَا شَاءَ اللَّـهُ إِنَّ رَ‌بَّكَ حَكِيمٌ عَلِيمٌ ﴿١٢٨﴾} صدق الله العظيم [الأنعام].
Allah Ta3ala Asema:
{ Na ile Siku atapo wakusanya wote awaambie: Enyi makundi ya majini! Hakika nyinyi mumekua wengi katika wanaadamu. Na marafiki zao katika wanaadamu waseme: Mola Mlezi wetu! tulipeana utamu baadhi yetu kwa baadhi. Na tumefikia ukomo wetu ulio tuwekea. Basi Mwenyezi Mungu atasema: Moto ndio makaazi yenu, mtadumu humo, ila apendavyo Mwenyezi Mungu. Hakika Mola wako Mlezi ni Mwenye hikima, na Mwenye kujua (128)}
Sadaqa Allah Al3adhim
[ Al’anaam].

Hawo Hawaingi motoni kwa hisabu; Yani kwamba wao hawato’cheleweshwa Mpaka siku ya kiyama bali wataingia katika moto moja kwa moja baada ya kufa kwao, Hao ma shetani binadamu katika kila zama na mahali wanaingia motoni baada ya kufa kwao moja kwa moja, Na kinyume chao waja wa Allah waliokurubishwa hawaingi peponi kwa hisabu, Yani kwamba wao hawato’akhirishwa mpaka siku ya kiyama ili wafanyiwe hisabu bali wanaingia peponi wanapo kufa hapo hapo na wanabaki peponi itakavo dumu mbingu na ardhi, Na hivo hivo ma shetani watu watabaki motoni itakavo dumu mbingu na ardhi, Na ama watu wa kulia basi atachelewesha kuingia kwao peponi mpaka siku ya ufufuwaji na hisabu, Yani kwamba wao watachelewa kuingia peponi mpaka siku ya kiyama ndio wataingia peponi kwa hisabu na wataruzukiwa humo bila hisabu, Na hivo hivo walio potea anachelewesha kuingia kwao motoni mpaka siku ya kiyama basi ndio wataingia motoni kwa hisabu na watakula ndani yake mea wa alzaqum bila hisabu, Chakula cha anae fanya dhambi moto sana inachemka tumboni kama inavo chemka hamim, Na maana kauli kwa hisabu yani watafanyiwa hisabu mpaka ibainike kwao kwamba Allah Hakuwadhulumu kitu bali wenyewe ndio wakidhulumu, Ama ma shetani watu basi wao wanajua na wao bado wako katika maisha ya dunia kwamba wao wako kwenye upotevu baini hao wanaingia motoni mara mbili mara ya kwanza baada ya kufa kwao kwenye maisha ya kibarzakh na ingine siku watakapo simama watu kwa Allah Mola Mlezi wa ulimwengu.

Na enyi Ma3ashara ya waislamu, Njoni niwambinishie kwenu tafauti baina ya watu wa kulia na waliokurubishwa, Na tafauti ni kwenye daraja, Na tafauti nayo ni baina ya kitendo cha faradhi Na nafli kujikurubisha kwa Allah, Basi hakika ya tafauti bainayao daraja mia’sita na tisini, Wala hawapati mpenzi ya Allah watu wa kulia bali wanapata Radhi zake; Yani kwamba hana ghadhabu juu yao bali ni radhi juu yao, Na hivo ni kwajili wametekeleza yale alio faridhisha Allah juu yao, Lakini wao hawakukurubia kwa vitendo ambazo Amezifanya Allah ni za kujitolea wala sio faradhi, Bali ni wakitaka wajikurubishe nazo kwa Mola Mlezi wao lakini wao hawakufanya bali wametekeleza sadaka ya zaka ya faradhi na hawakukurubia sadaka za nafli.

Na lakini tafauti ni Adhimu katika mezani enyi Ma3ashara ya waumini, Basi njoni tuangalie tafauti: Basi ama walio kurubishwa basi wametekeleza sadaka ya faradhi ika’andikwa kwao kama mema ya watu wa kulia kumi mfano wake, Alafu wakalekea kwenye sadaka za nafli basi wakatoa kwa njia ya Allah kutaka kumridhisha Allah na kua karibu nae kukita kutoka kwo wenyewe na wala haikua ju yao ni faradhi amri ya lazima kama faradhi ya zaka bali ni kutoka kwa nafsi zao, Na Allah ni Mkarimu kuliko wao akafanya tafauti baina ya daraja ya faradhi na daraja ya nafli daraja mia’sita na tisini, Na akawapenda na Akawakurubisha. Na Akasema Allah Ta3ala

{مَن جَاءَ بِالْحَسَنَةِ فَلَهُ عَشْرُ‌ أَمْثَالِهَا} [الأنعام:160].
Allah Ta3ala Asema:
{ Atakae kuja na jema basi atapata kumi mfano wake } [Alanaam:160].

Na ile ni jema la faradhi na amri ya lazima, Na wala haikubaliwi nafli ila baada kuleta tendo la lazima alafu vitendo va kujitolea, Na akataja Allah tafauti baina yao kwenye nasi ya Al’Quran Al3adhim kwamba jema la lazima katika mezani nayo ni kumi mfano wake na ama jema la kujitolea kujikurubisha kwa Allah basi nayo ni mema mia saba, Na akabainisha tafauti baina yao kwamba ni daraja mia’sita na tisini, Na hivo hivo anaongeza Allah kwa anae taka basi hakufunga ukarimu wake Subhanahu Ametakasika.

Na lakini inapatika jema na ovu ameifanya Allah sawa katika mezani kwenye ujira ama dhambi nayo ni ku’uwa nafsi bila ya nafsi, Ama ufisadi katika ardhi basi kama kwamba ameuwa watu wote, Na hivo hivo mwenye ku’ihuisha Na akasamehe ama akalipa diya inao ghuri kwa wenye damu mpaka wakasamehe basi kama kwamba amehuisha watu wote.

Basi tubieni kwa Allah nyote enyi ambao ni waumini huwenda mukafaulu, Basi angalie moja wenu jee yeye ni katika waliokurubishwa ama ni katika watu wa kulia ama ni katika watu wa jahim, Na jee anae jua kwa uhakika wa vitendo va mtu na nia yake ispokua mtu na Mumba wa mtu? Basi angalieni kwenye nyoyo zenu mutajua jee mumetekeleza yale alio wamuru Allah nayo ama la? Na ikiwa mumetekeleza basi angalieni vitendo venu jee zimetekelezwa kwa ikhlasi kwajili ya uso wa Allah ama munalo lengo lingine ria kuonesha watu ama haja ya kidunia katika nafsi zenu? Basi nyinyi mwajua kiliomo ndani ya nafsi zenu na hivo hivo Mola Mlezi wenu, Basi angalieni kwenye nia za vitendo venu na mutaenda kujua jee nyinyi ni katika waliokurubishwa ama ni katika watu wa kulia ama ni watu wa kushoto, Na hivo Kusadikisha Kauli ya Allah Ta3ala:
{يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اتَّقُوا اللَّـهَ وَلْتَنظُرْ‌ نَفْسٌ مَّا قَدَّمَتْ لِغَدٍ وَاتَّقُوا اللَّـهَ إِنَّ اللَّـهَ خَبِيرٌ‌ بِمَا تَعْمَلُونَ ﴿١٨﴾} صدق الله العظيم [الحشر].
Allah Ta3ala Asema:
{ Enyi mulio amini mcheni Allah na kila nafsi iyangalie nini ametanguliza kwajili ya kesho na mumche Allah hakika Allah anajua kwa yale munao yatenda (18)}
Sadaqa Allah Al3adhim
[Alhashr].

Ndugu Ya Waislamu Khalifa wa Allah ju Ya Watu, Al’Imam Wa Kumi Na Mbili Kutoka kwa Ahlu albeit waliotahirika, Al’Yamani Al’Muntadhar Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani.

أخو المسلمين خليفة الله على البشر؛ الإمام الثاني عشر من أهل البيت المُطهر، اليماني المُنتظر الإمام ناصر محمد اليماني.
ـــــــــــــــــــــ


اقتباس المشاركة 4356 من موضوع في شأن التَّوسُّل إلى الله بعبادهِ المُقَرَّبين ..

الإمام المهديّ ناصر محمّد اليمانيّ

[لمتابعة رابط المشاركة الأصليّة للبيان]
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=929
____________



في شأن التَّوسُّل إلى الله بعبادهِ المُقَرَّبين ..


وسلامٌ على المُرسَلين، والحمد لله ربِّ العالمين..

فلنبدأ الحوار بفتوى المهديّ المنتظَر ناصر محمد اليماني في شأن التّوسل إلى الله بعباده المُقرَّبين، وأُفتي بأنّ ذلك شركٌ أتبرّأُ منه إلى يوم الدين، فتدَبَّر وتفَكَّر ورُدّ على المهديّ المنتظَر الإمام الثاني عشر من آل البيت المُطهّر خليفة الله على البشر الإمام ناصر محمّد اليماني حتى تكون من الأنصار السابقين الأخيار إن شاء الله ربّ العالمين، ولكن أنصحك بالدُّعاء من قبل الحوار شرط أن تدعو الله وحده. تصديقًا لقول الله تعالى:
{وَقَالَ رَبُّكُمُ ادْعُونِي أَسْتَجِبْ لَكُمْ ۚ إِنَّ الَّذِينَ يَسْتَكْبِرُونَ عَنْ عِبَادَتِي سَيَدْخُلُونَ جَهَنَّمَ دَاخِرِينَ ﴿٦٠﴾} صدق الله العظيم [غافر]، وتقول:"يا من تحول بين المرء وقلبِه أنت ربّي بيدك قلبي فبَصِّرني بالحقّ وارزقني اتّباعَه وبَصِّرني بالباطل وارزقني اجتنابَه إنّك أنت السميع العليم". وأصدِق الله يصدُقك أخي الكريم.

فلنبدأ الحوار بالقول الفصل وما هو بالهزل، ولنجعل أول الحوار هو البيان الحقّ لقوله تعالى: {وَمَا يُؤْمِنُ أَكْثَرُهُم بِاللَّـهِ إِلَّا وَهُم مُّشْرِكُونَ ﴿١٠٦﴾} صدق الله العظيم [يوسف]. وسبق وأن كتبنا في ذلك بيانًا وفصّلناه تفصيلًا وهو بعنوان: (المهديّ المنتظَر يدعو المؤمنين للخروج من عبادة العباد إلى عبادة ربِّ العباد..)، وإليك نصّه بالحقّ:



اقتباس المشاركة 110816 من موضوع السبب الحقيقي للإشراك بالله وسرّ الشفاعة ..

- 33 -
الإمام المهدي ناصر محمد اليمانيّ
05 - جمادي الآخرة - 1428 هـ
20 - 06 - 2007 مـ
12:17 صباحًا
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )

[ لمتابعة رابط المشاركة الأصلية للبيان ]
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=138
ــــــــــــــــــــــــ



اليماني المنتظَر يدعو المؤمنين للخروج من عبادة العباد إلى عبادة ربِّ العباد ..


بسم الله الرحمن الرحيم، وقال الله تعالى: {وَمَا يُؤْمِنُ أَكْثَرُهُم بِاللَّـهِ إِلَّا وَهُم مُّشْرِكُونَ ﴿١٠٦﴾} صدق الله العظيم [يوسف]. منَ الناصر لمحمدٍ رسول الله - صلّى الله عليه وآله وسلّم - الإمام المهدي ناصر محمد اليمانيّ إلى جميع المسلمين والنّاس أجمعين، والسلام على من اتَّبع الهادي إلى الصّراط المستقيم..

يا معشر المسلمين، لا تدعوا مع الله أحدًا، وإني لآمركم بالكفر بالتّوسل بعباد الله المقرّبين فذلك شركٌ بالله، فلا تدعوهم ليشفعوا لكُم عِند ربّكم فذلك شركٌ بالله، وتعالوا لننظر في القرآن العظيم نتيجة الذين يدعون من دون الله عبادَه المكرّمين فهل يستطيعون أن ينفعونهم شيئًا أم إنّهم سوف يتبرّأون ممَّن دعاهم من دون الله؟ وكما بيَّنا لكم من قبل بأنّ سبب عبادة الأصنام هي المبالغة في عباد الله المُقَرَّبين والغلوّ فيهم بغير الحقّ، حتى إذا مات أحدهم من الذين عُرفوا بالكرامات والدعاء المُستجاب بالغَ فيهم الذين من بعدِهم؛ وبالغوا فيهم بغير الحقّ فيصنعون لكُلٍّ منهم صَنَمًا تمثالًا لصورته فيدعونه من دون الله، وهذا العبد الصالح المُكرّم قد مات ولو لم يزل موجودًا لنهاهم عن ذلك ولكن الشرك يحدث من بعد موته، فهلمّوا لننظر إلى حوار المشركين المؤمنين بالله ويشركون به عباده المُكرمين، وكذلك حوار الكفار الذين عبدوا الأصنام دون أن يعلموا سرّ عبادتها إلّا أنّهم وجدوا آباءهم كابِرًا عن كابرٍ كذلك يفعلون فهم على آثارهم يهرعون. وقال الله تعالى: {وَيَوْمَ يُنَادِيهِمْ فَيَقُولُ أَيْنَ شُرَكَائِيَ الَّذِينَ كُنتُمْ تَزْعُمُونَ ﴿٦٢﴾ قَالَ الَّذِينَ حَقَّ عَلَيْهِمُ الْقَوْلُ رَبَّنَا هَـٰؤُلَاءِ الَّذِينَ أَغْوَيْنَا أَغْوَيْنَاهُمْ كَمَا غَوَيْنَا ۖ تَبَرَّأْنَا إِلَيْكَ ۖ مَا كَانُوا إِيَّانَا يَعْبُدُونَ ﴿٦٣﴾} صدق الله العظيم [القصص].

وإليكم التأويل بالحقّ؛ حقيقٌ لا أقول على الله بالتأويل غير الحقّ وليس بالظنّ فالظنّ لا يُغني من الحقّ شيئًا، والتأويل الحقّ لقوله: {‏وَيَوْمَ يُنَادِيهِمْ فَيَقُولُ أَيْنَ شُرَكَائِيَ الَّذِينَ كُنتُمْ تَزْعُمُونَ ﴿٦٢﴾}، ويقصد الله أين عبادي المُقَرَّبين الذين كنتم تدعونهم من دوني؟ وقال الذين كانوا يعبدون الأصنام: " ربنا هؤلاء أغوينا. " ويقصدون آباءهم الأولين بأنّهم وجدوهم يعبدون الأصنام ولم يكونوا يعلمون ما سرّ عبادتهم لها فهَرَعوا على آثارهم دون أن يعلموا بسرّ ذلك وآباؤهم يعلمون السرّ في عبادتها. ثمّ ننظر إلى ردِّ آبائهم الأولين فقالوا: {أَغْوَيْنَاهُمْ كَمَا غَوَيْنَا}، ويقصدون بذلك بأنّهم أغووا الأمم الذين من بعدهم بسبب عبادتهم لعباد الله المُقَرَّبين ليقرّبوهم إلى الله زُلفًا ومن ثمّ زيّل الله بينهم وبين عباده المقربين فرأوهم وعرفوهم كما كانوا يعرفونهم في الحياة الدُّنيا من الذين كانوا يُغالون فيهم من بعد موتهم، وقال تعالى: {وَإِذَا رَأَى الَّذِينَ أَشْرَكُوا شُرَكَاءَهُمْ قَالُوا رَبَّنَا هَـٰؤُلَاءِ شُرَكَاؤُنَا الَّذِينَ كُنَّا نَدْعُو مِن دُونِكَ ۖ فَأَلْقَوْا إِلَيْهِمُ الْقَوْلَ إِنَّكُمْ لَكَاذِبُونَ ﴿٨٦﴾} صدق الله العظيم [النحل]. وإنّما أزال الله الحجاب الذي يحول بينهم وبين رؤيتهم لبعضهم بعضًا فأراهم إيّاهم، ولذلك قال تعالى: {وَإِذَا رَأَى الَّذِينَ أَشْرَكُوا شُرَكَاءَهُمْ قَالُوا رَبَّنَا هَـٰؤُلَاءِ شُرَكَاؤُنَا الَّذِينَ كُنَّا نَدْعُو مِن دُونِكَ ۖ فَأَلْقَوْا إِلَيْهِمُ الْقَوْلَ إِنَّكُمْ لَكَاذِبُونَ ﴿٨٦﴾}، وذلك هو التزييل المقصود في الآية، وقال الله تعالى: {وَيَوْمَ نَحْشُرُهُمْ جَمِيعًا ثُمَّ نَقُولُ لِلَّذِينَ أَشْرَكُوا مَكَانَكُمْ أَنتُمْ وَشُرَكَاؤُكُمْ ۚ فَزَيَّلْنَا بَيْنَهُمْ ۖ وَقَالَ شُرَكَاؤُهُم مَّا كُنتُمْ إِيَّانَا تَعْبُدُونَ ﴿٢٨﴾} صدق الله العظيم [يونس]. ومن ثمّ قال عباد الله المقربون: {تَبَرَّأْنَا إِلَيْكَ ۖ مَا كَانُوا إِيَّانَا يَعْبُدُونَ} صدق الله العظيم [القصص:63]، وهذا هو التأويل الحقّ لقوله تعالى: {وَيَوْمَ يُنَادِيهِمْ فَيَقُولُ أَيْنَ شُرَكَائِيَ الَّذِينَ كُنتُمْ تَزْعُمُونَ ﴿٦٢﴾ قَالَ الَّذِينَ حَقَّ عَلَيْهِمُ الْقَوْلُ رَبَّنَا هَـٰؤُلَاءِ الَّذِينَ أَغْوَيْنَا أَغْوَيْنَاهُمْ كَمَا غَوَيْنَا ۖ تَبَرَّأْنَا إِلَيْكَ ۖ مَا كَانُوا إِيَّانَا يَعْبُدُونَ ﴿٦٣﴾} صدق الله العظيم.

إذًا يا معشر المسلمين، قد كفر عبادُ الله المقرّبين بعبادة الذين يعبدونهم من دون الله كما رأيتم في سياق الآيات وكانوا عليهم ضدًا، تصديقًا لقوله تعالى: {وَاتَّخَذُوا مِن دُونِ اللَّـهِ آلِهَةً لِّيَكُونُوا لَهُمْ عِزًّا ﴿٨١﴾ كَلَّا ۚ سَيَكْفُرُونَ بِعِبَادَتِهِمْ وَيَكُونُونَ عَلَيْهِمْ ضِدًّا ﴿٨٢﴾} صدق الله العظيم [مريم].

إذًا يا معشر الشيعة من الذين يدعون أئمة أهل البيت أن يشفعوا لهم فقد أشركتم بالله أنتم وجميع الذين يدعون عبادَ الله المُقَرَّبين ليشفعوا لهم من جميع المذاهب، وإنّما هم عبادٌ لله أمثالكم، وقال الله تعالى: {قُلِ ادْعُوا الَّذِينَ زَعَمْتُم مِّن دُونِهِ فَلَا يَمْلِكُونَ كَشْفَ الضُّرِّ عَنكُمْ وَلَا تَحْوِيلًا ﴿٥٦﴾ أُولَـٰئِكَ الَّذِينَ يَدْعُونَ يَبْتَغُونَ إِلَىٰ رَبِّهِمُ الْوَسِيلَةَ أَيُّهُمْ أَقْرَبُ وَيَرْجُونَ رَحْمَتَهُ وَيَخَافُونَ عَذَابَهُ ۚ إِنَّ عَذَابَ رَبِّكَ كَانَ مَحْذُورًا ﴿٥٧﴾} صدق الله العظيم [الإسراء].

وهذا بالنسبة للمؤمنين المشركين بالله عبادَه المقربين، ولكنّه يوجد هناك أقوامٌ يعبدون الشياطين من دون الله؛ بل ويظهر لهم الشياطين ويقولون بأنّهم ملائكة الله المقربين فيخرّون لهم ساجدين حتى إذا سألهم: ما كنتم تعبدون من دون الله؟ فقالوا: الملائكةَ المقرّبين. ومن ثمّ سأل ملائكتَه المقربين: هل يعبدونكم هؤلاء؟ وقال الله تعالى: {وَيَوْمَ يَحْشُرُهُمْ جَمِيعًا ثُمَّ يَقُولُ لِلْمَلَائِكَةِ أَهَـٰؤُلَاءِ إِيَّاكُمْ كَانُوا يَعْبُدُونَ ﴿٤٠﴾ قَالُوا سُبْحَانَكَ أَنتَ وَلِيُّنَا مِن دُونِهِم ۖ بَلْ كَانُوا يَعْبُدُونَ الْجِنَّ ۖ أَكْثَرُهُم بِهِم مُّؤْمِنُونَ ﴿٤١﴾} صدق الله العظيم [سبأ]. وهؤلاء من الذين تصدّهم الشياطين عن السبيل ويحسبون أنّهم مهتدون، وكُلّ هذه الفرق ضالّة عن الطريق الحقّ ويحسبون بأنّهم مهتدون، ويُطلَق عليهم الضالين عن الطريق الحقّ وهم لا يعلمون بأنّهم على ضلالٍ مبينٍ؛ بل ضلّ سعيهم في الحياة الدنيا وهم يحسبون بأنّهم يُحسنون صُنعًا.

وأما فرقةٌ أخرى فليسوا ضالّين عن الطريق وبصَرهم فيها حديد، ولكنّهم إن يروا سبيل الحقّ لا يتّخذونه سبيلًا لأنّهم يعلمون بأنّه سبيل الحقّ، وإن يروا سبيل الغيّ يتّخذونه سبيلًا وهم يعلمون بأنّه سبيل الباطل، أولئك شياطين البشر، أولئك ليسوا الضالين؛ بل هم المغضوب عليهم باءوا بغضبٍ على غضبٍ، كيف وهم يعلمون سبيل الحقّ فلا يتّخذونه سبيلًا وإن يروا سبيل الغيّ يتخذونه سبيلًا؟! كيف وهم يعرفون بأنّ محمدًا رسول الله حقٌّ كما يعرفون أبناءهم ثمّ يصدّون عن دعوة الحقّ صدودًا؟! أولئك هم أشدُّ على الرحمن عتيًّا، أولئك هم أولى بنار جهنم صليًّا، ويحاربون الله وأوليائه وهم يعلمون أنّه الحقّ فيكيدون لأوليائه كيدًا عظيمًا، ويعبدون الطاغوت من دون الله وهم يعلمون أنّه الشيطان الرجيم عدوّ الله وعدّو مَن والاه لذلك اتّخذوا الشياطين أولياء من دون الله وغَيَّروا خلق الله، ويجامعون إناث الشياطين لتغيير خلق الله، فاستكثروا مِن ذُريّات بني البشر عالَم الجنّ الشياطين، وقال الله تعالى: {وَيَوْمَ يَحْشُرُهُمْ جَمِيعًا يَا مَعْشَرَ الْجِنِّ قَدِ اسْتَكْثَرْتُم مِّنَ الْإِنسِ ۖ وَقَالَ أَوْلِيَاؤُهُم مِّنَ الْإِنسِ رَبَّنَا اسْتَمْتَعَ بَعْضُنَا بِبَعْضٍ وَبَلَغْنَا أَجَلَنَا الَّذِي أَجَّلْتَ لَنَا ۚ قَالَ النَّارُ مَثْوَاكُمْ خَالِدِينَ فِيهَا إِلَّا مَا شَاءَ اللَّـهُ ۗ إِنَّ رَبَّكَ حَكِيمٌ عَلِيمٌ ﴿١٢٨﴾} صدق الله العظيم [الأنعام].

أولئك لا يدخلون النّار بالحساب؛ بمعنى أنّهم لا يؤخَّرون إلى يوم القيامة بل يدخلون في النّار مباشرةً من بعد موتهم، أولئك شياطين البشر في كلّ زمانٍ ومكانٍ يدخلون النّار من بعد موتهم مباشرةً، وعكسهم عباد الله المُقَرَّبون لا يدخلون الجنة بحسابٍ؛ بمعنى أنهم لا يُؤخَّرون إلى يوم القيامة لمحاسبتهم بل يدخلون الجنّة فور موتهم ويَمكُثون في الجنة ما دامت السماوات والأرض، وكذلك شياطين البشر يمكُثون في النّار ما دامت السماوات والأرض، وأما أصحاب اليمين فيُؤخَّر دخولهم الجنّة إلى يوم البعث والحساب؛ بمعنى أنّهم يتأخرون عن دخول الجنّة إلى يوم القيامة فيدخلون الجنة بحساب ويرزقون فيها بغير حساب، وكذلك الضالّون يُؤخَّر دخولهم النّار إلى يوم القيامة فيدخلون النّار بحساب ويأكلون من شجرة الزَقُّوم بغير حساب؛ طعام الأثيم كالمُهل يغلي في البطون كغلي الحَميم. ومعنى القول بحساب أي: يُحاسَبون حتى يتبيّن لهم بأنّ الله ما ظلمهم شيئًا بل أنفسهم كانوا يظلمون، أما شياطين البشر فهم يعلمون وهم في الحياة الدنيا بأنّهم على ضلالٍ مبينٍ أولئك يدخلون النّار مرتين المرة الأولى من بعد موتهم في الحياة البرزخيَّة والأخرى يوم يقوم الناس لله ربّ العالمين.

ويا معشر المسلمين، تعالوا لأبيّن لكم الفَرْقُ بين أصحاب اليمين والمُقَرَّبين، والفارق هو بين الدرجات، وأن الفرق هو بين عمل الفرض وعمل النافلة تقرُّبًا إلى الله، فإنَّ الفَرق بينهما ستمائة وتُسعون درجة، ولا ينال محبَّة الله أصحاب اليمين بل ينالون رضوانه؛ بمعنى أنّه ليس غاضِبًا عليهم بل راضٍ عنهم، وذلك لأنّهم أدّوا ما فرضه الله عليهم، ولكنّهم لم يقربوا الأعمال التي جعلها الله طوعًا وليس فرضًا؛ بل إن شاءوا أن يتقرّبوا بها إلى ربّهم ولكنهم لم يفعلوها بل أدّوا صدقة فرض الزكاة ولم يقربوا صدقات النافلة.

ولكنّ الفرق عظيم في الميزان يا معشر المؤمنين، فتعالوا ننظُر الفَرق: فأما المُقَرَّبون فأدّوا صدقة الفرض فكُتبت لهم كحسنات أصحاب اليمين عشرة أمثالها، ومن ثمّ عمدوا إلى صدقات النافلة فأنفقوا في سبيل الله ابتغاء مرضاة الله وقربةً إليه تثبيتًا مِن أنفسهم ولم يكن عليهم فرضُ أمرٍ جبريٍّ كفرض الزكاة بل من أنفسهم، وكان الله أكرم منهم فجعل الفرق بين درجة الفرض ودرجة النافلة ستمائة وتُسعون درجة، وأحبَّهم وقرَّبهم. وقال الله تعالى: {مَن جَاءَ بِالْحَسَنَةِ فَلَهُ عَشْرُ أَمْثَالِهَا} [الأنعام:160].

وتلك هي حسنة الفرض والأمر الجبريّ، ولا تُقْبَل النافلة إلا بعد إتيان العمل الجبريّ ومن ثمّ الأعمال الطوعيّة، وذكر الله الفرق بينهما بنصّ القرآن العظيم بأنّ الحسنة الجبريّة هي في الميزان بعشرة أمثالها وأما الحسنة الطوعيّة قربةً إلى الله فهي بسبعمائة حسنة، وبَيَّن الفرق بينهما أنّه ستمائة وتُسعون درجة، وكذلك يُضاعف الله فوق ذلك لمن يشاء فلم يحصر كرمه سبحانه.

ولكن توجد هُناك حسنة وسيئة قد جعلهم الله سواءً في الميزان في الأجر أو الوزر وهي قتل نفسٍ بغير نفسٍ أو فسادٍ في الأرض فكأنّما قتل الناس جميعًا، وكذلك من أحياها وعفا أو دفع ديّة مُغرية لأولياء الدم حتى عفوا فكأنّما أحيا الناس جميعًا.

فتوبوا إلى الله جميعًا أيها المؤمنون لعلكم تفلحون، ولينظر أحدُكم هل هو مِن المُقَرَّبين أو من أصحاب اليمين أو من أصحاب الجحيم؟ فهل يعلم بحقيقة عمل الإنسان ونيّته غير الإنسان وخالق الإنسان؟ فانظروا إلى قلوبكم تعلمون هل أدّيتُم ما أمركم الله به أم لا؟ وإذا أدَّيتُموه انظروا هل عملكم خالصٌ لوجه الله أم لكم غاية أخرى ( رياء الناس أو حاجة دنيوية في أنفسكم )؟ فأنتم تعلمون ما في أنفسكم وكذلك ربّكم، فانظروا إلى نوايا أعمالكم وسوف تعلمون هل أنتم من المُقَرَّبين أم مِن أصحاب اليمين أم مِن أصحاب الشِّمال، وذلك تصديقًا لقول الله تعالى: {يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اتَّقُوا اللَّـهَ وَلْتَنظُرْ نَفْسٌ مَّا قَدَّمَتْ لِغَدٍ ۖ وَاتَّقُوا اللَّـهَ ۚ إِنَّ اللَّـهَ خَبِيرٌ بِمَا تَعْمَلُونَ ﴿١٨﴾} صدق الله العظيم [الحشر].

أخو المسلمين خليفة الله على البشر الإمام الثاني عشر من أهل البيت المُطهَّر؛ اليماني المُنتَظَر الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
_____________
اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..