Ndugu Mkarimu Sio Mauti Kwa Wamerika Wala Sio Mauti Kwa Mayahudi
أخي الكريم ليس الموت لكل الأمريكين وليس الموت لكُل اليهود

-4-
الإمام ناصر محمد اليماني
31 - 12 - 2009 مـ
09:22 مساءً
https://mahdialumma.com/showthread.php?p=4237
ـــــــــــــــــــ
Ndugu Mkarimu Sio Mauti Kwa Wamerika Wala Sio Mauti Kwa Mayahudi

Asili Katika Kushiriki Imeandikwa Kwa Njia:
Nukulu: Asili La Shirikisho Limiandikwa Na Azran: Allah Akbar, Mauti Juu Ya Amerika, Mauti Juu Ya Israil, Lana Juu Ya Mayahudi.. Sisi Ma Answar, Hi Ndio Alama Yenu, Na Barua Kwa Ndugu Jamrut Bado Niko Kwa Suali Langu Vipi Bat'haa?

Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabilalamin..

Ndugu Mkarimu Allah Akubariki ikiwa Ni Katika Anssar Allah Na Umekuja Nasseran Mnusura Wa Ulinganizi Wa Khalifa Wa Allah Al'Madhi Al'Muntadhar Basi Ujuwe Kwamba Al'Imam Al'Mahdi Al'Muntadhar Anawalingania Binadamu Wote Kwa Amani Ya Ulimwengu Baina Ya Mataifa Yote Ya Watu Waishi Kwenye Amani Mwislamu Wao Na Kafiri Wao Na Hakuna Uwadui Ila Juu Ya Madhalimu Wale Ambao Wanapigana Na Waislamu, Na Wala Hakutuamuru Allah Kupigana Na Makafiri Wale Hawajapigana Na Sisi Na Wala Hawajutufanyia Uwaduwi, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَقَاتِلُوا فِي سَبِيلِ اللَّهِ الَّذِينَ يُقَاتِلُونَكُمْ وَلا تَعْتَدُوا إِنَّ اللَّهَ لا يحبّ الْمُعْتَدِينَ} صدق الله العظيم [البقرة:190]
Allah Ta3ala Asema:
{Na Mupigane Katika Njia Ya Allah Wale Ambao Wanapigana Na Nyinyi Na Wala Musifanye Uwaduwi Hakika Allah Hapendi Wanao Fanya Uwaduwi} Sadaqa Allah Al3adhim

Na Kwajili Ya Hivo Sisi Hatupigani Na Wamerika Wale Ambao Hawajapigana Na Sisi Katika Dini Yetu Na Wala Hawakutyfanyia Uwadui, Bali Piganeni Na Wale Walio Pigana Na Nyinyi Kati Yao Peke, Na Haja Halalisha Allah Kwenu Kwamba Mukimpata Mwamerika Ama Myahudi Hajawapiga Vita Katika Dini Yenu Kua Mumuwe Kwa Huja Kua Yeye Ni Mwamerika, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

{وَلَا تَزِرُ وَازِرَةٌ وِزْرَ أُخْرَى} صدق الله العظيم [الأنعام:164]
Allah Ta3ala Asema:{Na habebi mwenye kubeba mzigo wa mwenziwe} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanaam:164]

Na Je Amehalalisha Allah Kwenu Enyi Ma3ashara Ya Waislamu Kwamba Mu'uwe Mwana Wa Alio'Uwa Na Yeye Ni Mtoto Wake?
Amesema Allah Ta3ala:
{وَلاَ تَقْتُلُواْ النَّفْسَ الَّتِي حَرَّمَ اللّهُ إِلاَّ بِالحقّ وَمَن قُتِلَ مَظْلُومًا فَقَدْ جَعَلْنَا لِوَلِيِّهِ سُلْطَانًا فَلاَ يُسْرِف فِّي الْقَتْلِ إِنَّهُ كَانَ مَنْصُورًا} صدق الله العظيم [الإسراء:33]
Allah Ta3ala Asema:{Wala msiuwe nafsi ambayo Mwenyezi Mungu amekataza isipo kuwa kwa haki. Na aliye uliwa kwa kudhulumiwa basi tumempa madaraka mrithi wake. Lakini asipite mpaka katika kuuwa. Kwani yeye anasaidiwa} Sadaqa Allah Al3adhim [Alisra:33].

Maana Allah Ameharamisha Juu Yenu Ku'uwa Mtoto Wa Alie Uwa Mumchukuwe Kwa Dhambi Ya Babake Lakini Hivo Ni dhulma Imeharamishwa Katika Muhakam Iliowazi Kitabu Cha Allah Al'Quran Al3adhim, Lakini Vipi Atahalaisha Allah Kwenu Ku'uwa Mwamerika Ama Myahudi Kwa Hoja Yeye Ni Mwamerika Ama Ni Myahudi Na Yeye Hajawapiga Vita Kwa Dini Yenu Hivi Hamumchi Allah? Lakini Muna Jambo Gani Munachafua Dini Ya Allah Al'islam Basi Munachukiza Watu Na Dini Ya Kislamu Kwa Kudhania Kwao Kwamba Imewamirisha Kwa Hayo Dini Yenu? Bali Mumemzilia Allah Na Wala Hakuwamirisha Katika Dini Yenu Ku'Uwa Watu Na Kumwaga Damu Zao Na Wala Hakuwapa Idhini Allah Kuw'Uwa Ispokua Wale Wanawapiga Vita Kwa Dini Yenu Peke, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{أُذِنَ لِلَّذِينَ يُقَاتَلُونَ بِأَنَّهُمْ ظُلِمُوا ۚ وَإِنَّ اللَّـهَ عَلَىٰ نَصْرِ‌هِمْ لَقَدِيرٌ‌ ﴿٣٩﴾ الَّذِينَ أُخْرِ‌جُوا مِن دِيَارِ‌هِم بِغَيْرِ‌ حَقٍّ إِلَّا أَن يَقُولُوا رَ‌بُّنَا اللَّـهُ ۗ وَلَوْلَا دَفْعُ اللَّـهِ النَّاسَ بَعْضَهُم بِبَعْضٍ لَّهُدِّمَتْ صَوَامِعُ وَبِيَعٌ وَصَلَوَاتٌ وَمَسَاجِدُ يُذْكَرُ‌ فِيهَا اسْمُ اللَّـهِ كَثِيرً‌ا} صدق الله العظيم [الحج:39-40]

Allah Ta3ala Asema:{ Wameruhusiwa kupigana wale wanao pigwa vita kwa sababu wamedhulumiwa - na kwa yakini Mwenyezi Mungu ni Muweza wa kuwasaidia (39) Wale ambao wametolewa majumbani mwao pasipo haki, ila kwa kuwa wanasema: Mola wetu Mlezi ni Mwenyezi Mungu! Na lau kuwa Mwenyezi Mungu hawakingi watu kwa watu, basi hapana shaka zingeli vunjwa nymba za wat'awa, na makanisa, na masinagogi, na misikiti, ambamo ndani yake jina la Mwenyezi Mungu linatajwa kwa wingi (40)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alhaj].

Lakini Mcheni Allah Enyi Ma3ashara Wale Ambao Wanadai Kwamba Wao Wanapigana Jihad Katika Njia Ya Allah Lakini Wanauwa Nafsi Bila Ya Nafsi Na Wana'uwa Ambao Hajwapiga Vita Katika Dini Yao, Na Lakini Allah Ameharamisha Ku'uwa Nafsi Ispokua Kwa Haki Na Atakae Ku'uwa Nafsi Bila Ya Nafsi Basi Uwadui Wa Tendo Lake Katika Kitabu Ni Kama Ameuwa Watu Wote Hivi Hamumchi Allah? Lakini Mumepotea Katika Njia Ilio Nyoka; Mumechukiza Waislamu Kwa Ulimwengu, Bali Dini Ya Kislamu Ni Dini Ya Huruma Kwa Ulimwengu, Na Akamtumiliza Allah Muhammad Mtume Wa Allah- Swala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Rahma Na Neema Kwa Ulimwengu Wala Sio Bala Ili Ku'uwa Makafiri Na Kumwaga Damu Zao Hivi Hamumchi Allah? Na Atakae Ku'uwa Kafiri Kwa Hoja Ya Ukafiri Wake Basi Ni Kama Ameuwa Watu Wote Na Mwisho Wake Ni Moto Wa Jahanam Milele Ndani Yake Kabisa Na Amelaniwa Na Allah Na Ameghadhibika Juu Yake, Lakini Muna Jambo Gani Hamurudi Kwa Muhakam ilio Wazi Kitabu Cha Allah Al'Quran Al3adhim Ambao Nawalingania niwahukumu Nayo ikiwa Nyinyi Munakiamini? Hivi Hamujuwi Kwamba Allah Ametuagiza Kwamba Tuwafanyie Wema Makafiri Na Uwadilifu Na Tuwatende Matendo Mazuri Katika Dini? Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ لا يَنْهَاكُمُ اللَّهُ عَنِ الَّذِينَ لَمْ يُقَاتِلُوكُمْ فِي الدّين وَلَمْ يُخْرِجُوكُمْ مِنْ دِيَارِكُمْ أَنْ تَبَرُّوهُمْ وَتُقْسِطُوا إِلَيْهِمْ إِنَّ اللَّهَ يحبّ الْمُقْسِطِينَ} صدق الله العظيم [الممتحنة:8]
Allah Ta3ala Asema:
{Hakuwakataza Allah Kwa Wale Hawakuwapiga Vita Katika Dini Na Wala Hawakuwatoweni Kwa Nyumba zenu Kwamba Muwafanyie Wema Na Muwafanyie Uwadilifu Hakika Allah Anapenda Wanao Fanya Uwadilifu} Sadaqa Allah Al3adhim [Almumtahana:8].

Lakini Nyinyi Kwa Kitabu Cha Allah Al'Quran Al3adhim Munakanusha, Na Wewe Sio Katika Ma Answari Wangu Mpaka Ufwate Haki Kutoka Kwa Mola Mlezi Wako Katika Muhakam Ilio Wazi Al'Quran Al3adhim.

Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabilalamin..
Ndugu Wa Ma Answar Al'Sabiqin Al'Akhyar Rahma Kwa Ulimwengu Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
ــــــــــــــــــــ