Kutoka Kwa Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Mwenye ilimu ya Kitabu Kwa Raisi Wa Wamerika Dunald Taramp, Ukweli sisemi juu Ya Allah ila ni Haki ..


الإمام ناصر محمد اليماني
23 - ذو الحجّة - 1438 هـ
14 – 09 – 2017 مـ
08:30 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
( Kulingana na kalenda rasmi ya mama wa miji)
___________________

Kutoka Kwa Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Mwenye ilimu ya Kitabu Kwa Raisi Wa Wamerika Dunald Taramp, Ukweli sisemi juu Ya Allah ila ni Haki ..


Bismi Al'Na3im Al'A3dham Kuliko Na3im Ya Bustani Ya Na3im Hio kwenu Ni Ridhwan Allah juu ya waja Wake ambao nyinyi munaiichukia enyi ma3ashara ya ma'shetani watu enyi ambao mumeichukia Kitabu Cha Allah Al'Quran Al3adhim Na Mumechukia yale Alio teremsha Allah Ndani yake kutokana na haki lakini nyinyi kwa haki munachukia na munataka kwamba muzime nur ya Allah kwa Ulimwengu hio kwenu Al'Quran Al3adhim pamoja yakua nyinyi munaiamini, Na nyinyi kwa hayo ni katika mashahidi ..

Ewe Ambae ni raisi wa amerika Donlad Tramp, Hakika umepata ghadhabu za Allah Kwa Kitabu Chake Al'Quran Al3adhim kwa sababu ya mamuzi yako na azimio lako juu ya kupiga vita Kitabu chake Al'Quran Al3adhim, Na unataka kuzima nur ya Allah ambayo Ameiteremsha rahma kwa Ulimwengu Al'Quran Al3adhim nur ya Allah kwa watu wote, Na wewe kwa hayo ni katika ma shahidi ewe ambae ni raisi wa amerika Donald Tramp Kwakua wewe sio katika walio potea bali ni katika walio ghadhibiwa juu yao, Na nakupa bishara wewe na ma wali wako walio pindikua ndani inje kwa adhabu Adhimu Kuu Na namtaradhilia Allah awaipushe ma wali wako wenye hucha kutokana na shari la Tramp; Bali nakubashiri na mawali wako wale kama wewe katika mashetani watu wale ambao wamechukia Ridhwani ya Allah akangusha Amali yao, Basi sikiza ntakacho sema ewe ambae ni raisi wa amerika mwenye asili ya kiyahudi yale ntakao sema na naitukuza kwa kiapo Qasam kwa Allah Al3adhim Mwenye Kuhuisha Mifupa;

Hakika Yale Yalio Wapata Kutokana Na Vimbunga Za Kibahari Ambao ni masjur lakini hio ni kwajili wingi wa Ghadhabu ya Allah juu yenu na kukanusha kwenu kutosadiki Al'Mahdi Al'Muntadhar katika zama za Mazungumzo kabla kudhihiri, na hatowagusa Allah kwa aya Katika ma aya za adhabu zinazo fwatana ispokua ni kubwa kuliko mwenzake basi kuweni kwa hayo ni katika mashahidi mpaka ikija amri ya Allah zibaki shingo zenu kwaKhalifa Wa Allah Zinanyenyekea Ndio Mutoe Shahada Ana La illah Ila Allah Muhammad Rasul Allah Alafu zinyenyeke shingo zenu kumt'ii Allah na Khalifa Wake Katika Ardhi Na Mja Wake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Na Mtangaze Toba Na Mustaghfiru Allah Mola Mlezi wangu Na Mola Mlezi wenu, Na Mukikata basi nawabashiria kwa adhabu ya Allah ambayo ni kubwa zaidi Saa Tisa sawa sawa timamu Katika Siku Moja Usiku ama mchana na asaa huwenda ikawa ni karibu, Basi kimbieni kutoka kwa Allah kwenda kwake, Na mumabudu Yeye pekeyake hana mshirika nae, Na musiseme hakika Allah ni watatu, Wacheni hivo bora kwenu enyi ma3ashara ya manaswara; Bali Mungu Moja Ametukuka kwa yale wanao mshirikisha nayo, Na sisi kwake tuna'abudu hatutafautishi baina ya yoyote katika mitume wake, Na sisi kwake Waislamu, Ewe Allahuma nimebalighisha Allahuma Shuhudia, Na mukikanusha basi subirini hakika mimi pamoja na nyinyi ni katika wanaongoja, Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdu Lillah Rabilalamin..


Khalifa Wa Allah Na Mja Wake Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
____________

Kifurushi Cha Bayana
https://mahdialumma.com/showthread.php?p=269599