Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ
27 - شعبان - 1443 هـ
30 - 03 - 2022 مـ
10:33 صباحًا
(Kulingana Na Taqwimu Rasmi Ya Umul Qura)
(بحسب التّقويم الرسمي لأمّ القرى)

[ لمتابعة رابط المشاركة الأصلية للبيان ]
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=376408
______________



ردودٌ للسّائلين مُختَصرةٌ مِن مُحكَم التَّذكِرة..
Majibu mafupi kwa waulizaji kutoka kwa muhkam Ilio wazi maana yake Ukumbusho..



Bismillah Arahman Arahim Na Swala na Salam Ju Ya Muhammad Mtumi Wa Allah Swala Allahu Aleyhi Na walio mfwata Katika walimwengu katika kila zama na pahala Mpaka Siku Ya Dini; Kisha Ama Baada..

Na ewe Qamar Bani Hashim Kuwa na fikira pana; Swali lako kuhusu kauli ya Allah Ta3ala:
{وَمَا مُحَمَّدٌ إِلَّا رَسُولٌ قَدْ خَلَتْ مِن قَبْلِهِ الرُّسُلُ ۚ أَفَإِن مَّاتَ أَوْ قُتِلَ انقَلَبْتُمْ عَلَىٰ أَعْقَابِكُمْ ۚ وَمَن يَنقَلِبْ عَلَىٰ عَقِبَيْهِ فَلَن يَضُرَّ اللَّهَ شَيْئًا ۗ وَسَيَجْزِي اللَّهُ الشَّاكِرِينَ ‎﴿١٤٤﴾‏ وَمَا كَانَ لِنَفْسٍ أَن تَمُوتَ إِلَّا بِإِذْنِ اللَّهِ كِتَابًا مُّؤَجَّلًا ۗ وَمَن يُرِدْ ثَوَابَ الدُّنْيَا نُؤْتِهِ مِنْهَا وَمَن يُرِدْ ثَوَابَ الْآخِرَةِ نُؤْتِهِ مِنْهَا ۚ وَسَنَجْزِي الشَّاكِرِينَ ‎﴿١٤٥﴾‏ وَكَأَيِّن مِّن نَّبِيٍّ قَاتَلَ مَعَهُ رِبِّيُّونَ كَثِيرٌ فَمَا وَهَنُوا لِمَا أَصَابَهُمْ فِي سَبِيلِ اللَّهِ وَمَا ضَعُفُوا وَمَا اسْتَكَانُوا ۗ وَاللَّهُ يُحِبُّ الصَّابِرِينَ ‎﴿١٤٦﴾‏ وَمَا كَانَ قَوْلَهُمْ إِلَّا أَن قَالُوا رَبَّنَا اغْفِرْ لَنَا ذُنُوبَنَا وَإِسْرَافَنَا فِي أَمْرِنَا وَثَبِّتْ أَقْدَامَنَا وَانصُرْنَا عَلَى الْقَوْمِ الْكَافِرِينَ ‎﴿١٤٧﴾‏ فَآتَاهُمُ اللَّهُ ثَوَابَ الدُّنْيَا وَحُسْنَ ثَوَابِ الْآخِرَةِ ۗ وَاللَّهُ يُحِبُّ الْمُحْسِنِينَ ‎﴿١٤٨﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Sura:Alimran].

Swali lako lilikuwa ni: Kwa nini kulikuwa na uwezekano kwamba Muhammad, Mtume wa Allah angeuawa licha ya Mungu kumuahidi ulinzi dhidi ya watu? Lakini umesahau kwamba hotuba hiyo si makhsusi kwa Muhammad, Mtume wa Mwenyezi Mungu - swala na salamu za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake na aali zake - bali ni fatwa inayojumuisha walinganiaji wote kwa Mwenyezi Mungu kwa ujumla; sawa ni Mitume wa Kitabu au Manabii ambao Mwenyezi Mungu amewapa hukumu ya Kitabu. Au maimamu wateule wa Kitabu na ma Khalifa wa Mwenyezi Mungu wote, walinganiaji kwa Mwenyezi Mungu kwa utambuzi kutoka kwa Mola wao Mlezi.
(أَفَإِن مَّاتَوا أَوْ قُتِلَوا انقَلَبْتُمْ عَلَىٰ أَعْقَابِكُمْ)؟
Eee Subhana Allah! Ndio maana akasema Mitume wamepita kabla yake kwa ujumla; Watu wenye mwito moja kwa pamoja; Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَمَا أَرْسَلْنَا مِن قَبْلِكَ مِن رَّسُولٍ إِلَّا نُوحِي إِلَيْهِ أَنَّهُ لَا إِلَٰهَ إِلَّا أَنَا فَاعْبُدُونِ ‎﴿٢٥﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Sura:Al-Anmbia].

Na Ewe dada muulizaji, unajua ikiwa Mwenyezi Mungu ametaja mauti tu na wala hakutaja kuua?
Kwa hiyo, fatwa ya uasi ingekua kwa wafuasi kuacha kuwafuata waliouawa miongoni mwa wahubiri kumwabudu Mungu peke yake Subhanahu Wa Ta3ala 3uluwan Kabiran; Bali, itakuwa ni kisingizio kwa Shetani kulipinga neno la tauhidi, kwamba linakufa mara tu yule anayelihubiri anapouawa. Ya Subhana Allah Al’3adhim! Hakika Mitume na Maimamu wa Kitabu wanalingania neno moja baina ya waja wote wa Mwenyezi Mungu; Hayo ndiyo maneno mazito katika wahyi madhubuti: “Hapana mungu ila Mwenyezi Mungu peke yake, hana mshirika katika ibada, kama vile hana mshirika katika kuwaumba waja wake” Ili kufikia hekima ya uumbaji wao Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَمَا خَلَقْتُ الْجِنَّ وَالْإِنسَ إِلَّا لِيَعْبُدُونِ ‎﴿٥٦﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Sura:Al-Dhariyat].

Ewe dada Qamar Bani Hashim, ulizingatia nukta moja katika Aya na ukasahau maudhui yake makubwa kwamba Mwenyezi Mungu yu hai na hafi, na mwito wa kumwabudu Mwenyezi Mungu peke yake haufi kwa sababu ya kuuwawa au kufa Wanaomlingania yeye kwake Subhanahu. Havina uhusiano na ibada ya Mwenyezi Mungu, iwe Mitume, Manabi, Maimamu wa Kitabu, watu wema wote, au makafiri wote. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَمَا جَعَلْنَا لِبَشَرٍ مِّن قَبْلِكَ الْخُلْدَ ۖ أَفَإِن مِّتَّ فَهُمُ الْخَالِدُونَ ‎﴿٣٤﴾‏ كُلُّ نَفْسٍ ذَائِقَةُ الْمَوْتِ ۗ وَنَبْلُوكُم بِالشَّرِّ وَالْخَيْرِ فِتْنَةً ۖ وَإِلَيْنَا تُرْجَعُونَ ‎﴿٣٥﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim:[Sura:Al-Anmbia].

Je dada mkarimu Wazo hilo lilikufikia akilini?Kwakua Yeye, Utukufu ni Wake, anakusudia walinganiaji katika kumuabudu Mwenyezi Mungu kwa kuzingatia maarifa kutoka kwa Mwenyezi Mungu, basi ibada ya Mwenyezi Mungu haifi kwa kifo cha walinganiaji kwa Mwenyezi Mungu, kwa sababu hawana uhusiano wowote na ibada. ya Mwenyezi Mungu, kwa sababu wao si washirika wake katika ibada Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{مَا كَانَ لِبَشَرٍ أَن يُؤْتِيَهُ اللَّهُ الْكِتَابَ وَالْحُكْمَ وَالنُّبُوَّةَ ثُمَّ يَقُولَ لِلنَّاسِ كُونُوا عِبَادًا لِّي مِن دُونِ اللَّهِ وَلَٰكِن كُونُوا رَبَّانِيِّينَ بِمَا كُنتُمْ تُعَلِّمُونَ الْكِتَابَ وَبِمَا كُنتُمْ تَدْرُسُونَ ‎﴿٧٩﴾‏ وَلَا يَأْمُرَكُمْ أَن تَتَّخِذُوا الْمَلَائِكَةَ وَالنَّبِيِّينَ أَرْبَابًا ۗ أَيَأْمُرُكُم بِالْكُفْرِ بَعْدَ إِذْ أَنتُم مُّسْلِمُونَ ‎﴿٨٠﴾‏}
Sadaqa Allah Al3adhim:[Sura:Al-Imran].

Na ewe mhandisi Maher, naona unavutiwa kujigamba na akili yako, ingawa huelewi ispokua kidogo tu - kwa heshima yote kwa utu wako mtukufu -
Na ewe mwanamume choma maktaba uliyo nayo, kwani imekupoteza kutoka kwenye njia iliosawa, Na Nifuate, nami nitakuongoza kwenye njia iliyonyooka.
Basi kwa nini akili yako yenye akili haikukataa kwamba sura ya kwanza iliteremshwa katika Al’Quran Al3adhim ?
{بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَـٰنِ ٱلرَّحِیمِ {اقْرَأْ بِاسْمِ رَبِّكَ الَّذِي خَلَقَ ‎﴿١﴾‏ خَلَقَ الْإِنسَانَ مِنْ عَلَقٍ ‎﴿٢﴾‏ اقْرَأْ وَرَبُّكَ الْأَكْرَمُ ‎﴿٣﴾‏ الَّذِي عَلَّمَ بِالْقَلَمِ ‎﴿٤﴾‏ عَلَّمَ الْإِنسَانَ مَا لَمْ يَعْلَمْ ‎﴿٥﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim:[Sura:alaq].

Hili halimhusu Muhammad, Mtume wa Mwenyezi Mungu, kuhutubia; Bali inamhusu mwenye ilimu ya Kitabu (“Alinsan” Mtu ambaye Mungu alifundisha bayana kwa Al’Qura) Kwa sababu Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, Jibril, hakuteremsha kitabu kwenye karatasi kwa Muhammad, Mtume wa Mwenyezi Mungu, ili aweze kumwambia asome.
Lakini Mwenyezi Mungu anajua kwamba Mtume wake alikuwa ummii hajui kusoma wala kuandika.
Kwa sababu ya kutojua Kwake kusoma na kuandika, Watu wa Kitabu wakawa na yakini juu ya kutumwa kwa Muhammad, Mtume wa Mwenyezi Mungu Swala Allahu Aleyhi na aali zake; Bali, ni kubwa zaidi kuliko uhakika wake wa unabii wake alipo anzia, na kwa sababu hiyo Amesema Allah Ta3ala:
{فَإِن كُنتَ فِي شَكٍّ مِّمَّا أَنزَلْنَا إِلَيْكَ فَاسْأَلِ الَّذِينَ يَقْرَءُونَ الْكِتَابَ مِن قَبْلِكَ ۚ لَقَدْ جَاءَكَ الْحَقُّ مِن رَّبِّكَ فَلَا تَكُونَنَّ مِنَ الْمُمْتَرِينَ ‎﴿٩٤﴾‏ وَلَا تَكُونَنَّ مِنَ الَّذِينَ كَذَّبُوا بِآيَاتِ اللَّهِ فَتَكُونَ مِنَ الْخَاسِرِينَ ‎﴿٩٥﴾‏ إِنَّ الَّذِينَ حَقَّتْ عَلَيْهِمْ كَلِمَتُ رَبِّكَ لَا يُؤْمِنُونَ ‎﴿٩٦﴾‏ وَلَوْ جَاءَتْهُمْ كُلُّ آيَةٍ حَتَّىٰ يَرَوُا الْعَذَابَ الْأَلِيمَ ‎﴿٩٧﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Sira:Yunus].

Je, unajua sababu ya uhakika wa wanachuoni wa Wana wa Israili na Wakristo? Hata hivyo, ni kwa sababu yeye ni ummii hajui kusoma wala kuandika. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{الَّذِينَ يَتَّبِعُونَ الرَّسُولَ النَّبِيَّ الْأُمِّيَّ الَّذِي يَجِدُونَهُ مَكْتُوبًا عِندَهُمْ فِي التَّوْرَاةِ وَالْإِنجِيلِ يَأْمُرُهُم بِالْمَعْرُوفِ وَيَنْهَاهُمْ عَنِ الْمُنكَرِ وَيُحِلُّ لَهُمُ الطَّيِّبَاتِ وَيُحَرِّمُ عَلَيْهِمُ الْخَبَائِثَ وَيَضَعُ عَنْهُمْ إِصْرَهُمْ وَالْأَغْلَالَ الَّتِي كَانَتْ عَلَيْهِمْ ۚ فَالَّذِينَ آمَنُوا بِهِ وَعَزَّرُوهُ وَنَصَرُوهُ وَاتَّبَعُوا النُّورَ الَّذِي أُنزِلَ مَعَهُ ۙ أُولَٰئِكَ هُمُ الْمُفْلِحُونَ ‎﴿١٥٧﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim:[Sura:Al-aaraf].

Lau agejua kusoma na kuandika, wakanushaji miongoni mwao wangetilia shaka Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَمَا كُنتَ تَتْلُو مِن قَبْلِهِ مِن كِتَابٍ وَلَا تَخُطُّهُ بِيَمِينِكَ ۖ إِذًا لَّارْتَابَ الْمُبْطِلُونَ ‎﴿٤٨﴾‏ بَلْ هُوَ آيَاتٌ بَيِّنَاتٌ فِي صُدُورِ الَّذِينَ أُوتُوا الْعِلْمَ ۚ وَمَا يَجْحَدُ بِآيَاتِنَا إِلَّا الظَّالِمُونَ ‎﴿٤٩﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Sura:Al-ankabur].

Ingawa alikuwa ummii hajui kusoma na kuandika, walipata hukumu baina yao katika yale waliyokhitalifiana; Bali hukumu ndiyo yenye kusadikisha akili zao zote, ili wajue kwamba hiyo ni Haki itokayo kwa Mola wao Mlezi. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{إِنَّ هَٰذَا الْقُرْآنَ يَقُصُّ عَلَىٰ بَنِي إِسْرَائِيلَ أَكْثَرَ الَّذِي هُمْ فِيهِ يَخْتَلِفُونَ ‎﴿٧٦﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim:[Sura:Al-namli].

Labda mtafiti, mhandisi Maher, angependa kusema: “Ewe Nasser Muhammad Al-Yamani, nimepotoshwa na shaka fulani kuhusu amri yako.
Je, hebu tueleze yale aliokufundisha Allah? Ni lazima ujue kwamba mhandisi huyo ni mjuzi, anaeleza, na ni fasaha katika ufasaha na kauli.” Kisha Khalifa wa Mwingi wa Rehema atakujibu, ambaye hawezi kumshinda mtu wala jini kutoka katika Qur’ani hata wakimkusanyikia, nami nitasema: Ninaamini Mungu kuwa hakuna kitabu kilichoteremshwa kwa Muhammad, Mtume wa Mwenyezi Mungu - swala na salamu za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake na familia yake - kwenye karatasi. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَلَوْ نَزَّلْنَا عَلَيْكَ كِتَابًا فِي قِرْطَاسٍ فَلَمَسُوهُ بِأَيْدِيهِمْ لَقَالَ الَّذِينَ كَفَرُوا إِنْ هَٰذَا إِلَّا سِحْرٌ مُّبِينٌ ‎﴿٧﴾‏ وَقَالُوا لَوْلَا أُنزِلَ عَلَيْهِ مَلَكٌ ۖ وَلَوْ أَنزَلْنَا مَلَكًا لَّقُضِيَ الْأَمْرُ ثُمَّ لَا يُنظَرُونَ ‎﴿٨﴾‏}
[Al-Anaam],
Basi Bipi atamwambia Soma?!

Bali Sura ya kwanza iliyoteremshwa kwa Muhammad, Mtume wa Mwenyezi Mungu, ilikuwa ni sura inayobeba mwito wake, ambayo kwayo anaanza hotuba yake kwa watu, ya kumuunganisha Mwenyezi Mungu, Utukufu ni Wake, juu ya yale wanayomshirikisha Naye. Wata3ala 3uluwan Kabiran,
Hii ndiyo surah inayomtambulisha Mwenyezi Mungu, ambaye anawaita watu kumwabudu, na kubainisha sifa za Mungu binafsi. Hio kwenu ni Surat alikhlas;

{قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ ‎﴿١﴾‏ اللَّهُ الصَّمَدُ ‎﴿٢﴾‏ لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ ‎﴿٣﴾‏ وَلَمْ يَكُن لَّهُ كُفُوًا أَحَدٌ ‎﴿٤﴾‏}
[Sura:Al-ikhalas].

Ulikuwa ni usiku wa katikati ya Ramadhani, baada ya Muhammad, Mtume wa Mwenyezi Mungu kula chakula cha jioni, alipanda kwenye pango juu ya kijiji cha Makka ili kutafakari ufalme wa mbingu na ardhi; Anataka Mungu amuongoze kwenye ukweli kwa sababu hashawishiki kuabudu kile alichowakuta baba zake, bali alijikuta njia panda kwa njia kadhaa. Njia ya watu wake wanaoabudu masanamu, na Mayahudi wanaosema Uzair ni mwana wa Mungu, na Wakristo wanaosema Kristo ni mwana wa Mungu. Basi Malaika na Roho na wao wakashuka, na Roho Mtakatifu – Jibril – akamtokea akiwa mtu mwenye afya njema mikononi mwa Muhammad, Mtume wa Allah na akamwendea Muhammad, Mtume Ambae ni ummii asiyejua kusoma na Kuandika; Muhammad aliinuka kwa hofu na kutaka kuchomoa upanga wake, kwa hiyo Jibril akamsogelea na kumshika mkono wa kulia wa Muhammad kwa mkono wake wa kulia ili kuuweka upanga kwenye ala yake. Na Kwa mkono wake mwingine, alishika kamisi ya Muhammad, Mjumbe wa Allah Akamwambia.”QUL” Sema” . Akasema Muhammad; “Niseme Nini” Akarudia tena na kusema: “QUL”“Sema.” Mtumi akasema: “Niseme nini?” Akasema:
"{قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ ‎﴿١﴾‏ اللَّهُ الصَّمَدُ ‎﴿٢﴾‏ لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ ‎﴿٣﴾‏ وَلَمْ يَكُن لَّهُ كُفُوًا أَحَدٌ ‎﴿٤﴾‏}"
Sadaqa Allah Al’3adhim:[Sura:Al-ikhalas].

Kisha yule mtu aliyemtokea kama binadamu wa kawaida akatoweka. Kisha Muhammad, Mjumbe wa Allah, akatetemeka na kukimbia kutoka mlimani kuelekea nyumbani kwake huko Makka. Basi akafika nyumbani na moyo wake ukitetemeka kwa hofu, akajilaza kitandani na kumwambia mkewe Bint Khuwaylid: “Nifunikeni.” Basi akamfunika kwa shuka na kumkandamiza kifuani ili kumwondolea hofu, na mkewake akasema: "Ewe Muhammad, tulia, nini kimekuogopesha? Nafsi yangu ni yako." Basi akaenda akamletea glasi ya maji mpaka uwoga ulipo muondoka, ndipo akamweleza kilichotokea na kumwambia kuwa mbele yake Kulikua na mtu amejitokeza kama mtu wakisawa sawa, Asema kua jina lake anaitwa Roho Mtakatifu, Malaika Jibrieli. Akasema: Amesema Allah Ta3ala:
{قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ ‎﴿١﴾‏ اللَّهُ الصَّمَدُ ‎﴿٢﴾‏ لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ ‎﴿٣﴾‏ وَلَمْ يَكُن لَّهُ كُفُوًا أَحَدٌ ‎﴿٤﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim.

Basi akamwomba amwambie tena habari hizo, naye akamwambia kisa kile kile, kisha akamuuliza kwa mara ya tatu na akamwambia vile vile bila hata neno moja kuwa tofauti. Kisha akamfunika kwa shuka kabisa, Nilimkuta mkewake alikwenda kwa mtu kwa sababu alimuacha chumbani kwake kwa muda kidogo peke yake, basi Jibril, rehema na amani ziwe juu yake, akaja na kuita akisema:
{يَا أَيُّهَا الْمُدَّثِّرُ ‎﴿١﴾‏ قُمْ فَأَنذِرْ ‎﴿٢﴾‏ وَرَبَّكَ فَكَبِّرْ ‎﴿٣﴾‏ وَثِيَابَكَ فَطَهِّرْ ‎﴿٤﴾‏ وَالرُّجْزَ فَاهْجُرْ ‎﴿٥﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim:[Sura:Al-mudathir].

Kisha akatoweka, na hofu ikamrudia, na mke wake aliyebarikiwa Akarudi kisha Mtumi akamwambia kwamba mtu huyo alikuja kwake tena baada ya kuondoka kwako, na akasema:
{يَا أَيُّهَا الْمُدَّثِّرُ ‎﴿١﴾‏ قُمْ فَأَنذِرْ ‎﴿٢﴾‏ وَرَبَّكَ فَكَبِّرْ ‎﴿٣﴾‏ وَثِيَابَكَ فَطَهِّرْ ‎﴿٤﴾‏ وَالرُّجْزَ فَاهْجُرْ ‎﴿٥﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim.

Akamwambia: Tulia, Mungu hatakufedhehesha. Alichukua nguo zake ili Kuzitahirisha na kumbadilisha mavazi mengine. Hali si rahisi wapendwa, kwa ajili ya Mungu, Mungu ana hekima ya ajabu sana hapo mwanzo ambayo itaandikwa kwenye kumbukumbu na hatasahau hali hiyo.

Kwa vyovyote vile, mpendwa wangu Maher, ninamshuhudia Mungu kwamba wewe si mnafiki.
Haitakiwi kwa ma Ansari waku’udhi wala wakuguse, basi wamche Mwenyezi Mungu.
Kasoro yako pekee ni kujiona una akili kubwa, kumbe unaona kupitia tundu la sindano na unadanganywa na urithi Wa vitabu ulionao.

Na ewe mwanamume, naona unabishana nami kuhusu mbu Wa damu asieo onekana anayesababisha vita vya kimataifa na kubishana nami kuhusu dalili za kuamini. Na licha ya pua yako, nasema: Aliye hai ni maiti. Basi haya njo umhuyishe Muhammad bin Salman ikiwa wewe ni mkweli. Au unataka Mungu akuweke wewe kuwa kielelezo kipya kwa wengine?! Basi kwa nini usiweke shinikizo kwenye mishipa yako mpaka atokee Muhammad bin Salman na kuzungumza na walimwengu kama walivyokuwa wamezowea - wale wanaofuata hotuba zake - Ndipoi uje uhojeane nami? Haihat Haihat mbali mbali.. Hataweza - Mwenyezi Mungu akipenda - mpaka ngamia aingie kwenye tundu ya sindano, na hilo jambo lishaamuliwa, Ewe Maher, basi mche Mwenyezi Mungu, Mmoja, Muweza wa yote. Kifo cha kliniki ni kifo cha kweli.Hakika, unaona, viongozi waovu ni wakweli kuliko Nasser Muhammad Al-Yamani! Hata hivyo ispokua mimi, ninawaahidi kwamba sitabishana nanyi kama Muhammad bin Salman ataonekana kutoa hotuba au kufanya mkutano mpya na waandishi wa habari. Haihat Haihat Mbali mbali, Badala yake, nyuso nyingi zitatoweka kutoka kwa skrini, na sioni pole kwa wewe kuniamini. Na ikiwa nitaapa, naapa kwa ukweli licha ya pua yako, Na Mwenyezi Mungu husimamisha haki, basi vipi Mwenyezi Mungu atamkheze khalifa wake, ewe Maher?! Je, wadhania nini kwa yule Mungu alikuwa nae? Unamuona atadhalilika au atakhezeka? Mungu hatamdhalilisha Imam Mahdi Nasser Muhammad Al-Yamani, kwani Mwenyezi Mungu ndiye hakimu bora.

Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Khalifa Wa Allah Na Mja wake Al’Mahdi; Nasser Muhammad Al’Yamani.
خليفة الله وعبده المهديّ؛ ناصر محمد اليماني.
____________