الموضوع: Hu Ndio Mwendo Na Mwelekeo Wa Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Kiulinganizi, Basi Muingie Enye Ma3ashara Wanao Toa Uwamuzi Na Watowaji Fatwa Katika Miji wanao pigana Katika Kila Sehemu

النتائج 1 إلى 2 من 2
  1. افتراضي Hu Ndio Mwendo Na Mwelekeo Wa Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Kiulinganizi, Basi Muingie Enye Ma3ashara Wanao Toa Uwamuzi Na Watowaji Fatwa Katika Miji wanao pigana Katika Kila Sehemu

    Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
    الإمام ناصر محمد اليماني
    28 - ربيع الأول - 1441 هـ
    25 - 11 - 2019 مـ
    ( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )

    https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=38703

    _____________


    هذه مسيرة الإمام المهدي ناصر محمد الدعوية، فادخلوا يا معشر صنّاع القرار ومفتي الديار في كلّ الأقطار المتحاربين في السلم كافةً طاعةً لأمر الله ..
    Hu Ndio Mwendo Na Mwelekeo Wa Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Kiulinganizi, Basi Muingie Enye Ma3ashara Wanao Toa Uwamuzi Na Watowaji Fatwa Katika Miji wanao pigana Katika Kila Sehemu Kwenye Uweislamu Kikamilifu Nyote Kutwii Amri Ya Allah.


    Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na sala na salam ju ya wote ma Nabi na Mitume na ju ya kila aliowafwata kwa wema mpaka siku ya Dini, Ama baada ya hapo..
    Na kila moja Allah Amefanya sehemu ya ibada kulekea, Na kwa hakika kuna nyumba ambao ilio amirika kwa watu usiku na mchana penye tahara katika ardhi hakupunguwi ndani yake dhikri na swala na tawafu kutufu usiku na mchana mzunguko wa masa shirini na inne kwakua sehmu ya kulekea kuhiji, Na hio ndio ile nyumba ya kwanza imewekwa kwa watu kwajili ya kuhiji ambao iko katikati ya makka Ambao imekirimiwa, Ameijenga Mtume Wa Allah Ibrahim Na Mtoto wake Ismail Ju Yao Sala Na Salam.


    Na Iko Sehemu ya kulekea pengine kutoka upande kusini amijenga Nabi wa Allah Ibrahim ibnu ismail ibnu Ibrahim na huyo ndie Dhul Qarneyin; Kwakua wao walipo taka kumlipa kila mwaka mpaka muda malum malipo ya kwamba aweke kizuwizi kinga baina yao na baina ya wafisadi ambao madhalimu kwenye ardhi ambao ina nafaka wanao dhulumu walimwengu wenzao madhaifu akakata Nabi Wa Allah Ibrahim ibnu Ismail yani Dhul Qarneyn yani mwenye omri mbili, Almuhim. Kwasababu walivo mona hana tama ya mali yao Akasema:
    { Yale Mola wangu aliyo niwezesha ni bora zaidi} Sadaqa Allah Al3adhim [Alkahf:95].
    {مَا مَكَّنِّي فِيهِ رَبِّي خَيْرٌ} صدق الله العظيم [الكهف:95],
    Yani ni bora kwa Mola Mlezi wangu kua nifanye kwajili Ya Uso Wake peke Allah bila malipo wa ujira ya kazi atakao ifanya kwenu, Na kwasababu ya uwadilifu wake na kuchukia kwake kudhulumu waja wa Allah waliokua wanyonge basi baada alipo jenga kizibu wakamtaka awe mfalme ju yao na ahukumu kwa yale alio teremsha Allah kwa uwadilifu, Akaishi huko akawajengea wao sehemu ya kulekea ili wafanye mweleko wa kufanya ibada ya hija kuwenda nyumba ya Allah.


    Na miongoni mwao ulimwengu wa majini ambao ni wema na kaumu wengine, Na bado wako kizazi cha Nabi wa kiarabu na kizazi cha kaumu wengine katika wanajeshi wake bado kizazi chao kiko upande wa kusini mwa kizuwizi kizibo cha dhil Qarneyin kwenye ardhi ya nafaka, Basi kabla kutumilizwa Muhammad Mtume Wa Allah wako majini waislamu, Kwajili ya hivo walisema:
    { Na miongoni mwetu ni waislamu }
    [ Aljin:14].
    {وَأَنَّا مِنَّا الْمُسْلِمُونَ} [الجن:14];
    Yani Kabla Kutumilizwa Muhammad Mtume wa Allah sala Allahu aleyhi wa alihi wa salam, Lakini wao walikua wameshikilia taurati na wengine wameshikilia zaburi kitabu cha Daud na Suleman lakini imetimu kuherufishwa kubadilishwa zaburi kama walivo badilisha ma shetani watu taurati wakawaingiza kwenye shirki, Na walikua wakiwamini kwakua wamedhani kua hawatosema mashetani wa ki jini na watu ju ya Allah urongo.


    Na kuhusu masi7hi isa mwana wa Maryam wa kweli hawajuwe kuhusu yeye kitu ispokua ilikua akisema wapumbavu wao ju ya Allah urongo wa kupindukia; Malik Harut Na Mwenzake Marut moja wao asema ni Allah na mwengine ni mwana wa Allah, Subhanahu Wa Ta3ala 3uluwan Kabiran! Na hivo ili iwe akida ya wakristo walio potea na walio ingia katika ukristo ni katika walio ghadhibiwa ju yao katika ma yahudi wale ambao wanadhihirisha imani kwa masi7hi Isaa mwana wa Maryam kuzuwia na unafik kisha wasema ju yake yale ambao hajasema basi wakabadilisha injili, Na hivo ni mbinu ya shetani rajimu iblisi ambae ni masi7hi mrongo almasi7h alkadhab ambae anataka kusema kua yeye ndio Allah Mola Mlezi Wa Ulimwengu na mwenzake ni Mwana wa Allah Yeso Masihi; Yani mwana wa Masihi amabe anataka kusema kua yeye ndio Allah, Na kwa hayo watakua waislamu na akida yao iko katika batili kwakua wao wanaitakodi kua Mtume wa Allah Masi7h Isaa Mwana Wa Maryam ni mja wa Allah na Mtume Wake wal a sio kua Allah ndio Al'Masi7h isa mwana wa Maryam kama wanavo itakidi walio ingia katika dini ya ukristo katika ma yahudi wala sio kama wanavo itakidi ma hawariyin waliopotea kua Masi7hi isaa sio Allah lakini ni mwana wa Allah.


    Na ikatimu mbinu ya iblisi ju ya kamba mbili kwenye ardhi ambao ina nfaka kua yeye ndio Allah Al'Masi7h isaa na mtoto wake masi7hi yeso nae ni malik Marut, Na wote hao wako katika janat babel bustani ya babel kaskazini mwa kizuwisi kizibu cha dhil Qarneyin, Kwajili ya hivo Amesema Allah Ta3ala Enye wana wa Adamu asiwafitini shetani na mwenzake:
    { Eny wanaadamu! Asije Shet'ani kukufitinini kama alivyo watoa wazazi wenu Peponi, akawavua nguo zao kuwaonyesha tupu zao. Hakika yeye na mwenzake wanakuoneni, kutokana na sehemu hamuwaoni. Hakika Sisi tumewafanya Mashet'ani kuwa ni marafiki wa wasio amini (27)}
    [Alaaraf]
    {يَا بَنِي آدَمَ لَا يَفْتِنَنَّكُمُ الشَّيْطَانُ كَمَا أَخْرَجَ أَبَوَيْكُم مِّنَ الْجَنَّةِ يَنزِعُ عَنْهُمَا لِبَاسَهُمَا لِيُرِيَهُمَا سَوْآتِهِمَا ۗ إِنَّهُ يَرَاكُمْ هُوَ وَقَبِيلُهُ مِنْ حَيْثُ لَا تَرَوْنَهُمْ ۗ إِنَّا جَعَلْنَا
    الشَّيَاطِينَ أَوْلِيَاءَ لِلَّذِينَ لَا يُؤْمِنُونَ ﴿٢٧﴾}
    [الأعراف],
    Kwakua mwenzake ndio imetimu kuitwa kwake yeso masi7hi yani yeso mwana wa masi7hi Allah, Subhana Allah kwa yale wanao zua na Ametukuka 3uluwan Kabiran!


    Ala Wallah Ambae hapana Mola ispokua Yeye lau sio kumtumiliza Allah Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani kwa ilimu ya kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim mungemfwata shetani enye ma3ashara ya waislamu nyote ispokua kidogo, Basi bado inazali tunayo ilimu nyengi tunangoja waitikie mwito ma mufti wa ulimwengu kuja kuzungumza na Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad katika meza ya mazungumzo ya ulimwengu ( Tuvoti Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani muntadayat albushra alislamia ),
    (موقع الإمام المهدي ناصر محمد اليماني منتديات البشرى الإسلامية),
    Ambao hainitoshelezi pamoja na wao ispokua hapo ili kuzungumza na Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad katika zama za mazungumzo kabla ya kudhihiri na baada kukinai na kufwata kwa sababu ya nguvu ya utawala wa ilimu ya bayana ya haki kutoka kwa Al'Quran Al3adhim; Basi baada ya hapo atadhihirika Al'Mahdi Al'Muntadhar kwajili ya beyaa ya watu wote, Wala sio beyaa ni kbla ya kukinai na kufwata kama munavo itakidi kua yeye atadhihiri kwenu kwajili ya beya baina ya nguzo na makamu katika msikiti wa haram kabla ya mazungumzo na kumsadiki mutampa beyaa! Hivo hamuti akili? Bali Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad anao ulinganizi wa kiulimwengu kupitia njia ya kiulimwengu na anasmamisha ju ya wanazuoni wote na watu wa kawaida hoja kwa utawala wa ilimu ndio ahukumu baina yao kwa yale wanao khitilifiana ndani yake ndio iyondauke uwongi wa ma hizbu katika madhehebu na za kisiyasa ndio awarudishe katika njia ya unabi ya kwanza ju ya kitabu cha Allah na sunna za Mtume wake za kweli mandugu, Huwenda Allah Akajalia baina yenu na baina ya wale mulio wafanyia uwaduwi kati yao mawada na hakika Allah Kwa Kila Kitu Anaweza.


    Na lakini vile navo ona kua hayo hayawi ispokua kwa ma alama za adhabu za kufwatana, Basi ni mara nyingi Anavo nionesha Allah katika kulala kwangu na jambo hilo hilo Katika ilio wazi maana yake Kitabu Chake; Na miongoni mwake ni mifuriko ya maji ya kubomoa huku na kule, Na majabali ya ya baridi ya barafu itawafikia mapande ya kuwa kwa yule itakao mpata, Na ma umeme, Na Kuzama, Na kimbunga kikali kinafanya kilioko katika ardhi katika mimea yake na mabustani yake kufanya ukame hakuna kitu kukavu yabisi basi linakua tupu ardhi yenu kutokana na vazi lake, Na miongoni mwao kwa sababu ya kimbunga kikali yenye baridi kali kinabeba watu kama migogo ya mitende yalio bwagwa, Na miongoni mwake mzunguko ndani yake moto mfupe wa mwendo kazi yake ni kufikisha moto kwenye msito ukianza kuchoma inageuka kua upepo ili uzidishe kuwaka na kuchoma kusukuma, Na zilzala itakao bomoa - ju ya Atakae Allah miongoni mwenu - Ma sakafu yalio inuka kwenye majumba zenu, Na maumeme, Na uzamaji; itawafikia kuzama hata kama muko kwenye magorofa yalio ju madhbuti, Na itapasuka vizibo, Na masiku za nuksi nyeusi, Na m


    abomo ya kinezaki kwajili ya mashetani watu ndani ya amerika ile kubwa sana kwa upana na inao nguvu ya kumaliza zaidi, Na Atawaokoa waumini kwa rahma yake na kudra ya miujiza yake basi hakika Allah Hamjazi ispokua mwenye kukufuru kwa utajo wake ama wanao kanusha ukumbusho wake kama vile wanavo jua viongozi wa kiarabu na ma mufti wao na wanazuoni wao na wanakita kwa kiburi kama kwamba hawajasikia ma aya za Allah ambazo baini zilio fafanuliwa kwa Al'Quran Al3adhim ufafanuzi mku na hali wao wanasoma ma Bayana usiku na mchana, Na tumefanya wengi katika ma mufti wa miji ya kislamu sehemu hususi katika uso wa tuvoti yetu na hivo ili wajuwe mataifa yao kua kila mufti katika kila taifa la kislamu la kiarabu ama la kiajami ispokua wanajua kwaulinganizi wa Al'Imam Al'Mahdi Masser Muhammad Al'Yamani, Na wanagalia Bayana zangu wote mamufti wa miji ya kiarabu katika pembe tafauti, Lakini wao wanaona kua kweli hawana uwezo kwa utawala wa ilimu ya Bayana ya Al'Quran Al3adhim kwakua wao wamemkuta kua Nasser Muhammad Al'Yamani Hachukuwe aya akaifasiri kutoka kwake kulingana na matamanio yake; Bali anabainisha Al'Quran kwa Al'Quran na anaifafanua ufafanuzi mku, Basi hapati njia kwa kusmamisha hoja ju yake hata kama watakusanyika kwake kuzungumza nae ili wasmamishe hoja hata kwa masaala moja hawangeweza, Basi vipi watamshinda yule mtu ambae mwalimu wake ni Al'Rahman kwa Bayana ya haki ya Al'Quran kwa Al'Quran? Haihat Haihat Na Mola Mlezi wa ardhi na mbingu nigewachunguzia wao kutoka kwa Maneno Ya Allah kutoka kwa ma aya baini na ma aya zinazo bainisha ma aya ambazo ni mifano na nizifafanuwe ufafanuzi zi shangae nazo akili zao zisalimu kusalimu akili zao ziwe pamoja na Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani, Ziwambie wao akili zao hakika nyinyi ndio madhalimu enye ambao hamujuwi kutafautisha baina ya Al'Mahdi Al'Muntadhar wa kweli Nasser Muhammad na baina ya ma mahdi wa urongo wale ambao imewava uwasiwasi wakatangaza kila moja wao kua yeye ndio Al'Mahdi Al'Muntadhar akzungumza na nyinyi kwa ulimi wao ili kuwapoteza nyinyi kuhusu Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad, Lakini kwa Allah hoja ilio timia; Bali Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Anampa Allah ilimu ya kitabu na hivo ili asijadili yoyote katika wanazuoni wa watu na watu wa kawaida kutoka kwa Al'Quran ispokua atamzidi ju yake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Kwa utawala wa ilimu ya bayana ya haki ya Al'Quran mpaka afanye kila mwanachuoni ama katika watu wa kawaida wanaosoma ama wanao sikiza baina khiyari mbili ama amini kwa Al'Quran ama aikanushe na yeye yuwajua kua ni haki kutoka kwa Mola Mlezi wake kama vile walivo ikanusha mashetani watu katika ma yahudi na wao wanajua kua ni haki kutoka kwa Mola Mlezi wao wakakata kuhukumu kwake pampja yakua inawasisimulia wana wa israili katika mengi wanao khitilifiana ndani yake, Wakaikanusha nayo wahubiri wa kiyahudi na wao wajua ni haki kutoka kwa Mola Mlezi wao, Kama walivo ikanusha wengi katika wanazuoni wa kislamu na wao wajua kua ni haki kutoka kwa Mola Mlezi wao.


    Na hivo hivo ma mufti wa kila taifa la kiarabu wameka kimya labda huwenda ni khofu wanayo ju ya wafalme wao na ma raisi wao! Hivi hawajuwi kua lau watawahidisha wafalme wao na ma raisi wao huwenda wakawafanya ni wenye kushkuru kisha Allah Atawazidisha wafalme wao na maraisi wao na mabwana zao utukufu ju ya utukufu wao na nguvu ju ya nguvu zao? Muna nini mwahukumu vipi? Na Hajamtumiliza Allah Al'Mahdi Al'Muntadhar ili awapokonye ufalme wenu; Bali Khalifa wa Allah ju ya walimwengu wote basi atakae msadiki kwenye zama za mazungumzo kabla ya kudhihiri na kupata madaraka kwa adhabu chungu basi hao hawato'wadhibu Allah wala hatobadilisha yoyote kati yao kwenye utawala kisha atamzidisha Allah utukufu ju ya utukufu wake na nguvu ju ya nguvu zake, Na ama atakae kata mlinganizi wa Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad ili kuhukumiana katika dhikri kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim basi nani atamkinga yeye kutokana na adhabu ya siku ya kiza kabla siku ya kiyama kulingana na siku zenu? Basi mutaenda wapi kutokana na adhabu ya moshi ilio baini na adhabu ya bahari ilio furika na zilzala na a


    dhabu ya milipuko na mawe kutokana na majabali ya barafu na mabomu ya kinezaki ambazo ziko smart inazunguka ardhi yenu; Mawe Na majiwe tafauti ukubwa wake na kubwa yao kabisa ni zawadi kutoka kwa Allah ya Tramp na mawali wake katika mashetani watu kwenye wakati wa kivuli wakati wa Mji mku wa Khilafa ya kislamu sanaa na wakati wa adhana ya alfajiri wkati wa makka almukarama, Na Katika siku moja kwenye wakati huo itapiga kijisayari cha adhabu mkowa wa amerika mategemeo ya mashetani binadamu kutoka israil, Basi ni kiasi gani ukubwa wa wimbi lake lakudhuru ma alfu ya ma kilomitar! Na Ataokowa Allah waislamu walio tubu kwa Rahma Yake na wale walio fwata haki kutoka kwa Mola Mlezi wao katika wakristo na ma yahudi wanao taka amani, Ama mashetani watu waumini ambao wako na yakoni kua hi Al'Quran ni kitabu cha Allah Mola Mlezi wa ulimwengu ilio hifadhiwa kutokana na kuherufishwa basi ikawaghadhibisha ulinganizi wa kuhukumiwa kwake; Hao wamekata Awe Allah ndio Hakimu baina yao, Na je ispokua ju ya Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani ispokua awahukumu baina yao kwa ile Alio teremsha Allah?


    Na hio Ndio Mwendo Na Mwelekeo Wa Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Kiulinganizi, Basi Muingie Enye Ma3ashara Wanao Toa Uwamuzi Na Watowaji Fatwa Katika Miji wanao pigana Katika Kila Sehemu Kwenye Uweislamu Kikamilifu Nyote Kutwii Amri Ya Allah wala sio hi ni amri yangu bali ni amri ya Allah kwenu kwa kadara ilio kadiriwa kwenye kitabu kilio andikwa katika zama za kutumilizwa Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad katika zama za mazungumzo kabla ya kudhihiri, Wala Musifwate khatua za shetani Tramp na wajumbe wake Basi Wallahi Thuma Wallahi thuma Wallahi hakika yeye hawatumi ili itimu kupatikane amani baina yenu; Bali kila ikikurubia kupoa moto wa vita baina yenu anatuma mjumbe kutoka kwake ili afanye kutimiza amani baina yenu ya urongo; Bali kwa masharti iawalazimu mukatae maoni ya mjumbe wake, Kisha vita vipambe moto zaidi baada ilikua karibu kuzimika; Bali shetani Tramp ni aduwi wenu hataki ipatikane amani baina yenu basi wacheni hatuwa zake ambazo anazo ita ramani ya njia; Bali hio ni ramani ya njia ili iwadhuufishe nyinyi badhi yenu ju ya baadhi kisha andae ju yenu anataka kutawala viti venu na kuchinja ma taifa wenu na kuwabadilisha kwa matifa ya kizayuni hawataki kwa waumini amani wala usalama ikiwa Allah Atawadhirisha ju yenu.


    Na enyi ma3ashara ya jeshi la gaza ilio kirimiwa ilio karibu na msikiti wa alaqsaa, Na je munangoja muzingirwe kutokana na jeshi la kizayuni? Sio ispokua ni kwa upande wa amani bali wanataka kuwadhufisha na kuwachokesha kisha wawavuruge kuwavuruga na wabomoe majumba zenu na majumba ya kila mfalastini ju ya vichwa vao wawe sawa wametoka na nyinyi kupigana ama hawakutoka na nyinyi, Basi kuweni jeshi la waumini ili kuikomboa falastina, Na muwache ma jina kama munao ita harakati ya fat'h na hamas na jihad ili musifarikiane mukanguka kisha iondoke nguvu yenu basi hamuna khiyari enye watu wa falastina ispokua vita kwakua aduwi wa kizayuni anataka kubomoa manyumba zenu ju ya vichwa venu na lau kama hamutopigana nae basi hio haitomzidisha ispokua kuwapiga na Atto na Eventhira, Basi tokeni hali ya wepesi na uzito yani vijana kwa waze ili kufukuza jeshi la kizayuni kutokana na kuzingirwa kwa gaza, Na muliweke jua nyuma ya mngongo wenu na aduwi mbele yenu wakati wa vita, Na mutawakal ju ya Allah na musikhalifu amri yangu, Na Atawarithisha Allah vifa vao vote va kivita mupate nguvu nazo kwa kuwa wao watawakimbia watawapa mngongo kulekea nyuma ya ukuta na kwenye vijiji ambazo zina kinga wala hakuna kinga kutokana na adhabu ya Allah, Basi Hamuna udhuru enye watu wa Falastina kwakua muko ndani ya falastina anawaonea wivu kila mujahid ambae moyo wake hai, Na mukikata basi watawamaliza mazayuni na watawabomoa kwa ndege ju ya mbingu ya majumba zenu kuwabomoa, Kwahivo kutoka kupigana ni bora kwenu badali, Na ikiwa mumekufa itakua mumekufa mashahidi wala sio kifo cha waoga kwenye majumba zao, Na wala musitamani kifo kwa hoja ya kupata shahada, Na wala musikimbie mauti, Na wala haikua kwa nafsi kufa ispokua kwa idhini ya Allah, Na mutamani kwa Mola Mlezi wenu Awanusuru nusra ya mwenye utukufu mwenye uwezu kwakua kubaki kwenu kwenye uhai basi ndani yake kuna nusra ya uwislamu na waislamu ili ipatikane kutimu Nuru Ya Allah kwa ulimwengu. Allahuma nimebalighisha Allahuma Shuhudia..


    Na imetangulia kabla kua nimewaonya kutoka mwaka wa alfu mbili na tano na sita na saba kua kila ikikurubia na ardhi yenu sayari ya adhabu saqar ile munao ita nibiro kua ishara ya munao ita Maafa ya asili itapanda zaidi, Kila ikikurubia inapanda zaidi adhabu ya Allah ya chini kubwa na kubwa mbinguni na baharini na bara, Na hivo ili iwachukuwe kutoka pahali karibu wakati wa kupita kwake ikiwa hamukuzingatia na adhabu ndogo ndio murudi kwa Allah ndio muhukumiane kwenye kitabu chake Al'Quran Al3adhim, Na laana ya Allah ju ya warongo, Allahuma nimebalighisha Allahuma shuhudia, Basi mukikata ngojeni na hakika mimi nagojea pamoja na nyinyi, Na Salam Ju Ya Mitume Na Ju Ya Kila Alio Wafwata Kwa Wema Mpaka Siku Ya Dini, Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin..


    Mja Wa Allah Na Khalifa Wake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani .
    عبد الله وخليفته الإمام المهدي ناصر محمد اليماني .
    __________


    كُفيــتَ يا قلـــبُ بالنّعيـم تَقربــاً وما كانَ للقلب عن حبّه لَيحيدُ
    وَكلّما مالَت شغافُ القلبِ للدُّنيا كانَ الوريدُ إلى الحَبيب مُريدُ

  2. افتراضي

    very good...
    *سبحان الله وبحمده ولا حول ولا قوة إلا بالله والله اكبر ولا إله إلا الله وأستغفر الله العظيم عدد خلقه ورضا نفسه وزنة عرشه ومداد كلماته*

المواضيع المتشابهه
  1. مشاركات: 0
    آخر مشاركة: 06-04-2019, 05:13 PM
  2. Kukumbusha Kwa Bayana Fupi Kwa Yule Ambae Ni Katika Wanao Ona walioko Katika Sehemu Tafauti Katika Ulimwengu ..
    بواسطة زينة الإسلام (فارسة الحق) في المنتدى Swahili
    مشاركات: 0
    آخر مشاركة: 12-12-2018, 10:05 PM
  3. مشاركات: 0
    آخر مشاركة: 04-12-2018, 04:40 PM
  4. Kukumbusha kutoka muhakam ilio wazi maana yake ukumbusho kwa wanao’tunga uwamuzi katika waislamu ..
    بواسطة الراضي برضوان الله في المنتدى Swahili
    مشاركات: 0
    آخر مشاركة: 19-05-2018, 08:36 PM
  5. مشاركات: 0
    آخر مشاركة: 13-02-2018, 08:46 PM
ضوابط المشاركة
  • لا تستطيع إضافة مواضيع جديدة
  • لا تستطيع الرد على المواضيع
  • لا تستطيع إرفاق ملفات
  • لا تستطيع تعديل مشاركاتك
  •